Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila J2 unaweka bibilia kwapani unaenda nayo kanisani kumbe hata aliyeandika haumjui ni haki yako kutokumjua Mungu wa kweliWewe naona unarudia kuokoteza vitu mtandaoni badala ya kuuliza kwa wanaoelewa.
We mwamedi anakugegedaAnakugegeda?
Wewe unaropoka tu kama mwendawazimu. Yohana amejitambulisha mara nyingi sana katika hicho kitabu kama mwanafunzi aliyependwa na Yesu na kwamba ndiye aliyeandika.Kila J2 unaweka bibilia kwapani unaenda nayo kanisani kumbe hata aliyeandika haumjui ni haki yako kutokumjua Mungu wa kweli
Au wewe unamjua aliyeandika kitabu Cha Yohana?
Kitabu Cha Luka kimeandikwa na mganga wa kienyeji kitabu Cha Mathayo kimeandikwa na farisayo Paulo
Mtaje aliandika kitabu Cha Yohana ili Dunia ikupe zawadi maana Hadi Leo Bado anatafutwa
Yani malaika awalete bila tumbo yeye aje kwenye tumbo atailiwe yani mungu wenu ametailifa kweli wewe ni mjinga yesu sio mungu yesu ni mwanadamu kama wewe na hata alipokua msalabani alikua analia munhu wangu mungu wangu mbona unaniachaYesu Kristo yupo tangu milele ila alipitia tumboni mwa mwanamke kuuchukua mwili na baadae alirudi zake mbinguni alipokuwepo.
Kwani kuna tatizo hata angekuwa member wa October 2022? Wewe wa 2019 ndiyo unajiona wa maana sana kuliko yeye wa September? Nimelazimika na mimi kukuangalia wewe unaedharau member wa September kumbe na wewe ni kuku mgeni tu.Wewe angalia hoja zake,mambo ya kwenda kuchungulia profile yake kajiunga lini ni dalili ya kuishiwa hoja.Haya mzee una kasi Sana uwezi dhani wew Ni member junior utadhani Ni senior member kbsa kumbe Ni kijan wa September 22
Nilikuwa sijui kama wewe ni Tahira kiasi hicho Yani wewe unadhani Yohana mwanafunzi wa Yesu ndio aliyeandika kitabu Cha Yohana? Nenda ukawaukize mapadri wako watakupa JibuWewe unaropoka tu kama mwendawazimu. Yohana amejitambulisha mara nyingi sana katika hicho kitabu kama mwanafunzi aliyependwa na Yesu na kwamba ndiye aliyeandika.
Unaenda mitandaoni unaokota komenti ya mtu badala ya kusoma injili ya Yohana yenyewe. Sasa soma hapa chini ili uache kuwa unasikiliza stori za kipumbavu hapo masjid na mitandaoni:
Yohana 20:20-24 SRUV
20 Petro akageuka akamwona yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu anafuata; (ndiye huyo aliyeegama kifuani pake wakati wa kula chakula cha jioni, akasema, Bwana, ni nani akusalitiye?)
21 Basi Petro akamwona huyo, akamwambia Yesu, Bwana, na huyu je?
22 Yesu akamwambia, Ikiwa nataka huyu akae hata nitakapokuja, imekuhusuje wewe? Wewe unifuate mimi.
23 Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Lakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nitakapokuja, imekuhusuje wewe?
24 Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli
Yohana 20:2 SRUV
Basi akaenda mbio, akafika kwa Simoni Petro na kwa yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, akawaambia, Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka.
Yohana 13:23 SRUV
23 Na palikuwapo mmoja wa wanafunzi wake, ameegama kifuani pa Yesu, ambaye Yesu alimpenda.
Wewe ni idiot hivyo sina muda wa kuendelea kujibu pumba zako. Kakae masjid ukacheze na majini.Nilikuwa sijui kama wewe ni Tahira kiasi hicho Yani wewe unadhani Yohana mwanafunzi wa Yesu ndio aliyeandika kitabu Cha Yohana? Nenda ukawaukize mapadri wako watakupa Jibu
Yani nyinyi mmedanganywa Hadi ni wa kuonewa huruma
Aliyeandika kitabu Cha Yohana sio mwanafunzi wa Yesu na Hadi Leo huyo mtu ajulikani ni nani
Na aliyeandika kitabu Cha Luka alikuwa mganga wa kienyeji sio mwanafunzi wa Yesu
Na laiti kama hao wanafinzi waliandika injili na wewe ungefanikiwa kuiona hiyo injili iliyoandikwa na mwanafunzi wa Yesu wewe usingekuwa mkristo
Hadi Yesu siku anapaa mbinguni hakukuwa na dini inayoitwa ukristo ukiristo ulianzishwa miaka 50 baada ya Yesu kupaa na ndio maana hakuna muisrael ukristo
Yani wewe mweupe sana na kwa mujibu wa maneno ya Yesu moto wa jahanam unakusubiri kwa sababu Yesu anasema ili uende peponi (uzima wa milele) ni lazima ukubali kuwa Mungu ni mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmojaWewe ni idiot hivyo sina muda wa kuendelea kujibu pumba zako. Kakae masjid ukacheze na majini.
Namkubali sana iran na ana akili sana. Kaona watu miaka nenda rudi wanampigatwani kwa mawe , na hawajafanikiwa kumuua au kimkimbiza hapo anapoishi ,kaamua kutumia nyuklia kumteketezea mbali ili watu wasipoteze na hela kusafiri umbali mrefu kwenda kumrushia mawe wakati yeye ni mjanja anayahepa yoteNimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?
Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati.
Pia wanaeleza utaratibu huo uliingizwa kinyemela kwenye kitabu cha dini kabla toleo la mwisho halijatoka.
Wataalamu mnaweza kutupa maelezo zaidi.
Mkuu umewaza mbali kwakweli. Iran anataka kuwapunguzia kazi waislam kwa kumpiga shetani kwa nyuklia.😂😂Namkubali sana iran na ana akili sana. Kaona watu miaka nenda rudi wanampigatwani kwa mawe , na hawajafanikiwa kumuua au kimkimbiza hapo anapoishi ,kaamua kutumia nyuklia kumteketezea mbali ili watu wasipoteze na hela kusafiri umbali mrefu kwenda kumrushia mawe wakati yeye ni mjanja anayahepa yote
Kama hajaweza kuelewa hapa basi mwisho wake umefika.Wewe unaropoka tu kama mwendawazimu. Yohana amejitambulisha mara nyingi sana katika hicho kitabu kama mwanafunzi aliyependwa na Yesu na kwamba ndiye aliyeandika.
Unaenda mitandaoni unaokota komenti ya mtu badala ya kusoma injili ya Yohana yenyewe. Sasa soma hapa chini ili uache kuwa unasikiliza stori za kipumbavu hapo masjid na mitandaoni:
Yohana 20:20-24 SRUV
20 Petro akageuka akamwona yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu anafuata; (ndiye huyo aliyeegama kifuani pake wakati wa kula chakula cha jioni, akasema, Bwana, ni nani akusalitiye?)
21 Basi Petro akamwona huyo, akamwambia Yesu, Bwana, na huyu je?
22 Yesu akamwambia, Ikiwa nataka huyu akae hata nitakapokuja, imekuhusuje wewe? Wewe unifuate mimi.
23 Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Lakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nitakapokuja, imekuhusuje wewe?
24 Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli
Yohana 20:2 SRUV
Basi akaenda mbio, akafika kwa Simoni Petro na kwa yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, akawaambia, Wamemwondoa Bwana kaburini, wala hatujui walikomweka.
Yohana 13:23 SRUV
23 Na palikuwapo mmoja wa wanafunzi wake, ameegama kifuani pa Yesu, ambaye Yesu alimpenda.
Shia ni kabila kama makabila mengine hapa TanzaniaShia ni dhehebu mojawapo katika dini ya Kiislamu.
Kwamba shia sio dhehebu?Shia ni kabila kama makabila mengine hapa Tanzania