DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Ushampasua hawezi kuleta comeback kayataka mwenyeweSisi humu masuala ya ugomvi tulishastaafu... utoto unamsumbua, ngoja nione kama huo ugomvi ana uweza ama atakimbilia kwa mods..
Ushampasua hawezi kuleta comeback kayataka mwenyeweSisi humu masuala ya ugomvi tulishastaafu... utoto unamsumbua, ngoja nione kama huo ugomvi ana uweza ama atakimbilia kwa mods..
Ok sawa uzuri najua hakuna kitu huko..Sijaeleza kuhusu utajiri atakaomiliki.Nimejikita kwenye faida na wajibu timilifu wa balozi.Wakati mwingine utajiri ni wizi na koneksioo!
Dogo mpuuzi sana, anatukana kila mtu pasipo kujali..Ushampasua hawezi kuleta comeback kayataka mwenyewe
Makari hodari wewe ni KE kumbe Una brag mitandaoni kumbe Mme hunaUnaikumbuka hii kipindi unaingia hapa? mume ulishapata ama bado? au ni stress zinakusumbua?
View attachment 3397484
Hivi mkuu na wewe hajakutukana kweli, maana mimi kanitukana sana nimemkalia kimya..Makari hodari wewe ni KE kumbe Una brag mitandaoni kumbe Mme huna
I'd yake naikumbuka na alinitumia picha wakati anatafuta mme na kanitukana kweli kweliHivi mkuu na wewe hajakutukana kweli, maana mimi kanitukana sana nimemkalia kimya..
Atakuwa mshangazi hivi sasa, kwa maana mwaka 2022 anasema aikuwa 33, hivi sasa ana 36 bila shaka..I'd yake naikumbuka na alinitumia picha wakati anatafuta mme na kanitukana kweli kweli
Hakika zote zilikuwa stress zake kaamua kututukana Ila tushamjua kuwa ni MshangaziAtakuwa mshangazi hivi sasa, kwa maana mwaka 2022 anasema aikuwa 33, hivi sasa ana 36 bila shaka..
Huyu mshangazi watu wamejipigia sana humu,baada ya kuweka tangazo la kutafuta mume, watu wakazama PM, ili wahuni wasiuziwe mbuzi kwenye gunia wakawa wanajipigia tu, kuna uzi aliandika nyuma huko kuhusu watu kumuonja halafu hawamuoi...Hakika zote zilikuwa stress zake kaamua kututukana Ila tushamjua kuwa ni Mshangazi
Truly she is need deliveranceHuyu mshangazi watu wamejipigia sana humu,baada ya kuweka tangazo la kutafuta mume, watu wakazama PM, ili wahuni wasiuziwe mbuzi kwenye gunia wakawa wanajipigia tu, kuna uzi aliandika nyuma huko kuhusu watu kumuonja halafu hawamuoi...
Vijana wameizagamua mbususu ya huyu mshangazi vibaya sana, sasa kabaki na stress a kutukana watu... sijui ndio hasira za kuelekea menopause...?
Sure...Truly she is need deliverance
Hao viongozi wako sio miungu ni watu tu kama wewe, na ni kazi yao kukutii wewe. Acha kuwaabudu na heshima woga.Tuache kutetea ujinga, na tupunguze ujuaji. Kwa hiyo mtu akibeba jembe akiwa kavaa suti na kwenda shamba hatutamshangaa! Hivi tumekuwaje? Angekutana na Mh. Balozi huko mgahawani na hayo mavazi wala isingekuwa shida.
Huyo mtu ni level nyingine mkumbuke kutrend kwake kunahitaji ubunifuHii ndio athari ya kwanza kukosa elimu ya etiquettes na pili kutumia punga kama designer anaekuvalisha.
Kwa level aliyofikia Diamond kuna baadhi ya mambo inapaswa ajifunze ikiwemo aina ya mavazi kwa mlingano wa eneo husika.
Sasa yeye kila kitu anachukulia usela kutokujua kuna dress code ya sehemu zenye hadhi.
We unadhani nani mwenye pesa kati ya hao wawili huyo mtumishi wa umma au huyo msanii?Nje ya mada.
Hivi wavaa midabwada kama huyo pichani sio wezi?
hivi huyo msela pichani hali malaya?
kama huna pesa acha kuchukia wenye nazo kwa maana unazidi kujiweka mbali na pesa.
jifunze au upuuze!
Mtu amevaa suti yake , jembe lake anenda shambani kwake we inakuhusu nini jifunze ku-mind your own business .Tuache kutetea ujinga, na tupunguze ujuaji. Kwa hiyo mtu akibeba jembe akiwa kavaa suti na kwenda shamba hatutamshangaa! Hivi tumekuwaje? Angekutana na Mh. Balozi huko mgahawani na hayo mavazi wala isingekuwa shida.
Mashoga mnatakaga wote tuwe mashoga kama nyinyi… hebu reply huo uzi niuone na mimiUnaikumbuka hii kipindi unaingia hapa? mume ulishapata ama bado? au ni stress zinakusumbua?
View attachment 3397484