Iko kinyume chake ..Comments za fb nimekuja kugundua huwa zinasukumwa na upepo, inaweza kuanzishwa mada ukakuta kundi la wapinzani ndio wana comment tu kuelekea upande wao, lakini pia inaweza kuanzishwa mada nyingine ukakuta kundi la CCM tu ndio lina comment kuelekea upande wao, all in all napo kuna mgawanyo wa wapiga kura.
Lakini huku jf ni kikundi kidogo sana cha wapiga kura kisicho na impact yoyote, ID nyingi ni zile zile miaka nenda rudi, tofauti na fb huko kila siku zinazuka ID mpya.
Wewe ndo una povu had ukaanza personal attack, kuwa mvumilivu ndugu. Mwanaume mzima una I'd nyingi sijui ka Nini hafu siuende huko FB na IG unakoona Wana msifia mwendazake.mda wote tu jf ya sikuhizi si nzuri huku unaendelea ku comment na Wala hauachi.
but why many of these typos are only done by swahili speakers?.
Si ndiyo hao hao majority ambao wakipewa kanga na kofia na ubwabwa basi wanakumwagia kura. Hata ukiwaibia hawaelewi. Ukiwatajia flani kaiba tilioni hawawezi kuelewa. Na ndiyo mtaji wa ccm na wanafurahi kuitwa wanyonge. Kwahiyo CAG kadanganya😂😂😂Wapiga kura na majority ya watanzania wapo huko. Hizi ID ambazo hazifiki hata 100 zinazoshnda JF kupiga spana ni kama tone la mchanga kwenye bahari.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo 80% sijui umeitoa wapi
Sista unapofanya mijadala na watu achana na maneno kama haya 'mwanaume mzima' jifunze kutetea hoja zako bila excuse za kijinga kama hizo!!
Huwezi kuwa great thinker ukawa na mawazo kama haya. Mtu aache kuendesha biashara zake katika platform yenye population kubwa eti kwa kufofia kuonekana ni kilaza?
Hata humu JF vilaza ni wengi mno.
Kwani JF zama hizi bado watu wanaitana GTs? sidhani. Ningeliijua JF ikiwa hivi ingenifikirisha sana kujifanya mmoja wake.
Nilitamani kumuhoji Mzee Mwanakijiji kwenye bandiko lake lakini nikaona wote ataona ni wakosoaji hewa. Siku izi unakuta mada nzuri lakini ukiangalia mjadala unasema nisipoteze muda wangu.
Lakini ni matokeo yakutoa mwanya mchache wa watu kuwasilisha kero zao. Ukisoma dhana ya representative democracy unagundua kuwa ni haki yao watu kutumia mitandao kusema ukweli wawakilishi wayajue. Hawakuwa karibu nao kwa miaka na mikaka leo wapo wote kwenye jukwaa moja la melo.
Kwamba ukiwa mchangiaji jf moja kwa moja Ni great thinker!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo kwa kudharauliana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote tu hali Ni moja, great thinker wasiojulikana na fb wanaojulikana
halafu mjf anashupaa kumnanga mtu wa fb[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni wapumbavu pekee ndo wanaoweza kufanya huu ushenzi
Ni Kama mtu anaeishi mitaa ya kishua kuwadhihaki wanaoishi uswahilini
Naheshimu platform zote na ambazo hazinikuni huwa napita kimya kimya naendelea na yangu
Si ndiyo hao hao majority ambao wakipewa kanga na kofia na ubwabwa basi qanakumwagia kura. Hata ukiwaibia hawaelewi. Ukiwatajia flani kaiba tilioni hawawezi kuelewa. Na ndiyo mtaji wa ccm na wanafurahi kuitwa wanyonge. Kwahiyo CAG kadanganya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Tanzania kwakweli ni nchi ya ajabu sana.
Tangu lini neno la kiswahili likawa na L mbili? Mimi naandika kiswahili na hilo neno tumeliazima kwenye kingereza tunaliandika kwa kiswahili. Umeshindwa hata kuelewa hilo? Au na wewe ni kati ya hao wa FB?Sasa wewe “mjuaji” usiyeweza hata kuandika neno Trillion ndio wa kuwacheka wenzio[emoji3][emoji3]
Facebook na Instagram hakuna wajinga wa chadema
Hata Lisu research yake kwamba atashinda urais alitumia sampling kutoka Jf na twitter, ccm wao hutumia Facebook na Instagram.
Lisu akiona coment za kina mmawia hapa jf na likes kwa kina kigogo hujiona tayari rais lkini uhakisia unakataa
Form failure huko ndo zimejaa
Tangu lini neno la kiswahili likawa na L mbili? Mimi naandika kiswahili na hilo neno tumeliazima kwenye kingereza tunaliandika kwa kiswahili. Umeshindwa hata kuelewa hilo? Au na wewe ni kati ya hao wa FB?
We unaandika kingereza, mimi ninaandika Kiswahili. Hilo neno tumelitohoa kutoka kwenye Kingereza. Na neno tukilitohoa kutoka kwenye Kingereza uwa tunaliandika kwa matamshi yetu. Kwanza kwa Kiswahili hatuandiki neno lolote kwa kufuatishana ll mbili. Halafu hebu fanya kugoogle kidogo andika neno tilioni utaona ilivyotajwa kwenye vyanzo tofauti vya habari.Yes mimi ni mmoja wapo kwani ni dhambi kuwa na Account FB,mbona JF inayo Account pia huko au hujui,kubali tu umepuyanga,kujifanya mjuaji kuliko wenzio kumbe huna ujualo.Ni “Trillion” na siyo “Tilion”