Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

Ukisha mchukia mtu huwezi kuona mchango wake.
 
Alikuwa jambawazi kuliko wenzake
 
Kati ya hawa wote uliowataja nani Amefia madarakani?
 
Mwinyi kapewa gari, Kikwete - nyumba, Mkapa - tausi, Magufuli - sanamu
Marais wote wastaafu wamejengewa nyumba kwa pamoja na magufili,alifariki kabla hajazikabidhi lakini mapema kabla ya kifo aliwahi kufanya ziara za kuzikagua. Na wote walipewa tausi
 
Kati ya hawa wote uliowataja nani Amefia madarakani?
Kwani umeambia sanamu linajengwa kwa kwa sababu tu amefia madarakani?ni ujinga na ushamba tu ulio tokana na nchi kukabidhiwa kwa kabila la kishenzi ambao walitaka mila na desturi zao ziwe mila na desturi za taifa
 
Mkapa alishakufa, tena Sanamu lake linatakiwa litangulie kabla la Magufuli
Mkapa ovyo sana haina maana kujengewa sanamu!! Legacy ya Magu inajitetea ndio mana unaona mpaka Statue inajengwa
 
Mkapa ovyo sana haina maana kujengewa sanamu!! Legacy ya Magu inajitetea ndio mana unaona mpaka Statue inajengwa
Kama Legacy inajitetea na watu wanaiona, kuna haja gani ya kujenga sanamu?
 
Labda wasema wanajenga sanam ya kuabudia mataga
 
Hii nchi ina vipaumbele vya ajabu sana. Hiyo pesa unapata kituo cha afya na kuokoa maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…