Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?
Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati.
Pia wanaeleza utaratibu huo uliingizwa kinyemela kwenye kitabu cha dini kabla toleo la mwisho halijatoka.
Wataalamu mnaweza kutupa maelezo zaidi.