smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
Ungekua mtandao wa wajinga Jf wangetoa account zao zote .
Ungekua mtandao wa wajinga Jf wangetoa account zao zote .
jf kufungua page facebook haiondoi ukweli kwamba watz wengi ambao wapo active fb ni wajinga.
mfano mdogo, ingia fb then fanya spellcheck kwenye post/comments za wabongo uone vituko.