Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa.

Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ??

Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
 
Kataa ndoa okoa kibunda!
 
Utaratibu wa kuoa wa kikristo umekaa kisaniii sanii tuu na kupelekeshana , swala la ndoa bhana just beba mke weka ndani , taratibu nyingi zisizo na msingi , na imekuwa biashara Kwa wachungaji , Mungu hajafanya suala la ndoa kuwa gumu kiasi hiki aisee
 
Mkristo wa maana anatakiwa ao akifikisha miaka 20 hadi 22.
Anaanza kuwa mtu mzima akifikisha miaka 13.

Kuzini ni maamuzi ya mtu binafsi. Pia siku hizi wachungaji wanaona aibu kuwafundisha waumini maadili yaliyonyooka maana hata wao wanategwa sana na wadada na wamama hivyo wanakuwa upakoless
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Sisi wakristo kwanza, kutoka Komuni mpaka kipaimara ni vitu tunaandaliwa na wazazi, moja ni waoga na tunajisahaulisha kuhusu swala hilo, maana ni either twende age au tushtulie na wazee. Na wengi hatuna maneno mpaka tupate maendeleo.
Plus watoto wa nje huwa ni nje ya mipango.
Ila ifike mahala, vijana wa kikristo, Waweke ndoa mbele.
Na elimu ya ndoa itolewe haswa kwa viwawa kwenye kabisa katoliki.
 
Waweke talaka Tu ..
Iwe rahisi kuoana na rahisi kuachana...
Na masuala ya kugawana Mali yasiwepo...
Kila mtu aondoke na Mali yake..
Ndoa zitakuwa nyingi sana
Pia Yesu hakuna alipokataza kuongeza mke, sio lazima uongeze mke lakini huwa inasaidia kupunguza kiburi na kuridhika kwa mwanmke, tani mwanamke akishajua kaolewa ndoa ya kikristo anaota mapembe ya kukufanyia hata kiburi maana anaona kamaliza kila kitu mwanaume hana ujanja wa kuongeza mke ama kuvunja ndoa na ndoa ikivunjwa mahakamani mali zinapigwa pasu kwa pasu.
 
Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ??

Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ?
Sisi Waislam ukipata hela ya chai, maandazi, ubani na nauli ya Ustaadh mfungisha ndoa inatosha kabisa.

Sasa nyie wenzetu mambo meeeeengi, usawa huu uchange ifike 10mil ya ukumbi, mapambo, mziki, chakula sijui watu 200, vinywaji, MC, hadi ije ifike ni Leo??
 
Ni kama ndoa za kiafrika za kitamaduni,

Mambo yamenyooka
 
Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ??

Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ?
Mnakutana kwenye uzinzi eeh?!
Sasa ungeanza kuonyesha Yesu kafundisha wapi uzinzi Ndipo Wakristo uwaite wazinzi Kwa KUYAFUATA na KUYAISHI MAFUNDISHO YAKE!
Nitakuonyesha mzinzi na Mungu wako kaagiza yeye ni kigezo chema umgeze!
Dhahir eeh?!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza hii sheria ya mke mmoja Nani aliiweka?
Sheria hakuna kuachana Nani aliiweka?
Roman Catholic ni dhehebu la kimkakati/kimchongo sana
 
Ni kama ndoa za kiafrika za kitamaduni,

Mambo yamenyooka
Kwenye ukristo hakuna gharama yoyote hata maandazi hayahitajiki wanahitajika wanaofungishwa ndoa na mashahidi wao basi.
Hayo mambo mengi ni masuala binafsi ya mfunga ndoa.
Kuna watu Wanafunga ndoa asubuhi na wanaelekea kazini kuendelea na majukumu yao.
Hawahitaji nauli ya mfungisha ndoa wala maandazi.
 
Mnakutana kwenye uzinzi eeh?!
Sasa ungeanza kuonyesha Yesu kafundisha wapi uzinzi Ndipo Wakristo uwaite wazinzi Kwa KUYAFUATA na KUYAISHI MAFUNDISHO YAKE!
Nitakuonyesha mzinzi na Mungu wako kaagiza yeye ni kigezo chema umgeze!
Dhahir eeh?!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Ndoa za kiafrika na waislam, vijana wakifika miaka 22 wanaanza kuoa na maisha yanaendelea.

Sasa huko kwengine mtu anafika 33 bado hajaoa lakini ana mahusiano na watoto,

huu ni UZINZI !
 
Kwenye ukristo hakuna gharama yoyote hata maandazi hayahitajiki wanahitajika wanaofungishwa ndoa na mashahidi wao basi.
Hayo mambo mengi ni masuala binafsi ya mfunga ndoa.
Kuna watu Wanafunga ndoa asubuhi na wanaelekea kazini kuendelea na majukumu yao.
Hawahitaji nauli ya mfungisha ndoa wala maandazi.
Dini ya kikristo ishaweka mfumo wa kugharamia harusi mamilioni, ni wachache sana wanaokwepa huu mfumo kwa kujua maana halisi ya ndoa.
 
Dini ya kikristo ishaweka mfumo wa kugharamia harusi mamilioni, ni wachache sana wanaokwepa huu mfumo kwa kujua maana halisi ya ndoa.
Ndoa ndio muhimu, hiyo sherehe ya harusi mnaikuza tu.
 
Back
Top Bottom