Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa
✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake misikitini, vijiweni na kila sehemu kupitia rekodi za sauti ambazo alikua akirekodi kutoka ughaibuni
✅Serilikali ya Mfalme Shaa & Marekani haikukuwai kudhan kama komeni alikua hatari hivo ilimpuuza
✅Kitu ambacho haikujua Komen alitumia upenyo huo kuwalisha harakat na itikadi kali wananchi wake
✅Baada ya kuona ana wafuasi wengi ndipo komeni alirudi na kuipindua nchi!
✅Ikumbukwe n rahisi sana kupindua nchi kama wananchi wengi wapo upande wako
✅Kifupi unaweza upindue hata bila silaha