Kwanini Isack Newton anapewa kuwa most influencial person duniani kuliko Yesu?

Kweli kutojua ni ujinga kweli kweli kuna calender zaidi ya 10 duniani kulingana na sehemu unao nchi kuna BC AD AH nk wewe unajua moja tu duh.
 
Yaani yesu ali muumba mtu?, yaani kweli uwezo wa kufikiri ni zero, uwezo wa kusoma na kuelewa napo ni zero, haya soma hapa
1:17 yakobo Mungu habadiliki, (hayo ni maneno ya bibilia sio yangu mie)
 
Ni kwasababu maisha yake yaligusa kila aspects ya maisha yanayomzunguka binadamu wa sasa.

Muhammad alikuwa ni mfanyabiashara, nabii, lakini pia alikuwa ni mtu wa politics.

Muhammad aliweza kuziunganisha kwa wakati nchi zote zinazozungumza kiarabu.

Hayo ndio maelezo na sababu alizoziainisha Michael Hart aliyeweka hizo rank kupitia research zake.
 
Kweli kutojua ni ujinga kweli kweli kuna calender zaidi ya 10 duniani kulingana na sehemu unao nchi kuna BC AD AH nk wewe unajua moja tu duh.
Unaongea utahira mzee dunia nzima inajua huu ni mwaka 2024... Kama unabisha bisha
 
Hahaaa kjiingiza mwenyew kumbe wanajua yesu ni calibre ya issac newton
 
Kwani uongo?
Kinachoangaliwa ni namba ya watu wengi wanaomuamin bila itikadi.
Huyu Yesu kuna watu hawamuelewi kabisa ila asiemuelewa Newton ni kichaa kabisa hivyo hatohesabiwa.
Umaeza amin kwamba Yesu anazidiwa hata na Bob Marley kwa influence?
May be ni kwasababu yeye anaaminika si Mtu na hapo wamezungumziwa watu/binadamu.
 
Mkuu sisi wa kuristu tunaamini yesu alikua binaadamu na vinasaba vya Umungu pia kuna kipindi anawekwa msalabani uko analia hapo alikua binaadamu, kwahiyo niko sahihi kuwekwa katika binaadamu, jifinze dini yako mkuu.
Vinasaba vya Umungu?
 
Alikuwa mfuasi wa Yesu, na Yesu alisema wafuasi wake watafanya mambo makubwa kuliko yeye.
Mkristo anatakiwa kuwa influential kuliko kristo alipokuja katika ubinadamu.

Maana sasa hivi ni Yuko mbinguni mwený uungu wote 100%
 
Watu hawajui kuwa Newton alikuwa mfuasi wa Yesu, Tena ameandika mengi kuhusu kitabu cha Daniel kuliko hata makabrasha ya Calculus
 
Newton mwenyewe anamuamini Yesu na anaamini atarudi mara ya 2

Isaac Newton had complex views on Jesus and religion, including:

The Second Coming

Newton predicted that Christ would return after war and plagues, and that he would be among the saints who would reign on earth for 1,000 years. He wrote on a scrap of paper that he believed the apocalypse would happen in 2060.

The Trinity

Newton was a radical anti-Trinitarian, believing that the Trinity was a pagan and diabolical fiction. He disliked Roman Catholicism and hated idolatry, which may have contributed to his views on the Trinity.

The nature of God

Newton believed that God was a Pantocrator, a ruler who intervened in the universe to ensure it followed God's will. However, he rejected the traditional Christian view that God was a community of the Father, Son, and Holy Spirit.

The study of Bible prophecy

Newton believed that studying the Bible and prophecy was a way to understand how God acted in history. He wrote a manuscript in the 1680s that was a study of Bible prophecy.

Theological writing

Newton wrote about religion in a number of works, including Introductio. Continens Apocalypseos rationem generalem (Introduction. Containing an explanation of the Apocalypse), Notes on early Church history and the moral superiority of the 'barbarians' to the Romans, and A Dissertation upon the Sacred Cubit of the Jews and the Cubits of the several Nations.
 
Watu hawajui kuwa Newton alikuwa mfuasi wa Yesu, Tena ameandika mengi kuhusu kitabu cha Daniel kuliko hata makabrasha ya Calculus
True bro, he spent most of his time reading the book of Daniel kwasababu ya prophecies zilizopo kweny hicho kitabu.

Huyu jamaa aliyeanzisha uzi hana hata akili ya kuchanganua, hakuna mtu aliyeishi hapa duniani mweny influence kama yesu, Yesu anajulikana na christians wote and non-christians, na ukimjua yesu utajua tuu mambo yake, utajua tuu alifanya nn na watu wanamchukuliaje, but for mudy sidhani kwakweli.

Ni rahisi kwa muislamu kumjua yesu na mambo aliyofanya kuliko mkristo kumjua muhammad.
 
Influence ya Yesu ni kubwa sana, huyo jamaa ni muislamu ,ameileta hiyo mada kwa mgongo kwamba mudy ndio influencer zaidi,

Hajui kuwa hata huyo mudy ilibidi aibe story za Yesu na kumuita Yesu ili kitabu chake kipate Umaarufu,

Newton Mwenyewe ni mfuasi wa Yesu

Biblia ndio kitabu kilichouzwa sana sababu ya Yesu

Yesu ana wafuasi mabilioni Leo hapa duniani
 
Islam was started for many purposes, but the main purpose was kuua uungu wa Yesu, na hawajafanikiwa.

Watu kama hawa unakubaliana nao tu usipoteze muda, hata akisema kingwendu kamzidi influence yesu mwambie sawa.
 
Islam was started for many purposes, but the main purpose was kuua uungu wa Yesu, na hawajafanikiwa.

Watu kama hawa unakubaliana nao tu usipoteze muda, hata akisema kingwendu kamzidi influence yesu mwambie sawa.
Mkuu substetiate your statement plz.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…