Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
- Thread starter
- #141
Kwahiyo wewe kijana wa karne ya 21 ndio unafahamu kuliko mwandishi aliyeona kwa macho yake na kusikia kwa masikio yake.Kuanzia Yohana 1:1 Hadi Yohana 1:37 ni maneno ya mwandishi Hapo maneno ya Yesu yanapatikana kuanzia Yohana1:38
Na huyo mwandishi aliyeandika hiyo Yohana1:1 na akakudanganya wewe kuwa Yesu ni Mungu na wewe ukaamini maneno ya mwandishi
Hadi Leo hii huyo mwandishi ajulikani
Watu walimtafuta ili aseme hayo maneno aliyapata wapi lakini hawakufanikiwa kupata background yake Wala sehemu aliyowahi kuishi
Hicho kitabu kiliokotwa Egypt miaka 50 baada ya Yesu kupaa
Yaani unaokoteza komenti mitandaoni unaziamini kuliko kitabu kilichoandikwa na wanafunzi wa Yesu Kristo.We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.
Kweli hukumu juu yako itakuwa halali.