Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za slow slow ukikaa vibaya unasinzia nimechunguza sababu sio njaa wala jua ipo tu naturally.
Shibe mwana Malaza, njaa mwana malegeza
 
Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za slow slow ukikaa vibaya unasinzia nimechunguza sababu sio njaa wala jua ipo tu naturally.
Muda wa kuswali huo.
 
Kwa watu wa dar maeneo ya posta kariakoo na mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience...

Vipi na huku Dodoma ? 🙌🙌🙌🙌
Mana kwa jua hili lazima mtulie tuu hata miti inapoa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo kuna baridi kali mnooo mnooo....
 
Na ikifika saa 1600HRS lazima punda alie
 
Huko mtaganda maana huwa mwaka mzima hali yake ya hewa ni ubaridi sasa ukijumlisha na leo doooh...
🙌🙌🙌🙌 Leo hali imezidi. . kuna hii bardi ya kupuliza an....
Maybe badae hali itabadilika
 
Duuh!!Umenidindisha kinyoko Madam,,ngoja nami nimalizie kuvuta jani korofi nijisogeze rainbow hapo nikachape k-vant kubwa na kitimoto ndizi choma!!
😋😋😋 Tualikane mkuu.
Nikusaidie baadhi ya 'majukumu'
 
😋😋😋 Tualikane mkuu.
Nikusaidie baadhi ya 'majukumu'
Shaka Ondoa Madam,, tupange siku ili niweze kukukabidhi hayo majukumu yako nadhani machache ndio yatakuwa mapya,, lakini naamini mengi utakuwa unayafahamu kwa kuwa fildi umepita,,###KamaHutojalilLakini###
 
Mmmmh mkuu ni mikumi ya huku chamazi hiyo lakini au unasemeq mikumi ipi 😂😂😂😂😂
Mikumi ya Chamazi hiyo nlichukua chumba ili nimchakate mrembo nikahisi baridi sio nzuri kumuuliza mhudumu jamaa akasema wateja washakilewa hapo club wanachukua malaya wanawaf..r mpaka wanakunya kitandani[/QUOTE]
 
saa saba mchana mwamba uyu hapa kuna issue anaiskilizia.
👇
images (1).jpeg
 
Mikumi ya Chamazi hiyo nlichukua chumba ili nimchakate mrembo nikahisi baridi sio nzuri kumuuliza mhudumu jamaa akasema wateja washakilewa hapo club wanachukua malaya wanawaf..r mpaka wanakunya kitandani
Duuuh aiseeeee mbna kuna hatari sasa
 
Back
Top Bottom