Kwanini injili ya Barnabas iliteketezwa?

Kwanini injili ya Barnabas iliteketezwa?

Alietunga kitabu cha aya za shetani nayeye alikuwa swahaba wa mtume? Vip barnaba alikuwa ni nani kwa Yesu? naona unajaribu kulinganisha visivyo kuwepo komaa kwenye mada

Nani kaghushi ? unaweza kuthibitisha angalau andiko moja ambalo wewe unahisi limeghushiwa kwadalili zilizo wazi

Nani alikuwa na mamlaka ya kuikataa injili ya barnaba? halafu kama hoja ni hizo mbona tofauti zipo hata kwa kina MATHAYO, Marko na yohana lakini hamkuvifuta kama hoja ni kutofautiana

masudi hebu achana na hayo makaratasi fake ya Barnabas fake...[emoji53] [emoji12] baba kasim anasimulia siku hiyo itakavyo kuwa [emoji117]
IMG_20181007_122659_712.jpg
sasa kasome ukurasa wa.70 hicho Kitabu Anakwambia Malaika woote watakufa [emoji38] [emoji38] halafu muisilamu wanaamini hicho Kitabu ni sahihi [emoji12]
 
...werevu tunahitimisha kuwa vitabu vyote ni vya kutungwa na binadamu,_hivyo hakuna haja ya kuviamini kama vitukufu Mara sijui vitakatifu
....ingawa vinafaa kwa mafundisho ya kijamii
Hakika ... umesema vyema z
 
Labda aliandika uhusiano wa Yesu na Maria makdalena , ila kuna siku Yesu alikuwa anacheza na watoto wenzie akarusha jiwe juu likamwangukia utosini mtoto akafa .
...mkuu hii inapatikana kwenye kitabu gani ?
 
masudi hebu achana na hayo makaratasi fake ya Barnabas fake...[emoji53] [emoji12] baba kasim anasimulia siku hiyo itakavyo kuwa [emoji117] View attachment 889374 sasa kasome ukurasa wa.70 hicho Kitabu Anakwambia Malaika woote watakufa [emoji38] [emoji38] halafu muisilamu wanaamini hicho Kitabu ni sahihi [emoji12]
sasa hizo mbingu wao wameziona wapi "?
 
Wanadai ni Gospel iliyoandikwa na mtu mmoja lakini ilichomwa moto huko Roma . Kuna Gospel nyingi zilichomwa moto zikachukuluwa nne tu . Nilisikia sina uhakika , nimekiuka masharti "no research no right to speak "
 
masudi hebu achana na hayo makaratasi fake ya Barnabas fake...[emoji53] [emoji12] baba kasim anasimulia siku hiyo itakavyo kuwa [emoji117] View attachment 889374 sasa kasome ukurasa wa.70 hicho Kitabu Anakwambia Malaika woote watakufa [emoji38] [emoji38] halafu muisilamu wanaamini hicho Kitabu ni sahihi [emoji12]
Wewe unawezaje kumuwekea mashaka barnaba wakati ata Yohana anathibitisha kuna mambo mengine akuandika , inawezekana ndio hayo ambayo barnaba aliyaandika
YOHANA 20:30
"; Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki";

labda wewe unaweza kutuambia ni mambo mangapi Yohana aliyaacha na kwanini aliyaacha? , kisha ndio uje umjadili barnaba kuhusu yale mambo ambayo hayakuandikwa huko mnaposoma
 
Neno la Mungu [emoji117] View attachment 889387View attachment 889389View attachment 889392View attachment 889426 usizeeke usiku mshaharaha kumepambazuka [emoji106]
Tunajadili injili ya barnaba kuacha maandiko ni kawaida Yenu mbona hata Yohana aliacha tu
YOHANA 20:30
"Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki";

hoja unazomtolea barnaba ni zakitoto kabisa kama Yohana aliacha maandiko kuna ubaya gani barnaba kuandika vilivyoachwa ?
 
Walipokuwa wamelala, akaja adui akapanda magugu...........
Basi vilipoota yakaonekana na magugu shambani....
Wakamfuata Bwana wao wakamuuliza, Je, ukupanda mbegu njema wewe? Akawaambia.............
Wakamuuliza wataka tukang'oe magugu?
Akawaambia acha yakue pamoja na ngano, mshije mkang'oa na mbegu bora, vitakapokua vimeiva ndio tutakusanja magugu kwanza na kuyatupa motoni na ngano tutaweka ghalani.
 
Wewe unawezaje kumuwekea mashaka barnaba wakati ata Yohana anathibitisha kuna mambo mengine akuandika , inawezekana ndio hayo ambayo barnaba aliyaandika
YOHANA 20:30
"; Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki";

labda wewe unaweza kutuambia ni mambo mangapi Yohana aliyaacha na kwanini aliyaacha? , kisha ndio uje umjadili barnaba kuhusu yale mambo ambayo hayakuandikwa huko mnaposoma

Aya ya 31 [emoji117]
IMG_20181007_202658_425.jpg
sasa Barnabas fake wanaamini Yesu ndiye Kristo [emoji351] [emoji350]
 
Tunajadili injili ya barnaba kuacha maandiko ni kawaida Yenu mbona hata Yohana aliacha tu
YOHANA 20:30
"Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki";

hoja unazomtolea barnaba ni zakitoto kabisa kama Yohana aliacha maandiko kuna ubaya gani barnaba kuandika vilivyoachwa ?
Viwango viwango KUZINGATIWA alicho andika Barnabas fake ni sawa na baba yake fatuma [emoji53]
 
Lengo la vitabu hivi ni kumfikishia mwanadam ujumbe wa Mungu ya kwamba Mungu yupo na anaokoa.
vitabu vinatofautiana kulingana na mtu alivyofikishiwa ujumbe, tamaduni na jamii husika ya ya huyo mjumbe wa Mungu.
ujumbe wa Mungu ulivyomfikia paulo ni tofauti na ulivyo mfikia petro au yakobo japo wote walikua wakihubiri wokovu utokao kwa Mungu kupitia kwa Yesu Kristo.
kwa namna hio hata barnaba huwenda alipokea ujumbe kama wengine ila kwa utofauti na ndio maana ujumbe wake ulipokelewa vibaya. tukumbuke pia paulo aliomwona petro akikosea katika mahuburi yake na ndio maana alimkemea.
kwa hio hakuna alie mkamilifu katika uandishi wa vitabu hivi kwa sababu wote ni wanadamu na siku zote mwanadamu haja kamilika.
wazee wa kanisa kwa mwongozo wa Roho Takatifu waliweka vitabu hivi katika mkusanyiko mmoja nao ni Biblia, kwa lengo kuu la kumfikishia mwanadamu ujumbe wa Mungu uhusuo wokovu baada ya mwanadamu kupoteza usiano na muumba wake.
vitabu vilivyoonekana vitaeleweka vibaya hawakuviweka na vilivyo potosha ujumbe wa wokovu walivichoma!!!
usidhani kwamba Mungu haoni kitabu fulani kimeondolewa, anaona sana na tukumbuke kwamba Mungu ndie anae tutafuta na wala sio sisi, na njia alioweka ya kutufikia na sisi kumfikia ndio hii iliopo. hizi nyingine tunazotafuta huwenda zingetupoteza na ndio maana hatunazo, NEEMA YA MUNGU ITUNGOZE.
 
Back
Top Bottom