Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Umeshamaliza kila kitu[emoji23][emoji23]
Full wadangaji, mabeki 3 wanaelewa nini?
Wakulima wa huko ndani ndani... wanaelewa nini kwamfano kama siyo upepo fata mkumbo...
Mitandao ya beki tatu utategemea kupata kitu cha maana hyo ni ngumu mno aisee
 
Kama huitumii huwezi kuielewa,fb ni zaidi ya jf,halafu kule kuna watu utumbo wanaoandika humu kule hawezi kuandika.

Unahofia kuumbuka,mijadala inakuwa ya akili sana,kwasabu unakuwa unajulikana.umakini unakuwa mkubwa.

Tumia mitandao yote ya kijamii utapata jibu
Bado huwezi linganisha ni mitandao serious aisee
 
Kabisa na mimi huwa napata hiyo taswira kama uliyonayo wewe,kule MMU kila ID kanayohisi ni ya Kiume utaona kanaruka nayo,nashangaa sana hapa Jukwaa la Siasa kamefikaje[emoji3][emoji3]
Jiheshimu wewe usinidogolishe kamwe na Uhuru wa ku comment jukwaa lolote pinga hoja yangu kwa hoja, hafu kwanini utumie I'd tofauti kwa huu Uzi it means huamini unachokiandika, I'm free minded person siogopi ninachoamini so acheni matusi reja reja.
 
Hao watu unaowaita wajinga au millenials kuumbuka ndio walio wengi wakitoa sauti nchi inatikisika.

mazwazwa ya fb na instagram yatoe sauti nchi itikisike?, seriously?!!. labda kwenye udaku na ubuyu.

umejiuliza kwanini jamiiforum imemfanya mkurugenzi wake maxence melo awe na kesi mahakamani?.

umejiuliza kwanini watz waliopo nchini wanalazimika kutumia VPN kuingia twitter na sio instagram au facebook?.
 
Wanaomchukia JPM wengi ni wale waliokumbwa na fagio la sheria kwa namna mbalimbali:
1. Vyet feki
2. Waliofaidika na wafanyakazi hewa
3. Wakwepa kodi
4. Wavivu
5. Waonevu
6. Wafitini
7. Aina zingine zote za wavunja sheria
 
Bado huwezi linganisha ni mitandao serious aisee
Mimi nimejiunga 2016,lakini nilikuwa napitia bila kujiunga toka miaka ya 2000, jf ya kuanzia 2017 kushuka chini si sawa na ya 2018 mpaka sasa.humu u - serious umepotea.

Kuna kama genge fulani la watu wenye ID's nyingi kwa malengo fulani.

Watu makini wamebaki wachache, na wengine wanapita kimya kimya.

Hakuna kitu humu saivi[emoji3][emoji3][emoji3].
 
Hahahhaaa...

Humu unaweza kuta jitu moja lina ID ishirini.

Halafu anakwambia jamiiforums ina "jopo" la wenye akili mingi.

Says a single person with twenty ID's.
 
Mimi nimejiunga 2016,lakini nilikuwa napitia bila kujiunga toka miaka ya 2000, jf ya kuanzia 2017 kushuka chini si sawa na ya 2018 mpaka sasa.humu u - serious umepotea.

Kuna kama genge fulani la watu wenye ID's nyingi kwa malengo fulani.

Watu makini wamebaki wachache, na wengine wanapita kimya kimya.

Hakuna kitu humu saivi[emoji3][emoji3][emoji3].

JF ilikuwaga enzi zile za 2006-2015,baada ya hapo imekuwa bora liende tu.
 
Mimi nimejiunga 2016,lakini nilikuwa napitia bila kujiunga toka miaka ya 2000, jf ya kuanzia 2017 kushuka chini si sawa na ya 2018 mpaka sasa.humu u - serious umepotea.

Kuna kama genge fulani la watu wenye ID's nyingi kwa malengo fulani.

Watu makini wamebaki wachache, na wengine wanapita kimya kimya.

Hakuna kitu humu saivi[emoji3][emoji3][emoji3].
Watu walipotea humu baada ya Sheria za mitandao na watu kupotezwa kwa kuwa na mawazo mubadala humu, pia moderation ya content imekuwa Kali kulingana na Sheria za mitandao ndio unaona hivo.
Pia humu Kuna I'd za vyama vyote kutetea ujinga kwa masilahi mapana ya vyama vyao, Ila hyo bado haiondoi ubora wa humu mtandao kwenye kujifunza Mambo ya msingi compared na hyo mitandao mingine
 
ulichoandika mleta mada hata mimi nilikiona pia, niipe kama 80%

ukitaka reflection ya wananchi wengi lazma uangalie facebook maana ndipo watu wa hali ya chini ambao ndio wapiga kura wengi walipo

Ukitaka kujua impact ya mtandao, angalia upi ulikuwa ni threat zaidi..
obviously ni twitter na Jf ambapo whistleblowsers wengi wapo
 
Anajifanya mjuaji kumbe bure kabisa,watu tupo JF kitambo kabla yake,yeye kuijua JF majuzi tu hapa keshajiona mjuaji wa kila kitu[emoji3][emoji3]
Watanzania wengi wajuaji sana huyu hajui watu wanaojielewa wana project zao na biashara zao kubwa fb yeye kusoma nyuzi za jf anajiona thinker inashangaza
 
Back
Top Bottom