Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

Bado kuna chuki kubwa sana miyoni mwa watu. Hakika haya yote ni mwendelezo wa chuki zile zile za utawala wa kirumi.

Ushauri:
Mh. Samia Suluhu na baadhi ya wateule wako waaminifu. Jitafakarini sana juu ya haya mambo yanayoendelea, Siyo kwamba mtangulizi wako hakufanya mambo makubwa au hapaswi kukumbukwa, lah! . Tatizo kubwa naloona hapa ni chuki tu baina ya pande zote mbili (Wateule wa mtangulizi wako NA waliokuwa nje ya maono yake). Pande moja inafanya au kutaka mambo ambayo yatachochea hisia na dhana mbaya dhidi ya upande mwingine kwa lengo la kuonekana wao ni washindi au kuwa na dhamira furani hivi juu yako na utawala wako. Usipokuwa makini juu ya hili jiandae kutumia silaha na kuivunja katiba kuiongoza nchi sababu ya hizi chuki zinazokuwa miyoni kwa watu siku hadi siku.

Note:
Hatima na mazuri ya mh. Magufuri yaacheni yaje yenyewe na siyo kuyalazimisha.
 
Sanamu ujenzi wake ni chaka la upigaji kwa watu wachache kwani sanamu lina nini cha ziada hadi litumie pesa yote ile??

Ajabu ni kuwa familia ya jiwe itaendelea kupokea pesa na huduma nyingi toka serikalini ilhali wastaafu wengine hadi wanafariki hawajalipwa mafao yao
 
Mimi na familia yangu tutaenda kila mwaka kwenye sanamu la Magufuli kupiga picha na kumuombea huko alipo
Ningeshangaa kama usingefanya hivyo maana ww ni mfaidika wa lile kundi lake la watu wasiojulikana.
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.

Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.

Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Kumbukumbu la Sheria/TORATI 5:8 BHN​

“ ‘Usijifanyie sanamu za miungu za kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
 
Walawi 26:1​

“Msijitengenezee sanamu za miungu ya uongo, msishike sanamu zao za kuchonga wala nguzo wala sanamu za mawe yaliyochongwa nchini mwenu na kuvisujudu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

MATAGA :
Mnataka kulazimisha tuabudu miungu yeniu ya misri, HATUTAKI.
MBELE ya hilo lisanamu tuwe tunapita na kuliomba?
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.

Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.

Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Ingetakikana Rais Mwinyi, Mkapa, Kikwete kujengewa sanamu ingekuja siku nyingi sio sasa

Sasa ndio utajua maana ya hapa kazi tuu💪 Miaka5 ya JPM sawa na miaka50 😆😆

Aendelee kulala salama shujaa wa karne🕊🕊🕊
 
Kumbukumbu la Sheria/TORATI 5:8 BHN​

“ ‘Usijifanyie sanamu za miungu za kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

Kwani hiyo sanamu ndio umeambiwa inageuzwa kuwa Mungu? Soma vizuri hiyo kumbukumbu la torati 5 usirukeruke..😆😆

Kumbukumbu la Sheria/TORATI 5: 6-9 BHN​

Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao
 
Halafu kwa nini walimzika wakati angekaushwa na kuwekwa kwenye maonesho ili kuokoa gharama ya kuchongea lisanamu la sanamu
 
Magufuli alikuwa mwamba, Anasitahili kujengewa.
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?

Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.

Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.

Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:..
Na maspika nao wajengewe sanamu kwa maana na wao wana kinga ya mashtala
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Chawa wake bado wamejjazana
 
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.

Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Kwanini sanamu na siyo ubora wa afya na elimu kwanza
 
Back
Top Bottom