sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Pia Yesu hakuna alipokataza kuongeza mke, sio lazima uongeze mke lakini huwa inasaidia kupunguza kiburi na kuridhika kwa mwanmke, tani mwanamke akishajua kaolewa ndoa ya kikristo anaota mapembe ya kukufanyia hata kiburi maana anaona kamaliza kila kitu mwanaume hana ujanja wa kuongeza mke ama kuvunja ndoa na ndoa ikivunjwa mahakamani mali zinapigwa pasu kwa pasu.Waweke talaka Tu ..
Iwe rahisi kuoana na rahisi kuachana...
Na masuala ya kugawana Mali yasiwepo...
Kila mtu aondoke na Mali yake..
Ndoa zitakuwa nyingi sana
Sisi Waislam ukipata hela ya chai, maandazi, ubani na nauli ya Ustaadh mfungisha ndoa inatosha kabisa.Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ??
Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ?
Ni kama ndoa za kiafrika za kitamaduni,Sisi Waislam ukipata hela ya chai, maandazi, ubani na nauli ya Ustaadh mfungisha ndoa inatosha kabisa.
Sasa nyie wenzetu mambo meeeeengi, usawa huu uchange ifike 10mil ya ukumbi, mapambo, mziki, chakula sijui watu 200, vinywaji, MC, hadi ije ifike ni Leo??
Mnakutana kwenye uzinzi eeh?!Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ??
Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ?
Kwenye ukristo hakuna gharama yoyote hata maandazi hayahitajiki wanahitajika wanaofungishwa ndoa na mashahidi wao basi.Ni kama ndoa za kiafrika za kitamaduni,
Mambo yamenyooka
Ndoa za kiafrika na waislam, vijana wakifika miaka 22 wanaanza kuoa na maisha yanaendelea.Mnakutana kwenye uzinzi eeh?!
Sasa ungeanza kuonyesha Yesu kafundisha wapi uzinzi Ndipo Wakristo uwaite wazinzi Kwa KUYAFUATA na KUYAISHI MAFUNDISHO YAKE!
Nitakuonyesha mzinzi na Mungu wako kaagiza yeye ni kigezo chema umgeze!
Dhahir eeh?!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Dini ya kikristo ishaweka mfumo wa kugharamia harusi mamilioni, ni wachache sana wanaokwepa huu mfumo kwa kujua maana halisi ya ndoa.Kwenye ukristo hakuna gharama yoyote hata maandazi hayahitajiki wanahitajika wanaofungishwa ndoa na mashahidi wao basi.
Hayo mambo mengi ni masuala binafsi ya mfunga ndoa.
Kuna watu Wanafunga ndoa asubuhi na wanaelekea kazini kuendelea na majukumu yao.
Hawahitaji nauli ya mfungisha ndoa wala maandazi.
Ndoa ndio muhimu, hiyo sherehe ya harusi mnaikuza tu.Dini ya kikristo ishaweka mfumo wa kugharamia harusi mamilioni, ni wachache sana wanaokwepa huu mfumo kwa kujua maana halisi ya ndoa.