GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ngojea wagalatia wa tz waje kutapika matusi,we ulieleta thread utaambiwa kobazZote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.
Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.
Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.
Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.
Kama ni nguvu ya kiuchumi, imo.
Nguvu ya kijeshi, imo.
Kisayansi, imo. Hivi Sasa ipo katika harakati za kutengeneza mabomu ya nyuklia.
Ingawa inadaiwa kutokuwa na Demokrasia, lakini ni wazi kuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na Kisayansi kuzidi Ethiopia na Liberia.
Nini kimewakwamisha ndugu zetu, Ethiopia na Liberia?
Upo sawa kabisa, mtu mweusi ni kikwazoNgozi nyeusi
Iliyotajwa ni Ethiopia na Iran.Liberia imetajwa kwenye mathayo ngapi ngapi huko kwenye BIBLIA
Hoja hujibiwa kwa hoja. Haipigwi rungu.Ngojea wagalatia wa tz waje kutapika matusi,we ulieleta thread utaambiwa kobaz
Wengine wanasema Wazungu wana akili sana ndiyo maana wapo mbele kimaendeleo, lakini Wairan si Wazungu kama ambavyo Waafrika si Wazungu. Kwa nini wawapite Waafrika?Uwezo wa kufikiri.
Akili ndio kila kitu. Utajiri wako au umaskini wao uko akilini mwako
Aisee! Mwenye gunduzi zilizofanywa na weusi atuwekee hapa alau na sisi tujipongeze.Iran wanawekeza sana kwenye science na wanavumbua vitu vingi sana
Wanasayansi wao wanasakwa usiku na mchana na wengine kuuwawa na maadui ila wamo tu
Na hivi karibuni kuna mwana sayansi kavumbua gari inayotembea kwa maji yes maji ya kunywa View attachment 2739135View attachment 2739135