Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Comments za fb nimekuja kugundua huwa zinasukumwa na upepo, inaweza kuanzishwa mada ukakuta kundi la wapinzani ndio wana comment tu kuelekea upande wao, lakini pia inaweza kuanzishwa mada nyingine ukakuta kundi la CCM tu ndio lina comment kuelekea upande wao, all in all napo kuna mgawanyo wa wapiga kura.

Lakini huku jf ni kikundi kidogo sana cha wapiga kura kisicho na impact yoyote, ID nyingi ni zile zile miaka nenda rudi, tofauti na fb huko kila siku zinazuka ID mpya.
Iko kinyume chake ..
 
Kwamba ukiwa mchangiaji jf moja kwa moja Ni great thinker!!!😂😂😂😂😂😂😂wabongo kwa kudharauliana 😂😂😂😂 wote tu hali Ni moja, great thinker wasiojulikana na fb wanaojulikana

halafu mjf anashupaa kumnanga mtu wa fb😂😂😂😂😂 Ni wapumbavu pekee ndo wanaoweza kufanya huu ushenzi

Ni Kama mtu anaeishi mitaa ya kishua kuwadhihaki wanaoishi uswahilini

Naheshimu platform zote na ambazo hazinikuni huwa napita kimya kimya naendelea na yangu
 
Wewe ndo una povu had ukaanza personal attack, kuwa mvumilivu ndugu. Mwanaume mzima una I'd nyingi sijui ka Nini hafu siuende huko FB na IG unakoona Wana msifia mwendazake.mda wote tu jf ya sikuhizi si nzuri huku unaendelea ku comment na Wala hauachi.

Unadhani kila mtu ni Mwanaume hapa, ukiambiwa hizi ni akili za kudanga utachukia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
but why many of these typos are only done by swahili speakers?.

So u pretend to be “smart” kwa kuandika kizungu cha Google,na unajisifia kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapiga kura na majority ya watanzania wapo huko. Hizi ID ambazo hazifiki hata 100 zinazoshnda JF kupiga spana ni kama tone la mchanga kwenye bahari.
Si ndiyo hao hao majority ambao wakipewa kanga na kofia na ubwabwa basi wanakumwagia kura. Hata ukiwaibia hawaelewi. Ukiwatajia flani kaiba tilioni hawawezi kuelewa. Na ndiyo mtaji wa ccm na wanafurahi kuitwa wanyonge. Kwahiyo CAG kadanganya😂😂😂
Ila Tanzania kwakweli ni nchi ya ajabu sana.
 
Hata Lisu research yake kwamba atashinda urais alitumia sampling kutoka Jf na twitter, ccm wao hutumia Facebook na Instagram.

Lisu akiona coment za kina mmawia hapa jf na likes kwa kina kigogo hujiona tayari rais lkini uhakisia unakataa
 
Sista unapofanya mijadala na watu achana na maneno kama haya 'mwanaume mzima' jifunze kutetea hoja zako bila excuse za kijinga kama hizo!!

Naona members mnaojua ethics za Mijadara bado mpo kumbe. Ahsante sana Mkuu kumwelewesha huyu.Halafu watu wanatumia Fake ID’s sasa sijui anajuaje kuwa huyu ni mwanaume [emoji3][emoji3]
 
Huwezi kuwa great thinker ukawa na mawazo kama haya. Mtu aache kuendesha biashara zake katika platform yenye population kubwa eti kwa kufofia kuonekana ni kilaza?

Hata humu JF vilaza ni wengi mno.

Wanajiona wajanja kushinda hapa JF tu,wakati wenzao wanaingiza pesa kule FB na IG
 
Kwani JF zama hizi bado watu wanaitana GTs? sidhani. Ningeliijua JF ikiwa hivi ingenifikirisha sana kujifanya mmoja wake.

Nilitamani kumuhoji Mzee Mwanakijiji kwenye bandiko lake lakini nikaona wote ataona ni wakosoaji hewa. Siku izi unakuta mada nzuri lakini ukiangalia mjadala unasema nisipoteze muda wangu.

Lakini ni matokeo yakutoa mwanya mchache wa watu kuwasilisha kero zao. Ukisoma dhana ya representative democracy unagundua kuwa ni haki yao watu kutumia mitandao kusema ukweli wawakilishi wayajue. Hawakuwa karibu nao kwa miaka na mikaka leo wapo wote kwenye jukwaa moja la melo.

Wakati mwingine najikuta sipendi kucomment kwa sababu unaweza jikuta unajibu mambo ya hovyo hovyo tu. Gone are those days when JF used to be a real Home of GT 2006-2015.Enzi hizo nondo zinashushwa na watu wanapingana kwa nguvu ya hoja. Anyway acha tuendelee kupotezea muda hapa tunapokuwa free tukiwasoma hawa wanajiona wao Wana akili kuliko wale wa FB & IG
 
Kwamba ukiwa mchangiaji jf moja kwa moja Ni great thinker!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo kwa kudharauliana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote tu hali Ni moja, great thinker wasiojulikana na fb wanaojulikana

halafu mjf anashupaa kumnanga mtu wa fb[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni wapumbavu pekee ndo wanaoweza kufanya huu ushenzi

Ni Kama mtu anaeishi mitaa ya kishua kuwadhihaki wanaoishi uswahilini

Naheshimu platform zote na ambazo hazinikuni huwa napita kimya kimya naendelea na yangu

Halafu soma sasa comments za hawa GT wanaojiona wako smart kuliko hao wa FB utacheka.
 
Si ndiyo hao hao majority ambao wakipewa kanga na kofia na ubwabwa basi qanakumwagia kura. Hata ukiwaibia hawaelewi. Ukiwatajia flani kaiba tilioni hawawezi kuelewa. Na ndiyo mtaji wa ccm na wanafurahi kuitwa wanyonge. Kwahiyo CAG kadanganya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Tanzania kwakweli ni nchi ya ajabu sana.

Sasa wewe “mjuaji” usiyeweza hata kuandika neno Trillion ndio wa kuwacheka wenzio[emoji3][emoji3]
 
Sasa wewe “mjuaji” usiyeweza hata kuandika neno Trillion ndio wa kuwacheka wenzio[emoji3][emoji3]
Tangu lini neno la kiswahili likawa na L mbili? Mimi naandika kiswahili na hilo neno tumeliazima kwenye kingereza tunaliandika kwa kiswahili. Umeshindwa hata kuelewa hilo? Au na wewe ni kati ya hao wa FB?
 
Hata Lisu research yake kwamba atashinda urais alitumia sampling kutoka Jf na twitter, ccm wao hutumia Facebook na Instagram.

Lisu akiona coment za kina mmawia hapa jf na likes kwa kina kigogo hujiona tayari rais lkini uhakisia unakataa

Tangu nimeijua JF enzi hizo 2007 nikiwa nasoma kama Guest hadi kujiunga rasmi 2009,hakuna hata siku moja CCM ilishawahi shinda hapa kwa Opinion poll, utakuta ni CDM tena inashinda kwa 95% njoo sasa kwenye uhalisia,ndiyo hivyo CCM ipo Madarakani na haina dalili ya kushindwa leo wala kesho.
 
Tangu lini neno la kiswahili likawa na L mbili? Mimi naandika kiswahili na hilo neno tumeliazima kwenye kingereza tunaliandika kwa kiswahili. Umeshindwa hata kuelewa hilo? Au na wewe ni kati ya hao wa FB?

Yes mimi ni mmoja wapo kwani ni dhambi kuwa na Account FB,mbona JF inayo Account pia huko au hujui,kubali tu umepuyanga,kujifanya mjuaji kuliko wenzio kumbe huna ujualo.Ni “Trillion” na siyo “Tilion”
 
Yes mimi ni mmoja wapo kwani ni dhambi kuwa na Account FB,mbona JF inayo Account pia huko au hujui,kubali tu umepuyanga,kujifanya mjuaji kuliko wenzio kumbe huna ujualo.Ni “Trillion” na siyo “Tilion”
We unaandika kingereza, mimi ninaandika Kiswahili. Hilo neno tumelitohoa kutoka kwenye Kingereza. Na neno tukilitohoa kutoka kwenye Kingereza uwa tunaliandika kwa matamshi yetu. Kwanza kwa Kiswahili hatuandiki neno lolote kwa kufuatishana ll mbili. Halafu hebu fanya kugoogle kidogo andika neno tilioni utaona ilivyotajwa kwenye vyanzo tofauti vya habari.
Kama unashindwa tofautisha uandishi wa Kiswahili na Kingereza, utaendelea kumlilia hata marehemu aendelee kukutawala. Acha kupuyanga
 
Back
Top Bottom