Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

Kwa lugha nyepesi DIINI YA UISLAM ina mapote mengi kama ulivyo UKIRISTO... Mfano kwenye ukiristo kuna pote linaitwa Mormonism ambalo wana theologia wengi wa kikiristo WANAAMIN ni CULT NA SII THEHEBU LA DINI...

Nirudi kwenye mada; mataifa uliyoyataja YAANI IRAN NA YEMEN [Wahuthi wanaoongoza] yana dhehebu LINAITWA SHIA! Dhehebu hili au pote linabinasibisha na UISLAM lakini kwa uhalisia kwa maoni ya wanachuoni wa KIISLAM pote hili sii WAISLAM ni Cult... HAWA SII WAISLAM NA MISINGI YA IMANI YAO MINGI IKO MBALI NA KINYUME NA UISLAM

Nitakupa mfano:
Wanaamini Malaika wa Mungu Jibril alifanya Hiyana kumletea Wahay [neno la unabii] MUHAMMAD badala ya Alliy

Wanaamini Maswahaba wote walikufuru baada ya MUHAMMAD isipokuwa wachache

Wanaamini kitabu cha QURAN kinachotumiwa na waislam hakijakamilika...

Na imani nyingine mbovu kama NDOA ZA MKATABA AU MUDA MAALUM

Hata kuhiji wanahiji Mji wa NAJAF IRAQ na wala sii MAKKAH na daima ni wenye kufika IMANI ZAO HALISI NA KUSEMA KINYUME NA WANACHOAMINI KWAO NI IBADA...

Watu hawa ni waovu na wana CHUKI SANA NA WAISLAM HIVYO KUTOKANA NA CHUKI YAO HII WANATAMANI LEO AU KESHO KUISHAMBULIA NA KUIHARIBU MIJI MITUKUFU YA MAKKAH MADINA... na katu hili halitafanikiwa mpaka qiyama kinasimama maana MOLA MLEZI AMEAHIDI KUILINDA MIJI HII NA HUENDA NDIYO sababu amejaalia hata MAKAO MAKUU YA SAUDIA KUWA RIYADHI NA SII KATIKA MIJI HII MITUKUFU...
Umetoa majibu mazuri na yakiungwana, nimefurahi sana. Natamani hawa waislam akina Vita boy Ahyan mr chopa Mchokolo na CARDLESS wangekuwa waungwana kama wewe.
 
Kwa lugha nyepesi DIINI YA UISLAM ina mapote mengi kama ulivyo UKIRISTO... Mfano kwenye ukiristo kuna pote linaitwa Mormonism ambalo wana theologia wengi wa kikiristo WANAAMIN ni CULT NA SII THEHEBU LA DINI...

Nirudi kwenye mada; mataifa uliyoyataja YAANI IRAN NA YEMEN [Wahuthi wanaoongoza] yana dhehebu LINAITWA SHIA! Dhehebu hili au pote linabinasibisha na UISLAM lakini kwa uhalisia kwa maoni ya wanachuoni wa KIISLAM pote hili sii WAISLAM ni Cult... HAWA SII WAISLAM NA MISINGI YA IMANI YAO MINGI IKO MBALI NA KINYUME NA UISLAM

Nitakupa mfano:
Wanaamini Malaika wa Mungu Jibril alifanya Hiyana kumletea Wahay [neno la unabii] MUHAMMAD badala ya Alliy

Wanaamini Maswahaba wote walikufuru baada ya MUHAMMAD isipokuwa wachache

Wanaamini kitabu cha QURAN kinachotumiwa na waislam hakijakamilika...

Na imani nyingine mbovu kama NDOA ZA MKATABA AU MUDA MAALUM

Hata kuhiji wanahiji Mji wa NAJAF IRAQ na wala sii MAKKAH na daima ni wenye kufika IMANI ZAO HALISI NA KUSEMA KINYUME NA WANACHOAMINI KWAO NI IBADA...

Watu hawa ni waovu na wana CHUKI SANA NA WAISLAM HIVYO KUTOKANA NA CHUKI YAO HII WANATAMANI LEO AU KESHO KUISHAMBULIA NA KUIHARIBU MIJI MITUKUFU YA MAKKAH MADINA... na katu hili halitafanikiwa mpaka qiyama kinasimama maana MOLA MLEZI AMEAHIDI KUILINDA MIJI HII NA HUENDA NDIYO sababu amejaalia hata MAKAO MAKUU YA SAUDIA KUWA RIYADHI NA SII KATIKA MIJI HII MITUKUFU...
UISHIA ULIANZA KAMA VUGUVUGU LA KISIASA NA SII DHEHEBU LA DINI BAADAYE WAKAANZISHA THEOLOGIA YAO
 
Shia ni dhehebu mojawapo katika dini ya Kiislamu.
Shia siyo Waislam

Misingi ya IMANI ya KISHIA NA WAISLAM wengine inatofautiana. Nimekupa mfano hapo kwa mchango wangu uliotangualia. SHIISM ILIANZA KAMA VUGUVUGU LA KISIASA BAADAYE LIKAWA NA THEOLOGIA.

Na itikadi zao ziko TOFAUTI HATA HIJJAH WANAFANYA NAJAF IRAQ NA SIYO MAKKAH!!

Nguzo za UISLAM ZIKO 5. Akivunja mojawapo mtu basi ametoka kwenye UISLAM [nadhani tukisikia masharti na vigezo kuzingatiwa inaelewka vizuri]...
1. Shahada [ Kumwamini Mungu moja na MUHAMMAD Mtume wake]
2. Kusimamisha sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadan
5. Kuhiji Makkah

Nguzo ya kwanza tu SHIA wameipindua HATA KWENYE ADHANA [MUITO WA SALA] UNAWEZA KUSIKIA

NGUZO YA TANO PIA IMEPINDULIWA...

SHIA NI WAONGO [MARA NYINGI HUFICHA UKWELI NA KUDHIHIRISHA UONGO]....

Na itikadi zao nyingi za kufuru....
 
Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?

Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati.

Pia wanaeleza utaratibu huo uliingizwa kinyemela kwenye kitabu cha dini kabla toleo la mwisho halijatoka.

Wataalamu mnaweza kutupa maelezo zaidi.
bara la amerika kaskazin limegnduliwa miaka ya 1492 hzo ibada za kwenda saudia kwa ajil ya ibada zilikuwepo kabla ya makka mussa ss America wameingia vp hapo mkuu
 
Kila kitu inasemekana. PUMBAFU. usirudiae tena kuweka habari za kitoto hapa. Siku hizi JF imevamiwa na vitoto vingi sana
Huyo jamaa Execute hana Kazi zaidi ya kushinda Jf ni zao la vijana waliokosa akira tokea ajinge haujatimiza wiki kawa Expert member na kapata BAN hapo wataalamu wanaelewa jinsi gani alivyo kisirani ikichangiwa na kukosa mimi wa kumuoa mpk sasa..
 
Shia ni dhehebu mojawapo katika dini ya Kiislamu.

Toka maktaba:

Waasisi wa madhehebu ya Ma- Shia nchini Tanzania

Simulizi za wazee wetu : Waasisi wa madhehebu ya Ma- Shia nchini Tanzania na kwanini dhehebu la Shia lina kanuni la kukubali vijana wao kuuliza maswali (tabligh) wakati Sunni hukataza vijana wao kuuliza maswali na kulazimishwa kuwa mkubwa ktk imani yaani sheikh / Imamu / Maalim akisema basi yeye ndiye anafahamu ilm yote ya dini

(NZIMA)-SIMULIZI YA MAREHEMU SHEIKH ABDALLAH SEIF (1939 -2020) - HISTORIA YETU part 1

KIU YA ILMU, SHEIKH ABDALLAH SEIF ILIMPELEKEA KUSOMA KWA MIAKA 11 MFULILIZO KATIKA NCHI ZA IRAQ, LEBANON NA IRAN (1968-1979)

Sheikh Abdallah Seif Linganaweka anatujuza kuwa Wenyeji wa Lindi jina Lao la asili ni Wakudewe kwa sasa almaaruf wanafahamika kama waMachinga wa pwani ya Lindi.

Babu yake Babu Abdallah Seif alikuwa mfalme Mlinganaweka AleiwaLunga mwenye watumwa baada ya kuwazidi wanyonge majirani kuja kuwatumikisha kujaza vyakula. Mfalme Alei(Ali)waLunga.. wa Lindi.

Baada ya kuja mkoloni Muingereza nchini Tanganyika, aliua ufalme na kubakiza uchifu. Sehemu za pwani ziliathirika kwanza kwa kupoteza ufalme mapema kabla ya watu wa bara.. Pwani wakabakia na usheikh na uchifu... usiokuwa na nguvu kama falme za asili za maeneo yao Lindi / Kilwa kabla ya kuja ukoloni...

Sheikh MbogaBure mjuzi wa lugha ya Kiarabu, dini pia mmoja wa waanzilishi wa madhehebu ya Shia Tanzania amuunganisha Mzee Abdallah Seif kupata scholarship kwenda Baghdad, Iraq mwaka 1968 kusoma zaidi dini...

Kijana Abdallah Seif mwaka 1968 alipokwenda Kijijini ashutumiwa kupotea kwa kuukumbatia u-Shia mojawapo ya madhehebu ya dini ya KiIslamu, wakati wengine wote ni Sunni. Lakini babu yake msomi wa dini madhehebu wa Sunni anayetambulika Lindi na Kilwa hakuwa anatoa shutma zozote alikuwa msikivu na kumtia moyo Abdallah Seif asome zaidi na ili kuifahamu dini vizuri zaidi.

Kilichomsukuma Sheikh Abdallah Seif kuvutiwa na u-Shia ni namna masheikh wa ki-Shia walivyokuwa wazi (tabligh) kukaribisha maswali tofauti na madhehebu mengine ya KiIslam ambapo kijana hakuruhusiwa kuhoji na pia kuuliza maswali ilikuwa inachukuliwa ni utovu wa nidhamu kwa waalimu au masheikh wake.

Safari ya Sheikh Abdallah Seif wenzie vijana wakiwemo kina Sheikh Isihaka Pingili kwenda Iraq kwa meli iliwachukua mwezi mzima kupitia bandari mbalimbali za Zanzibar, Tanga, Mogadishu, Bahrain na kuishia Basra nchini Iraq na kutua katika chuo cha Hawza mji wa Najaf Iraq

Ujio wao Basra, Iraq ulileta tafrani kwa mwenyeji wao Mpakistani mfanyabiashara mkubwa nchini Iraq enzi hizo na kupelekea Saadam Hussein kumshutumu mfanyabiashara huyo tajwa kuleta majasusi wa kiAfrika ikumbukwe ndiyo kwanza Saddam Hussein na chama chake cha Baath walikuwa wanajaribu kushika hatamu za kuongoza nchi baada ya mapinduzi nchini Iraq. Mpakistani huyo alinyongwa mwaka 1969 pamoja na wafadhili wengine kama kuna Bakri Sadr waliowezesha ujio wa vijana wa kiAfrika kuingia Iraq kwa dhumuni la kusoma dini.

Kutokana na hilo ikabidi Sheikh Abdallah Seif, Sheikh Isihaka Pingili na vijana wengine wa kiAfrika waondoke Iraq mwaka 1970 kwenda Lebanon kwenda kuendelea na azma yao ya kusoma dini.

Sheikh Abdallah Seif wakakaa Lebanon kuanzia mwaka 1970 mpaka 1978 ambapo mara nyingine masomo ya dini yakaingia changamoto baada ya vita baina ya Wapaletina waliokuwa kambi za ukimbizi Lebanon na waLebanon wenye nchi na kuzua vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Mwaka 1978 Ikabidi Sheikh Abdallah Seif na wenzie wahamie nchi ya jirani ya Iran kwenda katika mji wa Qom city kuendelea na masomo yao ya dini. Iran ilikuwa imetulia nchi ya amani chini ya utawala wa mfalme (Shah) Mohammed Reza Pahlavi Historic Personalities of Iran: Mohammad Reza Shah Pahlavi miaka 7 waliakaa Iran wakiendelea kusomeshwa.

Wakati wa likizo Iran wengine wenda Ufaransa kuchuma zabibu mashambani au kufanya kazi sehemu za utalii wa ndani wa Iran au kuchukua mabusati ya kushona ya Iran yanayosifika Uarabuni kote kwenda kuyauza ktk nchi mbalimbali za Arabuni ndivyo mwanafunzi kama Sheikh Abdallah Seif na wenzie vijana walivyojiongezea fedha za kujikimu na kupeleka kiasi cha pesa nyumbani Tanzania.

Hatimaye mwaka 1980 baada ya kusoma kwa miaka 11 nje ya Tanzania ,walitunikiwa shahada ya baccalauréat ya masomo ya dini na kurejea Tanzania. Kwa miaka hiyo 11 ughaibuni pia waliweza kusoma elimu ya secular kiwango cha sekondari kwa njia ya posta masomo ya nchi ya Uingereza kwa msaada mkubwa wa swahiba wa kiongozi wa kijeshi wa Nigeria Jenerali Yakubu Gowon. Swahiba huyo alikuwa mfanyabishara wa vituo vya mafuta na makazi yake Uingereza.

Mahojiano haya yanakuja kwa hisani kubwa ya Ammar Dachi aliyemshawishi Mzee Abdallah Seif kufunguka historia ya mapito yake, ukoo , ilmu na utafiti wa mafuta 1955 na pia ujio wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania

HISTORIA YA ABDALLAH SEIF (1939 -2020) Part - 2

Sheikh Alhaj Sheikh Abdallah Seif Linganaweka mzaliwa na mwenyeji wa kijiji cha Mnan’gole sehemu za Dimba mkoa Lindi Tanzania anaendelea kusimulia kazi kubwa aliyofanya ya kujitolea ya kueneza dini.

Sheikh Abdallah Seif anasisitiza umuhimu wa ilmu na elimu kwa wanazuoni wote wa KiIslamu.

Anasema ili sheikh awe mwanazuoni aliyekamilika kufundisha chuoni lazima kusoma ilmu ya dini kwa angalau miaka 15.

Anakumbuka alivyokuwa mjini Qom Iran akisoma chuoni alionana na wazee wenye umri wa miaka 70 wakijiendeleza na kuwaambia wao vijana kuwa inahitajika jumla ya miaka 35 ili kuielewa dini nje ndani kwa ufasaha. Wazee hao walicheka waliposikia vijana Sheikh Abdallah Seif, Sheikh Isihaka Pingili na vijana wengine toka Afrika wakisema wanataka kusoma dini kwa miaka 5 mpaka 10 tu ilihali wametoka Afrika na kuwaambia bila kupepesa macho kuwa ili wawe wabobevu wafikirie miaka angalau 15 ya ilmu ya dini ngazi ya chuo.

Hivyo akiwa amepikika kwa elimu tosha ya kidini baada ya kufanya kazi kwa takriban miaka 11 nchini Tanzania, mwaka 1990 sheikh Abdallah Seifu alikwenda Nampula jimbo la Cabo Delgado nchini Mozambique kufanya kazi ya dini.

Kisha sheikh Abdallah Seif alishuka mpaka mji mkuu wa Maputo Mozambique na alisaidia kufungua taasisi rasmi inayotambulika na serikali na kupewa leseni iliyosajiliwa Maputo Mozambique kwa ajili ya taasisi ya Shia Ithna-Asheri Muzdalifah . Sheikh Abdallah Seif anazungumza lugha za Kiswahili, Kiarabu, Kiingereza na Kireno.

Source : Asadiqmedia

RAMBIRAMBI NA WASIFU - Marhum Sheikh Abdallah Seif

Source : Asadiqmedia
MK254
 
Maulana Sheikh Hemed Jalala msomi wa imani ya kiislamu anatupa darsa kuhusu dhehebu la U-Ushia :

SHEIKH JALALA - YALIYOTOKEA BAADA YA KIFO CHA MTUME, NA HIYANA YA KIHISTORIA

Mabadiliko baada ya kuondoka kwa Mtume.

Maelekezo, maagizo aliyoacha Mtume kabla hajaondoka ili kuwa muongozo kwa waamini.

Maelekezo ya Mtume baada ya kuondoka ulimwenguni hayakutekelezwa na ikaingia mikono michafu ... anatuasa sheikh Hemed Jalala....

Mikono hiyo michafu ikaleta kubadilisha, mambo yasiyo sahihi ....katika historia ya waIslamu ... anaelezea kwa undani mfano, jinsi hadith ya Mtume ..... familia yake ya karibu .... Mtume akamkamata mkono Alii na kutamka maneno huyu ni ndugu yangu ... khalifa baada ya kuondoka Mtume ni huyu Alii na hii haina mushkeli wowote ..... hiyana ya kihistoria ....
Source : Asadiqmedia
 
Maulana Sheikh Hemed Jalala msomi wa imani ya kiislamu anatupa darsa kuhusu dhehebu la U-Ushia :

SHEIKH JALALA - YALIYOTOKEA BAADA YA KIFO CHA MTUME

Mabadiliko baada ya kuondoka kwa Mtume.

Maelekezo, maagizo aliyoacha Mtume kabla hajaondoka ili kuwa muongozo kwa waamini.

Maelekezo ya Mtume baada ya kuondoka ulimwenguni hayakutekelezwa na ikaingia mikono michafu ... anatuasa sheikh Hemed Jalala....

Mikono hiyo michafu ikaleta kubadilisha, mambo yasiyo sahihi ....katika historia ya waIslamu ... anaelezea kwa undani mfano, jinsi hadith ya Mtume ..... familia yake ya karibu .... Mtume akamkamata mkono Alii na kutamka maneno huyu ni ndugu yangu ... khalifa baada ya kuondoka Mtume ni huyu Alii na hii haina mushkeli wowote ..... hiyana ya kihistoria ....
Source : Asadiqmedia
Narudia tena ushia ni ukhafiri uliowazi kabisa yani mshia na asiyeamini wote wapo kundi moja
 
Toka maktaba:

Waasisi wa madhehebu ya Ma- Shia nchini Tanzania

Simulizi za wazee wetu : Waasisi wa madhehebu ya Ma- Shia nchini Tanzania na kwanini dhehebu la Shia lina kanuni la kukubali vijana wao kuuliza maswali (tabligh) wakati Sunni hukataza vijana wao kuuliza maswali na kulazimishwa kuwa mkubwa ktk imani yaani sheikh / Imamu / Maalim akisema basi yeye ndiye anafahamu ilm yote ya dini

(NZIMA)-SIMULIZI YA MAREHEMU SHEIKH ABDALLAH SEIF (1939 -2020) - HISTORIA YETU part 1

KIU YA ILMU, SHEIKH ABDALLAH SEIF ILIMPELEKEA KUSOMA KWA MIAKA 11 MFULILIZO KATIKA NCHI ZA IRAQ, LEBANON NA IRAN (1968-1979)

Sheikh Abdallah Seif Linganaweka anatujuza kuwa Wenyeji wa Lindi jina Lao la asili ni Wakudewe kwa sasa almaaruf wanafahamika kama waMachinga wa pwani ya Lindi.

Babu yake Babu Abdallah Seif alikuwa mfalme Mlinganaweka AleiwaLunga mwenye watumwa baada ya kuwazidi wanyonge majirani kuja kuwatumikisha kujaza vyakula. Mfalme Alei(Ali)waLunga.. wa Lindi. Baada ya kuja mkoloni Muingereza nchini Tanganyika, aliua ufalme na kubakiza uchifu. Sehemu za pwani ziliathirika kwanza kwa kupoteza ufalme mapema kabla ya watu wa bara.. Pwani wakabakia na usheikh na uchifu... usiokuwa na nguvu kama falme za asili za maeneo yao Lindi / Kilwa kabla ya kuja ukoloni...

Sheikh MbogaBure mjuzi wa lugha ya Kiarabu, dini pia mmoja wa waanzilishi wa madhehebu ya Shia Tanzania amuunganisha Mzee Abdallah Seif kupata scholarship kwenda Baghdad, Iraq mwaka 1968 kusoma zaidi dini...

Kijana Abdallah Seif mwaka 1968 alipokwenda Kijijini ashutumiwa kupotea kwa kuukumbatia u-Shia mojawapo ya madhehebu ya dini ya KiIslamu, wakati wengine wote ni Sunni. Lakini babu yake msomi wa dini madhehebu wa Sunni anayetambulika Lindi na Kilwa hakuwa anatoa shutma zozote alikuwa msikivu na kumtia moyo Abdallah Seif asome zaidi na ili kuifahamu dini vizuri zaidi.

Kilichomsukuma Sheikh Abdallah Seif kuvutiwa na u-Shia ni namna masheikh wa ki-Shia walivyokuwa wazi (tabligh) kukaribisha maswali tofauti na madhehebu mengine ya KiIslam ambapo kijana hakuruhusiwa kuhoji na pia kuuliza maswali ilikuwa inachukuliwa ni utovu wa nidhamu kwa waalimu au masheikh wake.

Safari ya Sheikh Abdallah Seif wenzie vijana wakiwemo kina Sheikh Isihaka Pingili kwenda Iraq kwa meli iliwachukua mwezi mzima kupitia bandari mbalimbali za Zanzibar, Tanga, Mogadishu, Bahrain na kuishia Basra nchini Iraq na kutua katika chuo cha Hawza mji wa Najaf Iraq

Ujio wao Basra, Iraq ulileta tafrani kwa mwenyeji wao Mpakistani mfanyabiashara mkubwa nchini Iraq enzi hizo na kupelekea Saadam Hussein kumshutumu mfanyabiashara huyo tajwa kuleta majasusi wa kiAfrika ikumbukwe ndiyo kwanza Saddam Hussein na chama chake cha Baath walikuwa wanajaribu kushika hatamu za kuongoza nchi baada ya mapinduzi nchini Iraq. Mpakistani huyo alinyongwa mwaka 1969 pamoja na wafadhili wengine kama kuna Bakri Sadr waliowezesha ujio wa vijana wa kiAfrika kuingia Iraq kwa dhumuni la kusoma dini.

Kutokana na hilo ikabidi Sheikh Abdallah Seif, Sheikh Isihaka Pingili na vijana wengine wa kiAfrika waondoke Iraq mwaka 1970 kwenda Lebanon kwenda kuendelea na azma yao ya kusoma dini.

Sheikh Abdallah Seif wakakaa Lebanon kuanzia mwaka 1970 mpaka 1978 ambapo mara nyingine masomo ya dini yakaingia changamoto baada ya vita baina ya Wapaletina waliokuwa kambi za ukimbizi Lebanon na waLebanon wenye nchi na kuzua vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Mwaka 1978 Ikabidi Sheikh Abdallah Seif na wenzie wahamie nchi ya jirani ya Iran kwenda katika mji wa Qom city kuendelea na masomo yao ya dini. Iran ilikuwa imetulia nchi ya amani chini ya utawala wa mfalme (Shah) Mohammed Reza Pahlavi Historic Personalities of Iran: Mohammad Reza Shah Pahlavi miaka 7 waliakaa Iran wakiendelea kusomeshwa.

Wakati wa likizo Iran wengine wenda Ufaransa kuchuma zabibu mashambani au kufanya kazi sehemu za utalii wa ndani wa Iran au kuchukua mabusati ya kushona ya Iran yanayosifika Uarabuni kote kwenda kuyauza ktk nchi mbalimbali za Arabuni ndivyo mwanafunzi kama Sheikh Abdallah Seif na wenzie vijana walivyojiongezea fedha za kujikimu na kupeleka kiasi cha pesa nyumbani Tanzania.

Hatimaye mwaka 1980 baada ya kusoma kwa miaka 11 nje ya Tanzania ,walitunikiwa shahada ya baccalauréat ya masomo ya dini na kurejea Tanzania. Kwa miaka hiyo 11 ughaibuni pia waliweza kusoma elimu ya secular kiwango cha sekondari kwa njia ya posta masomo ya nchi ya Uingereza kwa msaada mkubwa wa swahiba wa kiongozi wa kijeshi wa Nigeria Jenerali Yakubu Gowon. Swahiba huyo alikuwa mfanyabishara wa vituo vya mafuta na makazi yake Uingereza.

Mahojiano haya yanakuja kwa hisani kubwa ya Ammar Dachi yaliyemshawishi Mzee Abdallah Seif kufunguka historia ya mapito yake, ukoo , ilmu na utafiti wa mafuta 1955 na pia ujio wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania

HISTORIA YA ABDALLAH SEIF (1939 -2020) Part - 2

Sheikh Alhaj Sheikh Abdallah Seif Linganaweka mzaliwa na mwenyeji wa kijiji cha Mnan’gole sehemu za Dimba mkoa Lindi Tanzania anaendelea kusimulia kazi kubwa aliyofanya ya kujitolea ya kueneza dini.

Sheikh Abdallah Seif anasisitiza umuhimu wa ilmu na elimu kwa wanazuoni wote wa KiIslamu.

Anasema ili sheikh awe mwanazuoni aliyekamilika kufundisha chuoni lazima kusoma ilmu ya dini kwa angalau miaka 15.

Anakumbuka alivyokuwa mjini Qom Iran akisoma chuoni alionana na wazee wa miaka 70 wakijiendeleza na kuwaambia wao vijana kuwa inahitajika miaka 35 ili kuielewa dini nje ndani kwa ufasaha. Wazee hao walicheka waliposikia vijana Sheikh Abdallah Seif, Sheikh Isihaka Pingili na vijana wengine toka Afrika wakisema wanataka kusoma dini kwa miaka 5 mpaka 10 tu ilihali wametoka Afrika na kuwaambia bila kupepesa macho kuwa ili wawe wabobevu wafikirie miaka angalau 15 ya ilmu ya dini ngazi ya chuo.

Hivyo akiwa amepikika kwa elimu tosha ya kidini baada ya kufanya kazi kwa takriban miaka 11 nchini Tanzania, mwaka 1990 sheikh Abdallah Seifu alikwenda Nampula jimbo la Cabo Delgado nchini Mozambique kufanya kazi ya dini.

Kisha sheikh Abdallah Seif alishuka mpaka mji mkuu wa Maputo Mozambique na alisaidia kufungua taasisi rasmi inayotambulika na serikali na kupewa leseni iliyosajiliwa Maputo Mozambique kwa ajili ya taasisi ya Shia Ithna-Asheri Muzdalifah . Sheikh Abdallah Seif anazungumza lugha za Kiswahili, Kiarabu, Kiingereza na Kireno.

Source : Asadiqmedia

RAMBIRAMBI NA WASIFU - Marhum Sheikh Abdallah Seif

Source : Asadiqmedia
MK254
Mashia na wale wote wasioamini wako kundi moja.
 
Back
Top Bottom