Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka ktk account yng baada ya kufanya oral na kusubiri majibu kwa muda status ilibadilika ikawa SELECTED ilikaa kama siku 3 hivi, then ikarud kawaida mwisho wa siku ukaja mkeka jina halipo😌😥Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.