Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

Imetusaidia sisi wengine kuelimika. Kubali kuelimika kwa manufaa yako ya baadae
Inahitaji elimu ya spelling errors hahahaa ngoja nicheke, hata waingereza wenyewe wanafanya makosa ya hizo makitu.
Mimi nilishavuka steji ya kiingereza cha spelling,nahitaji tu muundo na grammar, spelling nitamwuliza Google nikihitaji. Kama imekusaidia kuelimika nishukuru, asante
 
Yes inahitajika. Niliposoma comment yako sikuelewa umemaanisha nini nimekuja kuelewa baada ya kurerekebishwa.

Ungekuwa umevuka vzr stage ya spelling usingekosea kirahisi hivyo.
Ni kwamba hukuwa unajua inaandikwaje.
 
Narudia tena, mimi sina cha kufanya na spelling nilishavuka huko, nikataka kutafuta inaandikwaje Google ingenipa majibu. Hivo nakushauri jikite kwanye uzi na kama kuna kitu umejufunza kichukuwe ufanyie kazi
 
Acha ubishi ndugu. Naamini umeshukuru kimoyomoyo kusahihishwa. Now you know!
 
Water is not a bevarage Perce, it is just a healthy bevarage hivo naamini una haki ya kunywa maji ukiwa kwenye chumba cha mtihani. Mnapaswa argue na hizi sheria za kikoloni vyuoni.
Kwani ni vyuoni tu, shule ya msingi na sekondari maji yanaruhusiwa?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam.
Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza.

Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
Maswali mengine hayatakiwi kuulizwa na wewe! Maji yamekatazwa ndani ya chumba cha mtihani, lakini kama umekuja nayo ukayaacha nje ya chumba cha mtihani, ukibanwa na kiu si unaruhusiwa kwenda kunywa au hujui madhara ya maji kwenye karatasi?
 
Back
Top Bottom