Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

Watanzania legacy ya kiongozi haipimwi kwa kujenga zahanati wala stendi za daladala. hayati nelson mandela pamoja na kuwa rais wa africa ya kusini hakuwahi kujenga jengo lolote lakini legacy yake ni kubwa na atakumbuka milele sio na watu wake tu bali na dunia nzima.

Tujifunze viongozi wetu fanyeni mambo makubwa na mazito kwa wananchi mtakumbukwa milele. legacy pekee kwa rais samia ni kuwapatia watanzania katiba mpya.badala ya kukumbatia katiba iliyo waumiza wananchi wako.
 
Hilo legacy mkimpa lissu inatosha,acheni wengine tumpe magufuli ingawa tutamkumbuka wote.
 
Watanzania legacy ya kiongozi haipimwi kwa kujenga zahanati wala stendi za daladala. hayati nelson mandela pamoja na kuwa rais wa africa ya kusini hakuwahi kujenga jengo lolote lakini legacy yake ni kubwa na atakumbuka milele sio na watu wake tu bali na dunia nzima...
Ni nani hatakumbukwa milele?

Hata akina hitler wanakumbukwa mpaka sasa sasa iweje hayo mawazo yako?

Huyo mandela unamkumbuka weww ila kuna watu hata hawamjui, na hata wale waliotendewa vibaya na makaburu walishasahau na sasa wanagonga nao cheers
 
kiongozi bora ni yule anayewaondoa wananchi kwenye unyonyaji wa kiuchumi, kijamii na kisiasa.
 
Nini maana ya legacy?
Legacy hulazimishwa?
Manufaa ya legacy ni yapi?
 
Ni nani hatakumbukwa milele?
Hata akina hitler wanakumbukwa mpaka sasa sasa iweje hayo mawazo yako?
Huyo mandela unamkumbuka weww ila kuna watu hata hawamjui, na hata wale waliotendewa vibaya na makaburu walishasahau na sasa wanagonga nao cheers
Tumia Akili japo kidogo kama huna waache wenye Akili kubwa Wachangie au umehamishwa Ubongo kama huyu
JamiiForums-981320052.jpg
 
Back
Top Bottom