Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Itatufanya tuzidi kupambana, na pia watalij wengi kutoka nje ya nchi wataenda kuliangalia. Kumbuka Magufuli ni mtu wa Pili kwa umaarufu duniani nyuma ya ronaldoKuuliza si ujinga......hivi hiyo sanamu itakuwa na manufaa gani kiuchumi?
Huyu Nyerere gani aisee Kigwangalla kaweka sanamu la mjomba wake anaita Nyerere huyu 🤣🤣🤣Tena alishirikiana na KIGWANGALAView attachment 1843154
Hakuna hata mmoja ambaye ndani utawala wake CCM "walishinda" uchafuzi kwa 100% Kwahio wanaoitwa wabunge wanarudisha fadhilaNimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii. Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE
Mwl. alikuwa ana huzuni saana halafu ni kama alilamba kitu kichachu 🙂 🙂 🙂 🙂Huyu Nyerere gani aisee Kigwangalla kaweka sanamu la mjomba wake anaita Nyerere huyu 🤣🤣🤣
Wacha ijengwe kwa sababu tulikuwa hatuna sanamu la kubomoa siku ambayo tutakuwa tumechoshwa na huu utawala ovu na kukinukisha. Historia inaonyesha wananchi wanapochoshwa na ukandamizaji wa watawala masanamu ya watawala waovu huwa alama nzuri ya kushambulia. Ni Tanzania pekee tulikuwa hatuna sanamu la aina hiyo. Hata wakijenga ya ya marais wengine yatakuwa hayana sifa ya kubolewa.Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii. Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE
Huna ujualo zaidi ya chuki za kijingaWamegundua Magufuli ndo alizalisha nyumbu wengi Sana ambao wanaweza tumika kama mtaji wa kura...that's why..
Kwanza gharama iliyotajwa ya Milioni 420 kwa ujenzi wa Sanamu, si sahihi ni tangopori la maripota. Pili ujenzi wake si matakwa ya serikali bali taasisi inayoamini Magufuli alikuwa na mchango mkubwa unaoakisi shughuli inazozifanya. Na zaidi ya yote taasisi yenyewe inajengewa hiyo sanamu na majengo mengine matatu ndani ya uwanja wa Sabasaba kwa ufadhiri wa NMB (Kampuni) na gharama mradi huo mzima (Kumbi tatu na sanamu) ndio hiyo 420M.Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii. Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE
Na AKAPIGA PESAHuyu Nyerere gani aisee Kigwangalla kaweka sanamu la mjomba wake anaita Nyerere huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba Yako umemjengeaUkifa na wewe watakujengea,
Aku!! si unalilia sanamu wewe?? Basi utajengewa ukifaBaba Yako umemjengea
hii ni sanamu ya Palamagamba Kabudi alafu nyie mnasingizia eti ni sanamu ya Mwalimu Nyerere.Tena alishirikiana na KIGWANGALAView attachment 1843154
Milioni 450 kodi zetu kuchezea kwenye vitu vya ajabu hapa unajenga vyoo vya shule 50 kijijiniIna thamani gani
Hiyo tantrade na hao nmb wamejishushia heshima sana. Wananunua kesi ambayo haiwahusu.Kwanza gharama iliyotajwa ya Milioni 420 kwa ujenzi wa Sanamu, si sahihi ni tangopori la maripota. Pili ujenzi wake si matakwa ya serikali bali taasisi inayoamini Magufuli alikuwa na mchango mkubwa unaoakisi shughuli inazozifanya. Na zaidi ya yote taasisi yenyewe inajengewa hiyo sanamu na majengo mengine matatu ndani ya uwanja wa Sabasaba kwa ufadhiri wa NMB (Kampuni) na gharama mradi huo mzima (Kumbi tatu na sanamu) ndio hiyo 420M.
Nadhani jawabu yao ni kuwa hao wengine hawakufa wakiwa madarakani. Ni wangapi kati ya hao uliowataja wamefariki wakiwa madarakani? Si kule zanzibar wameweka sanamu la abeid karume ambae alikufa akiwa madarakani?Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba
Nyerere Vipi Alikufa Akiwa Madarakani Mbona Zipo Sanamu zake?Nadhani jawabu yao ni kuwa hao wengine hawakufa wakiwa madarakani. Ni wangapi kati ya hao uliowataja wamefariki wakiwa madarakani? Si kule zanzibar wameweka sanamu la abeid karume ambae alikufa akiwa madarakani?
Wengine mpka SABA SABA YA MWAKANINimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI hii.
Kama Tunataka Kujenga SANAMU ya MAGUFULI Basi TUJENGE na SANAMU za MWINYI, MKAPA na KIKWETE.
Pia soma
- Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba