Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Iko kinyume chake ..Comments za fb nimekuja kugundua huwa zinasukumwa na upepo, inaweza kuanzishwa mada ukakuta kundi la wapinzani ndio wana comment tu kuelekea upande wao, lakini pia inaweza kuanzishwa mada nyingine ukakuta kundi la CCM tu ndio lina comment kuelekea upande wao, all in all napo kuna mgawanyo wa wapiga kura.
Lakini huku jf ni kikundi kidogo sana cha wapiga kura kisicho na impact yoyote, ID nyingi ni zile zile miaka nenda rudi, tofauti na fb huko kila siku zinazuka ID mpya.