Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
- Thread starter
- #81
Kwanini madhehebu mengi na yanapingana ikiwa quran ni moja?Dhehebu hili la Wahabi ni tofauti na mengine.
Itikadi zao kuhusu ulimwengu na juu ya umma mkubwa wa waIslamu wenye mchaganyiko kimataifa, zina ubaguzi wa aina fulani badala ya umoja unaotakiwa.