Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji220]Wewe ndo una povu had ukaanza personal attack, kuwa mvumilivu ndugu. Mwanaume mzima una I'd nyingi sijui ka Nini hafu siuende huko FB na IG unakoona Wana msifia mwendazake.mda wote tu jf ya sikuhizi si nzuri huku unaendelea ku comment na Wala hauachi.
Naunga mkono hoja, aisee wengi sana hawajui kuandika.jf kufungua page facebook haiondoi ukweli kwamba watz wengi ambao wapo active fb ni wajinga.
mfano mdogo, ingia fb then fanya spellcheck kwenye account za wabongo uone vituko.
Sasa ndio wananchi wengi ndio wapiga kura CCM wakifanya utani 2025 watavurugwa sanaMitandao ya wenye akili ndogo hyo huwezi kuta great thinker anaitumia hyo
Hata wewe unayehisi una upoe mkubwa kufikri Hauna huo upeoNi kweli, tabaka kubwa la wapiga kura wa nchi hii ni huko Instagram na Facebook ambako pia ndipo linapopatikana tabaka kubwa pia la wananchi wenye upeo mdogo sana wa kufikiri.
Bado tuna safari ndefu kama nchi.
Nchi hii kura haziheshimiwi aisee labda USA huko na nchi za dunia ya kwanza. Nchi Ina illiteracy level ya 80% utegemee wafanye maamuzi serious kwa nchi?Sasa ndio wananchi wengi ndio wapiga kura CCM wakifanya utani 2025 watavurugwa sana
Are you really informed au wewe unachojua ni kupata tetesimiaka ya hivi karibuni facebook kwa hapa tz umebaki kuwa mtandao wa watu wajinga ambao ni less informed kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya nchi yao.
kule instagram majority ni millennials, hawa interest yao ni kufatilia page za udaku na ubuyu zimepost nini kuhusu scandal/drama za mastaa wa bongofleva na bongo muvi.
kwa muktadha huo usitegemee kijana wa instagram aandike paragraph tatu au zaidi kuchambua utawala wa jiwe. wengi huishia kuweka picha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo 80% sijui umeitoa wapiNchi hii kura haziheshimiwi aisee labda USA huko na nchi za dunia ya kwanza. Nchi Ina illiteracy level ya 80% utegemee wafanye maamuzi serious kwa nchi?
There is no way mjinga ataweza kureason mambo.Baada ya ishu ya CAG nikasema niingie mitandaoni nione reaction ya wananchi juu ya serikali ya JPM.
Twitter na JF kama kawaida ni matusi tu na kejeli kwa mwendazake, ila awa ni wachache na tumeshawazoea hawanaga madhala.
Nikasema niingie kwa majority ya wananchi huko Facebook na Instagram penye watumiaji 90% wa social media wa Tanzania.
Nikakuta vilio na kukata tamaa kwa wananchi baada ya kuona kipenzi chao JPM anazushiwa uongo na mema yake yanapondwa.
Wananchi imani yao kwa Magufuli ni kubwa sana, waite wajinga awajaelimika ila kuna namna JPM aligusa maisha yao na akatengeneza connection nao. Hakuna kitu mtafanya sasa hivi kufuta hii love ya raia kwa JPM.
Nawashauri CCM na wapinzani mnaoendeleza vita na JPM wasibeze hivi vilio maana awa wananchi watawaadhibu siku moja. Kumpuuza Magufuli ni kuwapuuza majority ya watanzania 93%.
Msije sema hamkuambiwa.
View attachment 1748149View attachment 1748150View attachment 1748151View attachment 1748152View attachment 1748153View attachment 1748154
Unakuwa mgeni wa nchi hii, Tena walioenda shule akili zao ndo hazifanyi kazi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo 80% sijui umeitoa wapi
Wewe ndo una povu had ukaanza personal attack, kuwa mvumilivu ndugu. Mwanaume mzima una I'd nyingi sijui ka Nini hafu siuende huko FB na IG unakoona Wana msifia mwendazake.mda wote tu jf ya sikuhizi si nzuri huku unaendelea ku comment na Wala hauachi.
Maajabu na uhodari kama ulivyoainishwa kwenye ripoti ya CAG. Asante Mungu hakika hakunaga kama Jiwe mtetezi wa wanyonge.Kwa kweli wacha tu tumtetee JPM.
Bado sijaona yeyote anayeweza kukaribia maajabu yake ya uhodari na ushupavu.
Huwezi kuwa great thinker ukawa na mawazo kama haya. Mtu aache kuendesha biashara zake katika platform yenye population kubwa eti kwa kufofia kuonekana ni kilaza?Ni kweli tena MTU na akili zako kweli unashinda Facebook kutafuta nini labda, insta kumejaa umbea tu hakuna cha maana huko
Kwani JF zama hizi bado watu wanaitana GTs? sidhani. Ningeliijua JF ikiwa hivi ingenifikirisha sana kujifanya mmoja wake.Sasa hawa ndiyo wanajiona GT na kuwadharau users wa FB. Huo uzi ndiyo ulionyesha kiwango cha uelewa mdogo wa members wengi hasa Pro-Chadema,comments nyingine nilikiwa nasoma naishia kucheka hadi naangalia Profile ya aliyeandika.
information is information whether it's a rumour or gossip.Are you really informed au wewe unachojua ni kupata tetesi