Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Kwamba mtu akitumia FB sio great thinker? Hizi ni akili za wapi jamani? Haya mambo ya kuiga maneno just for the sake of it sio poa hata.
My Kaka sikuhizi una mipasho Sana haya ni maoni yangu ka yalivo yako unavoona kuwa FB Kuna great thinker it's okay, Mimi naona kule majority ni zero IQ ka wewe unavowaona akili kubwa mbona hamna shida.
 
Nchi hii kura haziheshimiwi na mwaka Jana hakukuwa na uchaguzi Bali ilikuwa uchafuzi wa kiwendawazimu nilikuwa kituoni na nilishuhudia kwa macho.
Hafu kujiita mnyonge ni kujitukana na kuji undermine uwezo wako ka binadamu, tunatakiwa kukwepa kukiri udhaifu badala yake tukiri positive affirmation
Ulitaka upinzani washinde ndio uwe halali?,Mimi pia nilikuwepo kwenye mchakato wa upigaji kura.Hapakuwa na kiongozi wa kumshinda JPm kwenye sanduku la kura.
 
Nchi hii kura haziheshimiwi na mwaka Jana hakukuwa na uchaguzi Bali ilikuwa uchafuzi wa kiwendawazimu nilikuwa kituoni na nilishuhudia kwa macho.
Hafu kujiita mnyonge ni kujitukana na kuji undermine uwezo wako ka binadamu, tunatakiwa kukwepa kukiri udhaifu badala yake tukiri positive affirmation
Kwanini hutaki kukubali kuwa tawala zilizopita kabla ya JPM zilizalisha matabaka likiwemo la watu wasio na sauti ndio hao wanyonge?Ukweli lazima usemwe.kujifanya hatuyaoni haya nayo ni mojawapo ya unafiki.
 
My Kaka sikuhizi una mipasho Sana haya ni maoni yangu ka yalivo yako unavoona kuwa FB Kuna great thinker it's okay, Mimi naona kule majority ni zero IQ ka wewe unavowaona akili kubwa mbona hamna shida.

Kabisa nimekuwa na mipasho? Mbona sioni mipasho hapo...I've respected your opinion but chose to disagree.
 
Wapiga kura na majority ya watanzania wapo huko. Hizi ID ambazo hazifiki hata 100 zinazoshnda JF kupiga spana ni kama tone la mchanga kwenye bahari.
Sasa na weee si ungeenda huko huko ukahuzunike na wenzako. Idiot
 
Kwanini hutaki kukubali kuwa tawala zilizopita kabla ya JPM zilizalisha matabaka likiwemo la watu wasio na sauti ndio hao wanyonge?Ukweli lazima usemwe.kujifanya hatuyaoni haya nayo ni mojawapo ya unafiki.
Matabaka yapo tangu enzi za king Daudi, Hadi wakati wa Yesu na matabaka hayatakaa kamwe yaishe mpaka mwisho wa ulimwengu, so hata kwa huyo mwendazake nothing new, maana wanyonge hawajui kesho zao, katunga misheria katandamizi huko bodi ya mikopo waliokuwa wanalipa kaamua kukomoa kabisa. So unaposema matabaka sijui wewe unaangalia angle gani ndugu
 
Back
Top Bottom