DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jul 8, 2025 #261 Intuition said: Kuna siku mtu ataingia kavaa bikini, kisa tu ni msanii au mwanamitindo.Kwa hiyo kisa analipa kodi, kaajiri watu na blablaa ndo avae vyovyote mahali popote. Mbona msikitini akienda kuswali anapigaga kanzu fresh kabisa... Click to expand... Kwani hayo mavazi aliyovaa diamond yana shida gani ?
Intuition said: Kuna siku mtu ataingia kavaa bikini, kisa tu ni msanii au mwanamitindo.Kwa hiyo kisa analipa kodi, kaajiri watu na blablaa ndo avae vyovyote mahali popote. Mbona msikitini akienda kuswali anapigaga kanzu fresh kabisa... Click to expand... Kwani hayo mavazi aliyovaa diamond yana shida gani ?
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 10,825 Reaction score 38,702 Jul 8, 2025 #262 Makari hodari said: Leta nilete WEWE NI SHOGA! Unatafuta sympathy ukidhani kila mtu ni wakala wa shetani kama wewe Leta PM yangu… demu wake diamond Click to expand... Hio hapo ukiomba radhi au sio wewe?
Makari hodari said: Leta nilete WEWE NI SHOGA! Unatafuta sympathy ukidhani kila mtu ni wakala wa shetani kama wewe Leta PM yangu… demu wake diamond Click to expand... Hio hapo ukiomba radhi au sio wewe?
Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,758 Reaction score 7,249 Jul 8, 2025 #263 100 others said: View attachment 3398239 Hio hapo ukiomba radhi au sio wewe? Click to expand... USHOGA ni hasara kubwa sana!!!! Endelea na njia uliyochagua…
100 others said: View attachment 3398239 Hio hapo ukiomba radhi au sio wewe? Click to expand... USHOGA ni hasara kubwa sana!!!! Endelea na njia uliyochagua…
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 10,825 Reaction score 38,702 Jul 8, 2025 #264 Makari hodari said: USHOGA ni hasara kubwa sana!!!! Endelea na njia uliyochagua… Click to expand... We unakuja kuniomba msamaha PM kwa maneno mareeefu halafu hapa unajitia mwamba.. ngoja nikuache tu, nimekusamehe..
Makari hodari said: USHOGA ni hasara kubwa sana!!!! Endelea na njia uliyochagua… Click to expand... We unakuja kuniomba msamaha PM kwa maneno mareeefu halafu hapa unajitia mwamba.. ngoja nikuache tu, nimekusamehe..