happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
- Thread starter
- #41
kwani wewe una future gani ya maana baada ya kushinda JF 😂😂,nikwambie tu huko insta kuna kina Juma Lokole wanatengeneza mpka laki tano per day upoo na hawaijui LinkedIn wala JF.Wajinga hao wanalilia marehemu ambaye hasikii kitu badala ya kufikiria future zao zitakuwaje, hao watu wanahitaji elimu na fikra mpya kichwani mwao