Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

Kuuliza si ujinga......hivi hiyo sanamu itakuwa na manufaa gani kiuchumi?
Itatufanya tuzidi kupambana, na pia watalij wengi kutoka nje ya nchi wataenda kuliangalia. Kumbuka Magufuli ni mtu wa Pili kwa umaarufu duniani nyuma ya ronaldo
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii. Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE
Hakuna hata mmoja ambaye ndani utawala wake CCM "walishinda" uchafuzi kwa 100% Kwahio wanaoitwa wabunge wanarudisha fadhila
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii. Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE
Wacha ijengwe kwa sababu tulikuwa hatuna sanamu la kubomoa siku ambayo tutakuwa tumechoshwa na huu utawala ovu na kukinukisha. Historia inaonyesha wananchi wanapochoshwa na ukandamizaji wa watawala masanamu ya watawala waovu huwa alama nzuri ya kushambulia. Ni Tanzania pekee tulikuwa hatuna sanamu la aina hiyo. Hata wakijenga ya ya marais wengine yatakuwa hayana sifa ya kubolewa.
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii. Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE
Kwanza gharama iliyotajwa ya Milioni 420 kwa ujenzi wa Sanamu, si sahihi ni tangopori la maripota. Pili ujenzi wake si matakwa ya serikali bali taasisi inayoamini Magufuli alikuwa na mchango mkubwa unaoakisi shughuli inazozifanya. Na zaidi ya yote taasisi yenyewe inajengewa hiyo sanamu na majengo mengine matatu ndani ya uwanja wa Sabasaba kwa ufadhiri wa NMB (Kampuni) na gharama mradi huo mzima (Kumbi tatu na sanamu) ndio hiyo 420M.
 
Hiyo sanamu ikiwekwa sababasa itasababisha watanzania wengi wasikanyage sabasaba kutokana na maumivu ambayo mwendazake amewasabishia.

Siyo hekima wala busara kuhusisha shughuli za biashara na mambo ya siasa.
 
Kwanza gharama iliyotajwa ya Milioni 420 kwa ujenzi wa Sanamu, si sahihi ni tangopori la maripota. Pili ujenzi wake si matakwa ya serikali bali taasisi inayoamini Magufuli alikuwa na mchango mkubwa unaoakisi shughuli inazozifanya. Na zaidi ya yote taasisi yenyewe inajengewa hiyo sanamu na majengo mengine matatu ndani ya uwanja wa Sabasaba kwa ufadhiri wa NMB (Kampuni) na gharama mradi huo mzima (Kumbi tatu na sanamu) ndio hiyo 420M.
Hiyo tantrade na hao nmb wamejishushia heshima sana. Wananunua kesi ambayo haiwahusu.
Wamwache Magufuli aende na maovu yake.
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.

Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.

Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Nadhani jawabu yao ni kuwa hao wengine hawakufa wakiwa madarakani. Ni wangapi kati ya hao uliowataja wamefariki wakiwa madarakani? Si kule zanzibar wameweka sanamu la abeid karume ambae alikufa akiwa madarakani?
 
Nyerere Vipi Alikufa Akiwa Madarakani Mbona Zipo Sanamu zake?
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.

Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.

Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Wengine mpka SABA SABA YA MWAKANI
 
Back
Top Bottom