Shibe mwana Malaza, njaa mwana malegezaKwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za slow slow ukikaa vibaya unasinzia nimechunguza sababu sio njaa wala jua ipo tu naturally.
Kwa mkongo hapo napitaga sana mkuu....Karibu kwa mkongo mkuuπ
Karibu sana kakaOoooh kaka pande zetu hizo
Muda wa kuswali huo.Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za slow slow ukikaa vibaya unasinzia nimechunguza sababu sio njaa wala jua ipo tu naturally.
Huwa naingia sana mikadi pale kuna ma mdogoKaribu sana kaka
Pale pazuri sana yaani kakaHuwa naingia sana mikadi pale kuna ma mdogo
Leo kuna baridi kali mnooo mnooo....Kwa watu wa dar maeneo ya posta kariakoo na mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience...
Vipi na huku Dodoma ? ππππ
Mana kwa jua hili lazima mtulie tuu hata miti inapoa πππππππππ
Yaaah leo sijui vp na hali ya mawingu.....Leo kuna baridi kali mnooo mnooo....
Huko mtaganda maana huwa mwaka mzima hali yake ya hewa ni ubaridi sasa ukijumlisha na leo doooh...Yaaah leo sijui vp na hali ya mawingu.....
Huku juu Benjamin ni hatari hii cold
Aeleze kushoto au kuliaZiwa lipi
ππππ Leo hali imezidi. . kuna hii bardi ya kupuliza an....Huko mtaganda maana huwa mwaka mzima hali yake ya hewa ni ubaridi sasa ukijumlisha na leo doooh...
πππ Tualikane mkuu.Duuh!!Umenidindisha kinyoko Madam,,ngoja nami nimalizie kuvuta jani korofi nijisogeze rainbow hapo nikachape k-vant kubwa na kitimoto ndizi choma!!
Shaka Ondoa Madam,, tupange siku ili niweze kukukabidhi hayo majukumu yako nadhani machache ndio yatakuwa mapya,, lakini naamini mengi utakuwa unayafahamu kwa kuwa fildi umepita,,###KamaHutojalilLakini###πππ Tualikane mkuu.
Nikusaidie baadhi ya 'majukumu'
Mikumi ya Chamazi hiyo nlichukua chumba ili nimchakate mrembo nikahisi baridi sio nzuri kumuuliza mhudumu jamaa akasema wateja washakilewa hapo club wanachukua malaya wanawaf..r mpaka wanakunya kitandani[/QUOTE]Mmmmh mkuu ni mikumi ya huku chamazi hiyo lakini au unasemeq mikumi ipi πππππ
π€£π€£π€£π€£Hata police traffic mida hio wanakua wapole sana unakuta wametulia kwenye vibanda vyao
Dah mitaaa yenu mizuri sana yaani kaka usiku kama muchana yaani
Duuuh aiseeeee mbna kuna hatari sasaMikumi ya Chamazi hiyo nlichukua chumba ili nimchakate mrembo nikahisi baridi sio nzuri kumuuliza mhudumu jamaa akasema wateja washakilewa hapo club wanachukua malaya wanawaf..r mpaka wanakunya kitandani