Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Huyu kijana yuko smart sana na ndomana wawekezaji always humfuata huyu na hata mashirika makubwa yanayojielewa.

Kichwa kimetulia sana! Sio mshamba wala mpenda sifa za hapa na pale… nzuri zaidi hana scandal za mihadarati na kulala na wanaume wenzie

Mtu smart sana! Asiyedanganya uma wala ku-fake maisha aendelee kushika nambari moja kwa majitu majinga ya aina yake

KUDOS!!!
 
Watu wanaiba pesa CAG anawataja na wanavaa suti na kuapa kwa kutumia Biblia na Quruan.

Utumwa wa kifikra ndo unawatesa watu weusi.

MTU ambaye amatengeneza ajira , na kuleta mapinduzi katika sanaa ndo unasema hana maadili

Nyie maadili ni kuvaa suti

Hapo Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira
Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira

📌🔨
 
Hiyo ni dress code ya kisanii ambayo inasaidia kulipa kodi kubwa sana serikakini most probably kuliko wewe.

Balozi anaelewa hilo ndiyo maana hakuwa na tatizo.

Wewe ndiye huelewi.
Lazima kairuki alishangaa na lazima alimwambia hata kwa utani… na lazima waliulizwa mapokezi na getini ameingiaje pale

Huwezi kuelewa we mtu wa chadema
 
Tafuta hela mkuu DUNIA HAINA HURUMA NA MASIKINI ni katili sijaona mfano TAJIRI AKIAMUA LAKE HALISHINDIKANI
 
Nyie Wabantu mavazi mmeletwa na mlikuwa mnavaa magome ya miti Ila leo mnataka kusema mnazingatia dressing code.

Watu ambao wanavaa hovyo na kutembea uchi ndo hao mnawategemea wawasaidie kila kitu kuanzia mikopo ,misaada n.k

Yaani diamond ambaye kawazidi Exposure Leo unataka kumfundisha uvaaji
Fala wewe!

Kamzidi nani exposure?!
 
Mengi yamezungumzwa ila kwangu mi huo ni ushamba tu, America Kuna wasanii wakubwa tuu, wahuni kupitiliza tattoo wanazo, rasta wanazo lakini wanajua dress code sio Kila mahala unavaa malapulapu, muda mwingine unamkuta mtu kapiga suti kali kama mheshimiwa kumbe msanii kaamua kwenda na dress code, japo sio lazima suti basi casual Fulani, ila sio hiyo mibwaga ya stejini unaenda nayo ofisini kwa watu. Wabongo ushamba ndo tunaona ujanja
Povu ruksa
 
Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira

MTU ambaye hajasoma
Kakulia uswahili

Then MTU huyo huyo anatengeneza taasisi inayotoa ajira za kutosha

Anaajiri bodyguard
Anaajiri presenters
Anaajiri stylist
Anaajiri Madansa
Anaajiri Camera man
Anajenga na kuwekeza.


Just imagine wasafi festivals tu imeleta impacts kubwa

Wasafi TV waasaFM

Kuna graduate wangapi wapo wasafi


MTU Anafanya Kazi kubwa Kama hiyo ambayo imebadilisha maisha ya watu Ila anatokea MTU mswahili ambaye hajielewi anampangia dress code.

Inasikitisha
 
Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira

📌🔨
Huna ujualo kwa sababu hufuatilii na huyo aliyeandika hivyo hafuatilii

Ntakupa mfano wa mtu mmoja alafu wafuatilie… hawapendi show off ila wafuatilie

Mtafute mtu anaitwa “Luca Neghesti” na “Toufiq turky” wafuatilie. Na wapo wengi tu
 
Lazima kairuki alishangaa na lazima alimwambia hata kwa utani… na lazima waliulizwa mapokezi na getini ameingiaje pale

Huwezi kuelewa we mtu wa chadema
Tanzania ina ujinga mwingi sana wa kukataza watu kuingia ofisi za serikali kwa sababu za kijinga za mavazi.

Ninamshukuru Diamond kwa ku normalize mavazi yasiyo ya kawaida ofisi za serikali ili tuondokane na ukiritimba huu wa kijinga.

Wasanii wana jukumu la ku push the envelope kwenye haya mambo, kukataa habari za kututaka wote tuvae sawa.

Diamond anaifanya kazi hii vizuri.

Kuhusu mimi kuwa mtu wa CHADEMA, CHADEMA wananiita CCM, CCM wananiita CHADEMA, na wengine wananiita ACT.

Mimi naenda na mantiki na uhuru wa watu binafsi tu, sina chama.

Sina hata vigezo vya kuwa mwanachama wa chama cha siasa Tanzania.
 
Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi

Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yoyote .

Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara

Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .

Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,

Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
Na hajaenda kuripoti kama kituo Cha kazi,yeye ndie kazi!
 
Tafuta hela mkuu DUNIA HAINA HURUMA NA MASIKINI ni katili sijaona mfano TAJIRI AKIAMUA LAKE HALISHINDIKANI
Cha kusikitisha ambacho hamkijui hana hizo hela anazowadanganyeni na kujinadi na mademu zake kumnadi kila kukicha… hiyo B1 yenyewe kafikisha mwaka 2024 uliza matajiri wa kariakoo ndo wana siri za huyo kijana.

Tunayajua mengi tuko kimya maana sisi ndo ma-mastermind na lazima apite kwetu
 
MTU ambaye hajasoma
Kakulia uswahili

Then MTU huyo huyo anatengeneza taasisi inayotoa ajira za kutosha

Anaajiri bodyguard
Anaajiri presenters
Anaajiri stylist
Anaajiri Madansa
Anaajiri Camera man
Anajenga na kuwekeza.


Just imagine wasafi festivals tu imeleta impacts kubwa

Wasafi TV waasaFM

Kuna graduate wangapi wapo wasafi


MTU Anafanya Kazi kubwa Kama hiyo ambayo imebadilisha maisha ya watu Ila anatokea MTU mswahili ambaye hajielewi anampangia dress code.

Inasikitisha
We mtoto una matatizo. Huna ujualo
 
Tanzania ina ujinga mwingi sana wa kukataza watu kuingia ofisi za serikali kwa sababu za kijinga za mavazi.

Ninamshukuru Diamond kwa ku normalize mavazi yasiyo ya kawaida ofisi za serikali ili tuondokane na ukiritimba huu wa kijinga.

Wasanii wana jukumu la ku push the envelope kwenye haya mambo, kukataa habari za kututaka wote tuvae sawa.

Diamond anaifanya kazi hii vizuri.

Kuhusu mimi kuwa mtu wa CHADEMA, CHADEMA wananiita CCM, CCM wananiita CHADEMA, na wengine wananiita ACT.

Mimi naenda na mantiki na uhuru wa watu binafsi tu, sina chama.

Sina hata vigezo vya kuwa mwanachama wa chama cha siasa Tanzania.
Tunakujua na tunakuchora

Incase you don’t know
 
Nguo si Nguo
Tambara Si Tambara
Gauni si Gauni
Gunia si Gunia
Sketi si Sketi
Buga si Buga
Suruali si Suruali
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!🤔
 
Cha kusikitisha ambacho hamkijui hana hizo hela anazowadanganyeni na kujinadi na mademu zake kumnadi kila kukicha… hiyo B1 yenyewe kafikisha mwaka 2024 uliza matajiri wa kariakoo ndo wana siri za huyo kijana.

Tunayajua mengi tuko kimya maana sisi ndo ma-mastermind na lazima apite kwetu
Duuuuh
 
Back
Top Bottom