implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Kumfanya yesu ndo mungu,hapo ndipo wakristu wengi ujichanganya aseh ,tatizo mlipotoshwa Kwa lengo fulani la wapotoshaji hasa maslahi,binafsi uwa najiuliza ni wakati gani yesu aitwe mungu na wakati gani aitwe mwana??na kwanini,mwanafunzi utamfundishaje Kwa mfano ili awaeleweni?Mkuu sisi wa kuristu tunaamini yesu alikua binaadamu na vinasaba vya Umungu pia kuna kipindi anawekwa msalabani uko analia hapo alikua binaadamu, kwahiyo niko sahihi kuwekwa katika binaadamu, jifinze dini yako mkuu.
Unamuweka Mungu kwenye mizania ya ubinadamuKumfanya yesu ndo mungu,hapo ndipo wakristu wengi ujichanganya aseh ,tatizo mlipotoshwa Kwa lengo fulani la wapotoshaji hasa maslahi,binafsi uwa najiuliza ni wakati gani yesu aitwe mungu na wakati gani aitwe mwana??na kwanini,mwanafunzi utamfundishaje Kwa mfano ili awaeleweni?
Nadhani katika masuala ya uvumbuzi ni Newton. Lakini katika ukombozi wa mwanadamu, kumweka katika nafasi yake, na kuanzisha taifa jipya la Mungu ni Yesu Kristo.Google pamoja na wana sayansi wa dunia wamekubaliana kwamba watu marufu funian tangu enzi na enzi Isack newton iko juu ya Yesu, wakati Yesu ni Mungu mbona yanachanganya wakati Mungu huyu huyu ndo alir muumba huyu Isack newton.
Muhammad the Islamic prophet amepewa nafasi ya kwanza na watu wasio waislamu wanao pinga mafunsisho yake hili lina tufindisha nini.
Sikiliza video hiyo.
View attachment 3154798
Muhindu anaweza kutumia logic hii piaNdio nasikia leo mtu aliyeishi zaidi ya miaka 2000 huko anafananishwa na huyu wa juzi
Hakuna sehemu yesu amesema yeye ni Mungu ila kwa sababu kuna watu wana mawazo finyu wakamlazimisha awe Mungu kama una "uthibistisho usio na utata " unaweza kuweka pia .Unamuweka Mungu kwenye mizania ya ubinadamu
Ni uelewa wako tu mdogo , Yesu ni MunguHakuna sehemu yesu amesema yeye ni Mungu ila kwa sababu kuna watu wana mawazo finyu wakamlazimisha awe Mungu kama una "uthibistisho usio na utata " unaweza kuweka pia .
Yesu ni BINADAMU hana tofauti na Mimi amelala , ninalala, alikula na mimi ninakula pia n.k
Hayo mambo ya kwamba ni mungu ni yenu huko makanisani ila kiuhalisia yes alikua mtu maarufu wa kale basiGoogle pamoja na wana sayansi wa dunia wamekubaliana kwamba watu marufu funian tangu enzi na enzi Isack newton iko juu ya Yesu, wakati Yesu ni Mungu mbona yanachanganya wakati Mungu huyu huyu ndo alir muumba huyu Isack newton.
Muhammad the Islamic prophet amepewa nafasi ya kwanza na watu wasio waislamu wanao pinga mafunsisho yake hili lina tufindisha nini.
Sikiliza video hiyo.
View attachment 3154798
Ndo nyie mkipita huku mtaani kwetu tunawakamata tunawapiga alafu tunawapaka upupuHayo mambo ya kwamba ni mungu ni yenu huko makanisani ila kiuhalisia yes alikua mtu maarufu wa kale basi
Ni uelewa wako tu mdogo , Yesu ni Mungu
Yesu hakunakiliwa mahali popote katika biblia akisema, “Mimi ni Mungu.”
Lakini hiyo haimaanishi ya kwamba hakusema kuwa yeye ni Mungu. Kwa mfano ni maneno ya Yesu katika
Yohana 10:30, “ Mimi na Baba yangu ni mmoja.” Kwa mtazamo wa kwanza, hili linaweza kuwa si dai la kuwa Mungu. Lakini angalia mapokezi ya ujumbe huu kwa wayahudi,
“hatukupigi mawe kwa lengine lile ila kufuru, kwa sababu wewe ni mwanadamu, unayejidai kuwa Mungu” (Yohana 10:33). Wayahudi walielewa matamshi ya Yesu kuwa alijijulisha kwao kuwa yeye ni Mungu. Katika aya zifuatazo hawasahihishi wayahudi kwa kusema, “si kusema mimi ni Mungu.”
Hii ina maana ya kuwa aliposema haya yafuatayo alikuwa akimaanisha kweli kuwa ni Mungu, “Mimi na Baba yangu ni mmoja” (Yohana 10:30). Yohana 8:58 ni mfano mwingine. Yesu akasema, Amini, Amini nawaambia, kabla ya Abrahamu kuweko mimi nilikuwa.” Tena kwa ajili ya hayo wayahudi wakashika mawe ili wampige nayo Yesu (Yohana 8:59). Je, wayahudi wangetaka kumpiga mawe yesu kama haingekuwa ya kuwa alisikika akikufuru kwa kusema yeye ni Mungu?
Yohana 1:1 inasema “Neno alikuwa Mungu”. Yohana 1:14 inasema “Neno akafanyika mwili.” Hii inaonyesha wazi ya kwamba Yesu ni Mungu katika mwili. Matendo 20:28 inatuambia, “…Muwe wachungaji wa kanisa la Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe,” Ni nani aliyelinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe? Yesu kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu!
Na sio lazima aseme Mimi ni Mungu, maandiko yanathibitisha hivo".....Yesu hakunakiliwa mahali popote katika biblia akisema, “Mimi ni Mungu"........"
Kama hakunakiliwa popote hii inafungua mlango wa contradictions maana kila mtu atatafsiri kauli zake za mafumbo anavyojua yeye so the safe road here ni kuamini alikuwa BINADAMU na MASIHI basssssss.
Brace yourselfNa sio lazima aseme Mimi ni Mungu, maandiko yanathibitisha hivo
Hata kipindi chake wapo kama wewe waliokuwa wanapinga uungu wake ,siku moja akawapiga swali ambalo mpaka Leo hakuna anayeweza kulijobu akitoa Aya katika kitabu cha Zaburi ,maana walikuwa wanaamini kuanzia Torati ,manabii na Zaburi,
Labda wewe unaweza kujibu, katika Zaburi
Mathayo 22
41Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza, 42“Nyinyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.” 43Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
44 ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:Keti upande wangu wa kulia,
mpaka niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.’
45Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo ‘Bwana,’ anawezaje kuwa mwanawe?” 46Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.Iliyochaguliwa sasa
Pia katika Zaburi 45:7 inasema hivi
Umeipenda haki; Umeichukia dhuluma. Kwa hiyo MUNGU, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya furaha kuliko wenzako.
KAMA UNAAMINI VITABU KAMA TORATI ,ZABURI ,NA MANABII ,Nami nakuswalika swali kama la Yesu
Imekuwaje katika Zaburi ,Daudi kusema Mungu,Mungu wako amekutia mafuta,Mafuta ya furaha kuliko wenzako
Brace yourself
1. Zaburi 110:1 Inazungumzia vitu viwili tofauti
Aya hii imetumia maneno mawili tofauti: “BWANA” (Yahweh, kumaanisha Mungu) na “Bwana wangu” (Adonai ). Katika mila ya Kiyahudi, “Bwana wangu” Linaweza kumaanisha mfalme, nabii, au kiongozi mwingine wa kibinadamu, si lazima iwe Mungu.
UFAFANUZI: Daudi kumuita Masihi “Bwana wangu” hakuashirii uungu. Ni ishara ya heshima na mamlaka, jambo linaloendana na kiongozi wa kibinadamu, kama inavyoonekana katika maandiko mengine (mfano, 1 Samweli 25:24).
2. Nafasi ya Masihi kuwa Mkono wa Kuume wa Mungu ni Mamlaka aliyopewa
Kuketi mkono wa kuume wa Mungu kunaonyesha nafasi ya heshima na mamlaka, lakini hakuonyeshi kwamba Masihi ni sawa na Mungu. Kwa mfano, Yosefu aliketi mkono wa kuume wa Farao akitekeleza mamlaka yaliyopewa bila kuwa Farao mwenyewe (Mwanzo 41:40-44).
UFAFANUZI : Masihi kuketi mkono wa kuume wa Mungu inaonyesha jukumu maalum alilopewa na Mungu, si uungu wake. Hili linaendana na matarajio ya Kiyahudi kuhusu Masihi wanayemsubiru wa kibinadamu aliyepewa nguvu na Mungu.
3. Maneno ya Daudi yamekaa kiushairi, Siyo Mafundisho ya Kinadharia
Zaburi 110 ni wimbo wa kusifu na kutukuza, si mafundisho ya moja kwa moja ya kitheolojia. Daudi aliweza kumuita Masihi wa baadaye “Bwana wangu” kishairi bila kuashiria kwamba yeye ni Mungu.
UFAFANUZI : Matumizi ya neno “Bwana” hapa yanaonyesha heshima, si asili ya kiumbe (ontology). Daudi anathibitisha nafasi ya Masihi kama mfalme au kiongozi wa heshima, si Mungu.
4. Kimya cha Mafarisayo Hakimaanishi Uungu wa Yesu
Mafarisayo walinyamaza si kwa sababu walikubaliana na madai ya Yesu, bali kwa sababu walishangazwa na maana ya kiteolojia ya Zaburi 110:1. Walihangaika kuelewa jinsi Masihi angeweza kuwa “mwana wa Daudi” na wakati huo huo aitwe “Bwana” wake.
UFAFANUZI: Kimya hakimaanishi makubaliano. Kinaonyesha kushindwa kueleza kwa wakati huo, si kukubali kwamba Yesu ni Mungu.
5. Yesu Hakudai Moja kwa Moja Uungu Katika Aya Hii
Katika Mathayo 22:41-46, Yesu hakudai moja kwa moja kwamba yeye ni Mungu. Badala yake, alikosoa ufahamu finyu wa Mafarisayo kuhusu asili na jukumu la Masihi.
UFAFANUZI: Kuuliza swali kuhusu utambulisho wa Masihi hakumaanishi kudai uungu. Aya hii inaelekeza kwenye nafasi ya juu ya Masihi, lakini haihusishi lazima kuwa yeye ni Mungu.
6. Zaburi 110 Haikufasiriwa Hapo Mwanzo Kwamba inazungumzia Uungu
Mila ya Kiyahudi haifasiri Zaburi 110 kama inayoelezea Masihi wa kiungu. Badala yake, inachukuliwa kama wimbo wa kumsifu mfalme au unabii kuhusu mfalme wa baadaye atakayewaongoza Waisraeli chini ya uongozi wa Mungu.
UFAFANUZI: Fasiri ya Kikristo ya Zaburi 110 kama ushahidi wa uungu wa Yesu ni maendeleo ya baadaye ya kiteolojia, si maana ya awali ya zaburi hiyo pitia pia kuhusu " the chalcedonian box" .
7. Yesu Kuwa “Mwana wa Daudi” Hakumaanishi Uungu
Swali la Yesu linaangazia utambulisho wa Masihi kama mzao wa Daudi na pia “Bwana” wake. Hata hivyo, kuwa mzao wa Daudi na kuitwa “Bwana” katika mamlaka hakumaanishi kwamba Masihi ni Mungu.
UFAFANUZI: Jina “Bwana” katika muktadha wa Zaburi 110:1 linaonyesha mamlaka ya kazi aliyopewa na Mungu, si usawa na Mungu.
8. Muktadha wa Mathayo Unasisitiza Nafasi ya Yesu Kama Masihi, Si Mungu
Katika Injili ya Mathayo, Yesu mara nyingi anasisitiza nafasi yake kama Masihi aliyeteuliwa na Mungu, si Mungu mwenyewe.
Kwa mfano:
Mathayo 16:16: Petro anasema, “Wewe ndiwe Masihi, Mwana wa Mungu aliye hai.” Hii inathibitisha Yesu kama mteule wa Mungu, si Mungu mwenyewe.
Mathayo 24:36: Yesu anasema, “Hakuna ajuaye siku wala saa, hata Mwana, ila Baba peke yake,” akionyesha tofauti kati yake na Mungu.
UFAFANUZI: Muktadha mpana wa Mathayo unaonyesha Yesu akiwa chini ya Mungu, si sawa na Mungu.

“Na juu ya kile kilichoonekana kama kiti cha enzi kulikuwa na mfano wa mtu aliyeketi juu yake juu kabisa.”
“Akapewa mamlaka, heshima, na ufalme; mataifa yote, kabila zote, na lugha zote zilimhudumia.”
Uthibitisho woote uliyoweka ni "Fulani anaelezea hivi" , "Fulani alitafasiri hivi " , "Alisema hivi hivyo inamaanisha yeye ni hivi " mkuu bado sijaona pahali umethibitisha uungu wake kwa sababu yeye mwenyewe hakuwahi ku claim hivyo ndiyo maana mwanzo nilikuomba UNAMBIGUOUS VERSE yoyote ile inayoonesha ali claim directly kwamba yeye ni Mungu its just that simple .Kuthibitisha Uungu wa Yesu Kristo kwa kutumia maandiko ya Biblia, tunapaswa kuzingatia mistari kadhaa ambayo inaonyesha waziwazi , najibu hoja zako kabla sijakupeleka kwa Nabii Daniel na Yohana ,pia Ezekiel walioneshwa Yesu kwenye maono ,Nina ushahidi mwingi wa kimaandiko kuwa Yesu ni Mungu, ingawa Mimi sio Muumini wa Trinity
Twende sasa kwenye hoja zako
1. Zaburi 110:1 na Uungu wa Yesu
Jibu: Yesu alitumia Zaburi 110:1 kuthibitisha uhusiano wake na Daudi na mamlaka yake. Katika Mathayo 22:44, Yesu aliuliza jinsi Masihi angeweza kuwa mwana wa Daudi na bado aitwe "Bwana." Hii inaonyesha kuwa Masihi ana nafasi ya kipekee na ya juu, inayozidi nafasi ya mfalme wa kawaida wa kibinadamu. Hii pia inalingana na mafundisho ya Agano Jipya kwamba Yesu ni "Mwana wa Mungu" aliye sawa na Mungu (Yohana 5:18).
2. Yesu Kuketi Mkono wa Kuume wa Mungu
Jibu: Kuketi mkono wa kuume wa Mungu hakuashirii nafasi ya chini, bali mamlaka kamili. Katika Waebrania 1:3, Yesu anaelezwa kuwa "Mwangaza wa utukufu wa Mungu na chapa halisi ya nafsi yake." Nafasi hii inathibitisha uungu wa Yesu. Zaidi ya hayo, katika Mathayo 26:64, Yesu alithibitisha kwamba ataketi mkono wa kuume wa Mungu, jambo lililowafanya Mafarisayo kumshutumu kwa kukufuru, wakitambua kwamba alidai usawa na Mungu.
3. Maneno ya Daudi Katika Zaburi 110:1
Jibu: Zaburi 110 inaeleza unabii wa moja kwa moja wa Masihi. Katika Matendo 2:34-36, Petro aliitumia Zaburi hii kuthibitisha kwamba Yesu ndiye Masihi aliyefufuliwa na kuketi mkono wa kuume wa Mungu. Hili linaonyesha kwamba maandiko hayo ni zaidi ya shairi—ni unabii wa kinadharia wa kiungu kuhusu Yesu.
4. Kimya cha Mafarisayo
Jibu: Kimya chao ni muhimu kwani walishindwa kupinga hoja za Yesu kwa maandiko. Hii inadhihirisha kwamba Yesu alikuwa na mamlaka zaidi ya mafundisho yao, jambo ambalo lilikuwa la kipekee kwa mtu wa kawaida. Zaidi ya hayo, katika Yohana 10:33, Mafarisayo walimshutumu Yesu kwa kujifanya sawa na Mungu, wakitambua madai yake ya uungu
5. Yesu Hakudai Moja kwa Moja Uungu Katika Mathayo 22
Jibu: Ingawa Yesu mara nyingi alitumia lugha ya mfano na mafumbo, alifanya madai ya moja kwa moja kuhusu uungu wake mahali pengine. Katika Yohana 8:58, alisema, "Kabla Abrahamu hajazaliwa, Mimi niko," akitumia jina la kiungu "Mimi Niko" ambalo Mungu alitumia katika Kutoka 3:14. Hii ni madai ya wazi ya uungu.
6. Fasiri ya Kiyahudi ya Zaburi 110
Jibu: Mila ya Kiyahudi inaweza kuelezea Zaburi 110 kwa njia tofauti, lakini Agano Jipya linathibitisha kwamba maandiko ya Agano la Kale yanaonyesha uungu wa Yesu. Katika Luka 24:27, Yesu aliwaeleza wanafunzi wake jinsi maandiko yote ya Agano la Kale yanavyomuelekeza yeye
7. Yesu Kuwa “Mwana wa Daudi”
Jibu: Yesu si tu mwana wa Daudi bali ni zaidi. Katika Ufunuo 22:16, Yesu alisema, "Mimi ni mzizi na uzao wa Daudi," akionyesha kwamba yeye ndiye chanzo na mrithi wa Daudi, jambo linaloweza tu kufanywa na Mungu
8. Mathayo na Nafasi ya Yesu
Jibu: Katika Mathayo 1:23, Yesu anaelezewa kuwa "Imanueli," jina linalomaanisha "Mungu pamoja nasi." Hii ni uthibitisho wa wazi wa uungu wa Yesu. Zaidi ya hayo, katika Mathayo 28:18-20, Yesu alisema ana mamlaka yote mbinguni na duniani, mamlaka yanayoweza kuwa ya Mungu pekee.
Hitimisho
Yesu alithibitisha mara kwa mara uungu wake kupitia maneno, matendo, na nafasi yake ya kipekee katika mpango wa wokovu wa Mungu. Hoja za kukataa uungu wake zinaweza kukanushwa kwa kuzingatia maandiko ya Agano Jipya na rejea kutoka Agano la Kale. Rejea kama Yohana 1:1, Yohana 10:30, na Ufunuo 1:8 zinaonyesha wazi kwamba Yesu ni Mungu.
Uthibitisho woote uliyoweka ni "Fulani anaelezea hivi" , "Fulani alitafasiri hivi " , "Alisema hivi hivyo inamaanisha yeye ni hivi " mkuu bado sijaona pahali umethibitisha uungu wake kwa sababu yeye mwenyewe hakuwahi ku claim hivyo ndiyo maana mwanzo nilikuomba UNAMBIGUOUS VERSE yoyote ile inayoonesha ali claim directly kwamba yeye ni Mungu its just that simple .
Kama aliweza ku claim umasihi basi sidhani kama kuna ugumu wa yeye ku claim uungu hadi ifike hatua ya kuacha mafumbo ambayo badaye miaka zaidi ya 500 walitokea watu wakaanza kufasiri na kujadili baadhi ya aya kwa uelewa wao (NARUDIA TENA KASOME KUHUSU CHALCEDONIAN BOX ) kitu kilichopelekea kumpatia uungu wakati mwanzo haikuwa hivyo .