Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

Propaganda za Marekani kuwagombanisha Ili auze silaha zake
 
Hii dini bana, halafu utakuta wanaotokwa povu sana ni waafrika kuliko hata wenye dini yao waarabu ambao wao huchukia sana Waafrika.

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
 
Kwa lugha nyepesi DIINI YA UISLAM ina mapote mengi kama ulivyo UKIRISTO... Mfano kwenye ukiristo kuna pote linaitwa Mormonism ambalo wana theologia wengi wa kikiristo WANAAMIN ni CULT NA SII THEHEBU LA DINI...


Nirudi kwenye mada; mataifa uliyoyataja YAANI IRAN NA YEMEN [Wahuthi wanaoongoza] yana dhehebu LINAITWA SHIA! Dhehebu hili au pote linajinasibisha na UISLAM lakini kwa uhalisia kwa maoni ya wanachuoni wa KIISLAM pote hili sii WAISLAM ni Cult... HAWA SII WAISLAM NA MISINGI YA IMANI YAO MINGI IKO MBALI NA KINYUME NA UISLAM

Nitakupa mfano:
Wanaamini Malaika wa Mungu Jibril alifanya Hiyana kumletea Wahay [neno la unabii] MUHAMMAD badala ya Alliy

Wanaamini Maswahaba wote walikufuru baada ya MUHAMMAD isipokuwa wachache

Wanaamini kitabu cha QURAN kinachotumiwa na waislam hakijakamilika...

Na imani nyingine mbovu kama NDOA ZA MKATABA AU MUDA MAALUM

Hata kuhiji wanahiji Mji wa NAJAF IRAQ na wala sii MAKKAH na daima ni wenye kuficha IMANI ZAO HALISI NA KUSEMA KINYUME NA WANACHOAMINI KWAO NI IBADA...

Watu hawa ni waovu na wana CHUKI SANA NA WAISLAM HIVYO KUTOKANA NA CHUKI YAO HII WANATAMANI LEO AU KESHO KUISHAMBULIA NA KUIHARIBU MIJI MITUKUFU YA MAKKAH MADINA... na katu hili halitafanikiwa mpaka qiyama kinasimama maana MOLA MLEZI AMEAHIDI KUILINDA MIJI HII NA HUENDA NDIYO sababu amejaalia hata MAKAO MAKUU YA SAUDIA KUWA RIYADHI NA SII KATIKA MIJI HII MITUKUFU...
Kama hajaelewa basi ana lake jambo huyo na of course ukiangalia post yake hapo alivyomjibu Vita boy utagundua kuwa ana lake jambo
 
Yesu yupo hai na kila siku tunafanya kazi pamoja. Kaburi lake li wazi lakini lile la kule saudia bado lina mifupa.
Mimi ni mkristo ila nakushauri achana na kukashifu imani za watu. Acha kutoa hoja za kudhoofisha imani za watu, scha mada za uchochezi. Kumbuka hilo na Mungu atakubariki.
 
Mimi ni mkristo ila nakushauri achana na kukashifu imani za watu. Acha kutoa hoja za kudhoofisha imani za watu, scha mada za uchochezi. Kumbuka hilo na Mungu atakubariki.
Wapi kakashifu unajua mana ya kukashifu.?ifike mahali watu wafahamu hizi dini ni tamaduni tu kama tamaduni zingine nothing new..mambo yaliyotokea miaka 2000 iliyopita hawawezi kuwa na effects kwa miaka hii..hizo ni historia kama historia zingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii dini bana, halafu utakuta wanaotokwa povu sana ni waafrika kuliko hata wenye dini yao waarabu ambao wao huchukia sana Waafrika.

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761

Dhehebu hili la Wahabi ni tofauti na mengine.

Itikadi zao kuhusu ulimwengu na juu ya umma mkubwa wa waIslamu wenye mchaganyiko kimataifa, zina ubaguzi wa aina fulani badala ya umoja unaotakiwa.
 
JE ITIKADI YA MAWAHABI & AHLUSUNNAH NI MOJA?



Maulana Sheikh Hemed Jalala ameelezea itikadi ya Ahlusunnah ambayo kwa masalafi hukmu yake ni kuwa kafiri na murtadi, kisha akaacha swali ikiwa hawa ndio wanaitakidi hivi kwa Ahlusunnah wanapata wapi kigezo cha kuwaeleza Ahlusunnah kuwa Mashia sii wenzao ilihali itikadi yao na ya Ahlusunnah ni baina ya mbingu na ardhi?

Maulana Sheikh Hemed Jalala akaeleza msingi wa sababu ya kuzungumza mada hii ni kuulinda umoja baina ya Waislamu ambao haukuwahi kushuhudia vurugu baina yao kabla ya kuingia gurupu hili ndani yao, Kabla ya kuingia kundi hili jamii ya Waislamu wa Tanzania hawakuwahi kusikia eti msikiti unatekwa au watu wanafunga msikiti wanachapana bakora.

UISLAMU NI DINI MOJA -MADHEHEBU MNAYATENGENEZA WENYEWE:
Maulana Sheikh Hemed Jalala msomi wa elimu (ilm) ya dini ya Islam anatuongoza katika darsa linaloangazia somo la historia ya uislamu.

Uislamu asili wa mtume hauna mifarakano na matabaka, majina ya madhebu mnayaita wenyewe wala Allah hakuyateremsha. Tunapaswa kuusoma Uislamu Asili wa mtume na kushikamana na mafundisho yake yanayofunza umoja katika kila nyanja na ibada.


Source : asadiqmedia
 
Shia siyo Waislam

Misingi ya IMANI ya KISHIA NA WAISLAM wengine inatofautiana. Nimekupa mfano hapo kwa mchango wangu uliotangualia. SHIISM ILIANZA KAMA VUGUVUGU LA KISIASA BAADAYE LIKAWA NA THEOLOGIA.

Na itikadi zao ziko TOFAUTI HATA HIJJAH WANAFANYA NAJAF IRAQ NA SIYO MAKKAH!!

Nguzo za UISLAM ZIKO 5. Akivunja mojawapo mtu basi ametoka kwenye UISLAM [nadhani tukisikia masharti na vigezo kuzingatiwa inaelewka vizuri]...
1. Shahada [ Kumwamini Mungu moja na MUHAMMAD Mtume wake]
2. Kusimamisha sala 5
3. Kutoa zaka
4. Kufunga Ramadan
5. Kuhiji Makkah

Nguzo ya kwanza tu SHIA wameipindua HATA KWENYE ADHANA [MUITO WA SALA] UNAWEZA KUSIKIA

NGUZO YA TANO PIA IMEPINDULIWA...

SHIA NI WAONGO [MARA NYINGI HUFICHA UKWELI NA KUDHIHIRISHA UONGO]....

Na itikadi zao nyingi za kufuru....
Mhh sasa mbona huwa mnasema watu wote wamezaliwa waisilamu?
Inakuwaje SHIA ambao wanamuamini Muhamad wasiwe waisilamu?
 
Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?

Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati.

Pia wanaeleza utaratibu huo uliingizwa kinyemela kwenye kitabu cha dini kabla toleo la mwisho halijatoka.

Wataalamu mnaweza kutupa maelezo zaidi.

Ndugu umewashika pabaya wafuga midevu!!Watakuparula sana we subiri watokee!!
 
Kuna watu hawana kazi za kufanya kutwa kufatilia maisha ya watu na kuupiga vita uislamu.

Mada za kuupiga vita uislamu nowadays zimekua nyingi sana, mara waarabu wabaguliwe, wakashifiwe, wazushiwe uongo n.k
 
Mhh sasa mbona huwa mnasema watu wote wamezaliwa waisilamu?
Inakuwaje SHIA ambao wanamuamini Muhamad wasiwe waisilamu?
Shia HAWAMWAMINI MTUME MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE, wamemkhalifu na kwenda kinyume na ujumbe aliokuja nao!!
 
Mimi ni mkristo ila nakushauri achana na kukashifu imani za watu. Acha kutoa hoja za kudhoofisha imani za watu, scha mada za uchochezi. Kumbuka hilo na Mungu atakubariki.
Kijana onyesha ipi ni kashfa hapo. Wewe ni muislamu na hapa unaongea uongo kwa kutumia tekiya.
 
Na wewe unamsifia sana Yesu na yule mzugu aliyetundikwa msalabani inawezekana kuwa mmeo..
Onyesha sehemu nimemtaja huyo jamaa wa kwenye movie. Yesu Kristo ni Mungu aliyehai, yeye ninamsifu na nitamsifu milele.
 
Back
Top Bottom