Kila kitu inasemekana. PUMBAFU. usirudiae tena kuweka habari za kitoto hapa. Siku hizi JF imevamiwa na vitoto vingi sanaNimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?
Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati.
Pia wanaeleza utaratibu huo uliingizwa kinyemela kwenye kitabu cha dini kabla toleo la mwisho halijatoka.
Wataalamu mnaweza kutupa maelezo zaidi.
Hii shangaa yako nayo imeletwa na Waamerka.Subhuman Allah [emoji2][emoji2][emoji854]
Umetoka kuchangia uzi huu hapa, umekuja kuanzisha mashudu mengine huku.View attachment 2392252
Vp yesu nae umefanya nae kazi?Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?
Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati.
Pia wanaeleza utaratibu huo uliingizwa kinyemela kwenye kitabu cha dini kabla toleo la mwisho halijatoka.
Wataalamu mnaweza kutupa maelezo zaidi.
Kwa lugha nyepesi DIINI YA UISLAM ina mapote mengi kama ulivyo UKIRISTO... Mfano kwenye ukiristo kuna pote linaitwa Mormonism ambalo wana theologia wengi wa kikiristo WANAAMIN ni CULT NA SII THEHEBU LA DINI...Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?