Kwa kubatizwaWatu wanaingizwaje katika Ukristu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kubatizwaWatu wanaingizwaje katika Ukristu?
Ulipozaliwa ulijujua? Wewe kweli chiz
Mimi nilichaguliwa na kutengwa na Kristo kabla sijazaliwa.Ulipozaliwa ulijujua? Wewe kweli chizi
Kabisa lo
Yesu mwenyewe anakushangaa kwakua yeye pia ni muislamu aliekua akitawadha kabla ya kuingia msikitini kwenye ibadaMimi sikuzaliwa muislam na haitakaa itokee.
Mimi Ni Mali ya Yesu Kristo .
Usiwe mkali! Jazba au kughadhibika hakutosaidia. Alichotakiwa kumalizia ni kwamba; kwa mujibu wa dini ya kiislamu. Hicho ndicho ambacho alichotakiwa kumalizia.Weee hebu huko. Sote tunazaliwa wapagani
Usiwe mkali! Jazba au kughadhibika hakutosaidia. Alichotakiwa kumalizia ni kwamba; kwa mujibu wa dini ya kiislamu. Hicho ndicho ambacho alichotakiwa kumalizia.
Na wewe unaposema wote tunazaliwa wapagani, ungelimalizia kwa kuandika kwa mujibu wa dini yangu. Hilo tu! Wala siyo vita.
Katika uislam ili mtu awe na ithibati kamili ya kile anachokifanya ushahidi wake anautoa kwenye:Unajua haya mapokeo yana changamoto sana, hasa umkute muumini asiyejua kuhoji/kujihoji. Yeye ni kuamini tu. Utakuta siku ya Eid huko Arabuni wakati huo walikiwa wakiswalia tu msikitini. By coincidence siku ya Eid ikaangukia siku msikiti unafanyiwa ukarabati, basi ibada ikafanyikia nje. Sasa kwa kutojua, wafuasi wakalibeba wakidhani ni utaratibu. Na sasa umeshazoeleka. Ni mawazo yangu
Duniani kuna dini nyingi dada yangu. Kuna Hindu, Uislam, Ukristo, Uyahudi, Budha. Kuna Jainism, Sikhi, Zoroastrianism. Kuna Bahai, Shinto, Taosim n.kKwa mujibu wa dini zote. Binadamu anazaliwa uchi na mpagani. Nguo,dini etc anavikuta duniani na kuanza kuvitumia na kuvitumikia
Duniani kuna dini nyingi dada yangu. Kuna Hindu, Uislam, Ukristo, Uyahudi, Budha. Kuna Jainism, Sikhi, Zoroastrianism. Kuna Bahai, Shinto, Taosim n.k
Hivyo unavyosema kwa mujibu wa dini zote nafikiri yapitie vizuri makabrasha yako kuna kitu utapata ufafanuzi wake vizuri zaidi.
Hata mim ningewaasi ,manake kuwa kobazi ni laanaUkome kuongea uongo wako. Nani akubali kuzaliwa akiwa kobazi. Mii hata wazazi wangu wangesema niwe kobazi, ningewaasi.