Kwanini inachukua muda mrefu kutoka oral hadi placement? Nadhani watu wapewe kwanza matokeo ya oral kwenye akaunti zao halafu wasubiri PDF

Godbles3

Member
Joined
Feb 8, 2023
Posts
96
Reaction score
260
Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.
 
Huu Uzi si inafanana na ule mwingine, nenda kule utasidia shida yako mkuu
 
Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.
Nakumbuka ktk account yng baada ya kufanya oral na kusubiri majibu kwa muda status ilibadilika ikawa SELECTED ilikaa kama siku 3 hivi, then ikarud kawaida mwisho wa siku ukaja mkeka jina halipo😌😥

NAOT🤒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…