GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.
Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.
Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.
Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.
Kama ni nguvu ya kiuchumi, imo.
Nguvu ya kijeshi, imo.
Kisayansi, imo. Hivi Sasa ipo katika harakati za kutengeneza mabomu ya nyuklia.
Ingawa inadaiwa kutokuwa na Demokrasia, lakini ni wazi kuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na Kisayansi kuzidi Ethiopia na Liberia.
Nini kimewakwamisha ndugu zetu, Ethiopia na Liberia?