4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
jibu kwa hoja kuoneaha hazimoHuyu hazimo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu kwa hoja kuoneaha hazimoHuyu hazimo.
Yesu Kristo ni Mungu tangu milele na milele, alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo. Yesu alipita kwenye tumbo la Mariamu ili auchukue mwili, sio kwamba pale ndio alianza kuexist.kablayakuzaliwa huyokristo wenu kulikuwa namunguyupi? achaujinga wakumwabudu binadamumwenzako
duh MAREKAN MBONA MNAMPA NGUVU KAMA MUNGU MTU VILE , ACHEN.KUMKASHIFU MUNGU KILA KITU MAREKAN , INACHOSHA ASEEPropaganda za Marekani kuwagombanisha Ili auze silaha zake
ID yako nimeishaikriri kuwa miongoni mwao members ambao madishi yameyumba humu ndio maana sihangaikagi kukujibu comment yeyote kwani inaelekea una umasikini wa fikra chanya.kama kawaida yenu mkishavaa vijora vichwa vinaacha kufanya kaz
kakashifu wap au waislam ndo akili mgando , jamaa kauliza ktk mfumo wa nukuu wala hajaireport km taarifaMimi ni mkristo ila nakushauri achana na kukashifu imani za watu. Acha kutoa hoja za kudhoofisha imani za watu, scha mada za uchochezi. Kumbuka hilo na Mungu atakubariki.
nyiny watu ni kipengeleeNa wewe unamsifia sana Yesu na yule mzugu aliyetundikwa msalabani inawezekana kuwa mmeo..
Unaweza kuweka ushahidi kuwa Yesu yupo hai ? si ni sawa na kusema Nyerere au 2PaC yupo hai ?Yesu yupo hai na kila siku tunafanya kazi pamoja. Kaburi lake li wazi lakini lile la kule saudia bado lina mifupa.
ulipata ngap somo la LUGHA , maana hujui kutofautisha passive voice na activeKuna watu hawana kazi za kufanya kutwa kufatilia maisha ya watu na kuupiga vita uislamu.
Mada za kuupiga vita uislamu nowadays zimekua nyingi sana, mara waarabu wabaguliwe, wakashifiwe, wazushiwe uongo n.k
mkuu unakichwakigumu sanakama unashindwa kuelewa kwamba mungu hajazaliwa hajazaa walahafananishwi nakitu chochote ilayeye ndiye ambae ameumbakila kitu ulimwenguni achafikra mgando kumwabudu binadamumwenzako aliezaliwa naakanyonya kwamamake kamaweweYesu Kristo ni Mungu tangu milele na milele, alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo. Yesu alipita kwenye tumbo la Mariamu ili auchukue mwili, sio kwamba pale ndio alianza kuexist.
Kwa hiyo na huyo ni mumeo kwa vile unamsifu ?Onyesha sehemu nimemtaja huyo jamaa wa kwenye movie. Yesu Kristo ni Mungu aliyehai, yeye ninamsifu na nitamsifu milele.
yaan mtu kauliza swali halaf unamumba ushahid , hv mnatumia nn.kufikirUna ushahidi gani wa hilo?
uchungu huu ungetumia kukemea magaid wanaua watoto wasio na hatiaweekiazi hangaika ilaukweli weekama siomuislam tayari umeshajikatia tiketiyako yamotoni endeleakuandika upupuwako ilimjifurahishe namakafiri wenzako
Mkuu una mwandiko mchafu mno.hahahahaha huyokristo nibinadamu kamamimi nawewe atakuajenausalama wangu? mwenyeusama wangu nimungu ambae ndiye alieumba kilakitu akiwemo huyokristo wenumakafiri mnaemwabudu badilika achakutegemea uzimakutoka kwabinadamu mwenzako kamawewe sawaee?
Yesu yu hai na wayahudi waliokuwepo kipindi chake waliandika kwamba alifufuka na walimuona akipaa kwenda mbinguni. Ushahidi ni ule umeandikwa kwenye biblia.Unaweza kuweka ushahidi kuwa Yesu yupo hai ? si ni sawa na kusema Nyerere au 2PaC yupo hai ?
Yesu alikuwepo tangu milele.mkuu unakichwakigumu sanakama unashindwa kuelewa kwamba mungu hajazaliwa hajazaa walahafananishwi nakitu chochote ilayeye ndiye ambae ameumbakila kitu ulimwenguni achafikra mgando kumwabudu binadamumwenzako aliezaliwa naakanyonya kwamamake kamawewe
Hii mada angeanzisha mtu mwingine watu wengi wangekuwa positive na kutoa ushirikiano katika majibu tatizo historia ya mleta mada ina mhukumu yeye amekuwa mtu wa hovyo hana hekima na kutukana inapokuja masuala ya dini , amechukulia mambo ya dini kama ubishani wa Simba na Yanga kuna uzi alikuwa anamuomba mtu fulani amuwekee aya fulani za Qu'ran kwa bashasha kabisa akisema "niweke nikawalipue waislamu"Mkuu umenifumbua macho, dah ni kweli jamaa Hana hata mwezi ila ni expert member post 1000+.
Note. Jamaa anapoint hapa ajibiwe Kwa hoja kwanini Shia walio Irani na hawa wayemen wahudhi wanapalia timing Makkah na Madina wapapige kiberiti?
Kuanzia Yohana 1:1 Hadi Yohana 1:37 ni maneno ya mwandishi Hapo maneno ya Yesu yanapatikana kuanzia Yohana1:38Yohana 1:1-5
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza
Huu ndio ushahidi wa mtu mwenye akili timamu ?mimi nikisema Bibi yangu aliyefariki mika ya 60 Tandahimba yupo hai kwa sababu kuna watu walimuona miaka hiyo akipaa na kila siku naongea nae katika roho hapo imekaa vipi ?Yesu yu hai na wayahudi waliokuwepo kipindi chake waliandika kwamba alifufuka na walimuona akipaa kwenda mbinguni. Ushahidi ni ule umeandikwa kwenye biblia.
Pia ushahidi mkubwa zaidi ni huu tulionao sisi tunaomwamini kwasababu kila siku tunaongea naye katika roho na yupo pamoja nasi hata utimilifu wa nyakati. Huu ushahidi ni wa kiimani hivyo kama humwamini hauwezi kuuelewa.