Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

Mwanamke akiwa kwenye siku zake haruhusiwi kushiriki ibada mfano kuswali. Vile vile haruhusiwi kuwa ndani ya eneo la ibada (msikiti) mpaka siku zake za ada ziwe zimekwisha. Hii hali si kwa mwanamke hata mwanaume akiwa kwenye hali fulani (janaba) kuna masuala ya kiibada haruhusiwi kuyafanya mpaka awe tohara.

Siku ya eid inaswaliwa nje (viwanjani) ili wanawake waliyo kwenye siku zao wapate fursa ya kuhudhuria hapo uwanjani kwani kufanya ibada hawatoruhusiwa isipokuwa watapata fursa ya kuhudhuria na kusikiliza mawaidha hapo hapo. Tofauti na ingelikuwa msikitini kwani wakiwa kwenye siku zao hawaruhusiwi kuingia eneo la ibada (msikitini).
 
Weee hebu huko. Sote tunazaliwa wapagani
Usiwe mkali! Jazba au kughadhibika hakutosaidia. Alichotakiwa kumalizia ni kwamba; kwa mujibu wa dini ya kiislamu. Hicho ndicho ambacho alichotakiwa kumalizia.

Na wewe unaposema wote tunazaliwa wapagani, ungelimalizia kwa kuandika kwa mujibu wa dini yangu. Hilo tu! Wala siyo vita.
 
Kwa mujibu wa dini zote. Binadamu anazaliwa uchi na mpagani. Nguo,dini etc anavikuta duniani na kuanza kuvitumia na kuvitumikia

Unajua haya mapokeo yana changamoto sana, hasa umkute muumini asiyejua kuhoji/kujihoji. Yeye ni kuamini tu. Utakuta siku ya Eid huko Arabuni wakati huo walikiwa wakiswalia tu msikitini. By coincidence siku ya Eid ikaangukia siku msikiti unafanyiwa ukarabati, basi ibada ikafanyikia nje. Sasa kwa kutojua, wafuasi wakalibeba wakidhani ni utaratibu. Na sasa umeshazoeleka. Ni mawazo yangu
Katika uislam ili mtu awe na ithibati kamili ya kile anachokifanya ushahidi wake anautoa kwenye:

1) Quran
2)Hadithi
3) Ijamaa ya wanawazuoni na
4)Qiyas

Kwenye masuala ya ibada hususani swala, mafundisho yake yapo waziwazi. Kitachomgharimu mtu kutokujua ni kutokusoma. Ila hili suala lipo wazi. Muulizaji ameuliza swali zuri na jawabu lake lipo wazi.

Mafundisho ya uislam huwa yanampa mwanamke likizo akiwa kwenye siku zake. Likizo hiyo ni kwamba hatoruhusiwa kufanya ibada, hatoruhusiwa kubeba msahafu kwa maana ya kusoma Qur'an, hatoruhusiwa kuwa ndani ya msikiti n.k

Ibada ya kuswaliwa uwanjani ni kwa maana; mwanamke aliye kwenye siku zake apate fursa ya kuhudhuria (ijapokuwa hatoswali) na vilievile apate fursa ya kusikia ujumbe utakaotolewa na kiongozi wa dini.

Ingelikuwa msikitini kwa mujibu wa mafundisho ya dini ni kwamba asingeliruhusiwa kuingia msikitini na kwa mantiki hiyo angekosa fursa ya kusikia ujumbe kutoka kwa kiongozi wa dini.
 
Kwa mujibu wa dini zote. Binadamu anazaliwa uchi na mpagani. Nguo,dini etc anavikuta duniani na kuanza kuvitumia na kuvitumikia
Duniani kuna dini nyingi dada yangu. Kuna Hindu, Uislam, Ukristo, Uyahudi, Budha. Kuna Jainism, Sikhi, Zoroastrianism. Kuna Bahai, Shinto, Taosim n.k

Hivyo unavyosema kwa mujibu wa dini zote nafikiri yapitie vizuri makabrasha yako kuna kitu utapata ufafanuzi wake vizuri zaidi.
 
Dini zote imejumuisha hizo ulizozitaja pia au kwa upande wako dini zote inataja dini ngapi?

Hizo dini waumini wao huwa wanazaliwa na nguo,mavazi?kama jibu ndio basi nitayapitia hayo makabrasha ila kama jibu ni hapana basi umefeli mkuu. Punguza ubishi
Duniani kuna dini nyingi dada yangu. Kuna Hindu, Uislam, Ukristo, Uyahudi, Budha. Kuna Jainism, Sikhi, Zoroastrianism. Kuna Bahai, Shinto, Taosim n.k

Hivyo unavyosema kwa mujibu wa dini zote nafikiri yapitie vizuri makabrasha yako kuna kitu utapata ufafanuzi wake vizuri zaidi.
 
Kitendo cha kuwa mvaa kobazi ni laana tosha isiyo na mfano ,hata kuzimu Leo ukienda shetani ni mvaa kobazi,mateso yte duniani yanatokana na wavaa kobazi,iwe ushoga hasa wa kimya kimya wanaongoza kufukuana,uchawi,wivu ,husda ,malalamiko,umbumbumbu kifupi kuwa kobazi ni laana
 
Back
Top Bottom