mkushi wa kushi
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 657
- 993
Na mkapa je c alishakufaHao uliotaja hawajafa bado.. kizazi cha sasa ukifa ndipo unakuwa lulu
Ni nani hatakumbukwa milele?Watanzania legacy ya kiongozi haipimwi kwa kujenga zahanati wala stendi za daladala. hayati nelson mandela pamoja na kuwa rais wa africa ya kusini hakuwahi kujenga jengo lolote lakini legacy yake ni kubwa na atakumbuka milele sio na watu wake tu bali na dunia nzima...
Tumia Akili japo kidogo kama huna waache wenye Akili kubwa Wachangie au umehamishwa Ubongo kama huyuNi nani hatakumbukwa milele?
Hata akina hitler wanakumbukwa mpaka sasa sasa iweje hayo mawazo yako?
Huyo mandela unamkumbuka weww ila kuna watu hata hawamjui, na hata wale waliotendewa vibaya na makaburu walishasahau na sasa wanagonga nao cheers
Wewe mwenye kuwaza hizi tabia mbona tunakuheshimu tu na.mawazo yako?Tumia Akili japo kidogo kama huna waache wenye Akili kubwa Wachangie au umehamishwa Ubongo kama huyuView attachment 1845682
Wewe mwenye kutaka uhuru wa hizi tabia mbona tunakuacha ili ujitimizie haja yako bila kuathili wengineTumia Akili japo kidogo kama huna waache wenye Akili kubwa Wachangie au umehamishwa Ubongo kama huyuView attachment 1845682