Kwanini Israel inashiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imepigwa stop ?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?

Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
 
Kwani we hujui kiranja wa hii Sayari ni nani na ana uhusiano Gani na hiyo nchi uliyo itaja!?.
 
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?

Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Russia imezuiliwa kushiriki kwenye michezo ya Kimataifa kwa sababu ya uvamizi wake huko Ukraine Feb 24,2022 na Israel haiwezi kuzuiliwa kwenye michezo hiyo kwa sababu si wavamizi bali wao walivamia na magaidi wa kipalestina hapo Oct 07,2023. Hapo ndipo ilipo tofauti na wajinga hawajui hilo na wengi wanasukumwa na Propaganda za waarabu tu lakini ukweli ndiyo huo!!!
 
Huyu mwamba unemuona katika picha anaitwa Count Folke Bernadotte
1759507337866.png
alitumwa na UN akatathimini mgogoro wa Israel na Palestina then atoe mapendekezo yake kwa UN nini wafanye kumaliza mgogoro wa mataifa haya mawili.

mwamba alikuwa na Record nzuri kwa Wayahudi cos aliwasaidia dhidi ya wanazi wakijerumani katika WW2 kwaiyo UN iliamini kuwa watamsikiliza! aliishia kuawa na kosa lake kubwa alipendekeza ramani ya Israel na Palestina ichorwe upya, wakimbizi wa Kipalestina warejee katika sehemu zao ambazo Israel inazikalia, na Israel iondoe wanajeshi wao katika maeneo ya Palestina! hapa ndipo Wayahudi walichukia na wakamuua.

Labda nikuulize mleta mada! we mgogoro wa Israel na Palestina umeanza kuujua October 2023?
 
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?

Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.

Itakuwa ni kwa hisani ya mpakataji mkuu wa simba wanaofugika wa pande za kwetu, Pdidy the great!
 
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?

Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Israel ilivamiwa na wapalestina (Hamas) ikaanza kujilinda. Ukraine akavamiwa na Russia naye akaanza kujilinda, ndo maana Russia amepigwa stop kwenye michazo. Wapalestina nayo wangekuwa wanajua kucheza wangepigwa stop. Umeshaona Ukraine amepigwa stop ingawa nayeye anarusha mabomu kuelekea kwa Warurusi?
Israel na Ukraine wako sawa tu kwenye hii migogoro sema tu kipondo cha Myahudi ni babukubwa ndo maana unasikia sana kilio cha wavamizi kuliko waliovamiwa. Vyombo vya michezo huwa havitumii hisia au dini au siasa katika decision zao.
 
Hiyo fifa ni shirika la mpira la wazungu vivo ivo kwa world bank, imf na UN
 
Ona wanavyo tafuta visingizio na drama za ajabu:
Uefa imesitisha mipango ya kuizuia Israel kutoka soka la Ulaya baada ya tangazo la mpango wa amani uliopendekezwa na Donald Trump kwa eneo hilo. Matarajio yalikuwa yakiongezeka ya uingiliaji kati wa maamuzi na Uefa wiki hii, huku shinikizo likiongezeka ndani ya soka na kutoka kwa vikundi vya nje, ikiwa ni pamoja na Umoja wa Mataifa. Siku 3 zilizopita,
°°°°
Uefa has paused plans to ban Israel from European football after the announcement of Donald Trump's proposed peace plan for the region. Expectation had been growing of a decisive intervention by Uefa this week, amid growing pressure within football and from outside groups, including the United Nations.3 days ago
1759549912421.png

Uefa puts Israel vote on hold after Donald Trump's proposed peace plan​

Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?

Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Kwa sababu ilishambuliwa na magaidi walioteka na kuua watoto na wazee wasio na silaha na kuanzia hapo imeingia kwenye vita ambayo imewaumiza sana wapalestina pia. Je ni kosa kufanya vita kwa lengo la kuokoa mateka na kilinda mipaka yako? Hapana? Je, raia wanaokufa kwa hii vita ni kosa Israeli? Hapana kwa sababu Hamas walianzisha vita, Hamas wanafanya vita wakiwa maeneo ya raia ili isishambulie na ikishambulia iue raia wengi na itengwe na jamii kwamba inalenga raia. Ikumbukwe kama lengo lingekua ni kuua raia Gaza ni ndogo sana na inaweza kufutwa ndani ya saa 1...so nyingi ni propaganda za kigaidi zinazoongozwa na magaidi na washirika wake kwenye ugaidi, biashara, dini nk
 
Huyu mwamba unemuona katika picha anaitwa Count Folke Bernadotte View attachment 3482835alitumwa na UN akatathimini mgogoro wa Israel na Palestina then atoe mapendekezo yake kwa UN nini wafanye kumaliza mgogoro wa mataifa haya mawili.

mwamba alikuwa na Record nzuri kwa Wayahudi cos aliwasaidia dhidi ya wanazi wakijerumani katika WW2 kwaiyo UN iliamini kuwa watamsikiliza! aliishia kuawa na kosa lake kubwa alipendekeza ramani ya Israel na Palestina ichorwe upya, wakimbizi wa Kipalestina warejee katika sehemu zao ambazo Israel inazikalia, na Israel iondoe wanajeshi wao katika maeneo ya Palestina! hapa ndipo Wayahudi walichukia na wakamuua.

Labda nikuulize mleta mada! we mgogoro wa Israel na Palestina umeanza kuujua October 2023?
Akili matope kabisa wewe!! Unajitoa ufahamu kwa kutuletea habari za Count Folke Bernadotte!!! Na kwa ujinga na Upumbavu ulionao unataka kufifisha na kuyaona waliyofanya wapalestina Oct 07,2023 si kitu wakati mauaji ya siku hiyo ndiyo yanayowatia jambajamba huko Gaza na kuifanya Gaza iwe Vifusi mtupu!!!

Waarabu hata hivyo hawajaanza Oct 07,2023 kuwaua wayahudi walianza kabla ya 1947 lakini hili la Oct 07,2023 ndilo lililowafikisha hapo walipo wapalestina zaidi ya 60,000 kuuwawa na maelfu kujeruhiwa na Gaza kugeuka kuwa Kifusi.

Binafsi nilikuwa nategemea na nilikuwa nawaombea sana Hamas wakatae mpango wa Amani wa Trump ili waipe nafasi Israel iwamalize kwa urahisi. Kwa masikitika makubwa nashangaa Magaidi wa Hamas wamekubali mpango wa Trump kiukweli nimesikitika sana sana!!!

Hamas walipaswa wakomae mpaka auwawe gaidi wao wa mwisho!!! Ndipo vita iishe. Hapa sasa tunaelekea mwisho wa magaidi hao na wakikosea tu kuwaachia mateka wote 48 basi Magaidi wa Hamas itakuwa nitolee na huo ndiyo utakuwa mwisho wao. Majeshi ya Israel yalikuwa yanawalealea kwa sababu Israel ilikuwa inataka mateka wake waachiliwe hivyo kwa lealea hiyo Magaidi hao nao walijiona nao wana nguvu kumbe bure kabisa.!!!

Subirini sasa mateka waachiliwe ndipo mtajua IDF ni watu gani!!! Huo ndiyo utakuwa mwisho wa Hamas duniani!!!!
 
Akili matope kabisa wewe!! Unajitoa ufahamu kwa kutuletea habari za Count Folke Bernadotte!!! Na kwa ujinga na Upumbavu ulionao unataka kufifisha na kuyaona waliyofanya wapalestina Oct 07,2023 si kitu wakati mauaji ya siku hiyo ndiyo yanayowatia jambajamba huko Gaza na kuifanya Gaza iwe Vifusi mtupu!!!
Mkuu ukionesha tatizo la Palestina na Israel lilianza October 2023 unakosea cos ilo tatizo lina mizizi yake, na ndiyo maana nikakurudisha mwaka 1948! labda nikupe home work basi unitafutie majibu.
1. Ni Taifa gani lilitawaliwa/ lilikuwa Koloni la Ottoman na baadae kuwa chini ya Uingalizi wa Uingereza kati ya palestina na Israel?
2. Ni Taifa gani lilikuja kupata uhuru mara baada ua Uingereza kutoka kati Israel na Palestina?
3. The UN Partition Plan (Resolution No. 181) kwanini iliamua kugawa ardhi ya Mamlaka ya Palestina kwa kuwapa Palestina 45% ya ardhi walikuwa na idadi ya watu Milion 1.6 ambae mwenyeji wa ardhi tena bila idhini yao na kuwapa Wazayuni 50% ya ardhi walikuwa na Raia Laki 6?

Naomba majibu ya maswali haya tu.
 
Hata usiende mbali huko toka lini Palestina ilikuwa nchi? Haijawahi kuwa nchi na haitakuwa nchi!!!
 
Umeona sehemu yoyote nimeandika Nchi? ningekushauri ujielekeze kujibu maswali ili tuache mihemko isiyo na maana.
 
Wazungu si watu wa principle kama wanavyotaka kuiaminisha dunia. Wanafiki kama wengine wote.
 
Akili za makobaz bana, yaani mfanye uvamizi na kuua watoto wa Wayahudi halafu mkifanyiziwa mnaanza kulia lia mkitaka Israel izuiwe.
 
Russia imezuiliwa kushiriki kwenye michezo ya Kimataifa kwa sababu ya uvamizi wake huko Ukraine Feb 24,2022 na Israel haiwezi kuzuiliwa kwenye michezo hiyo kwa sababu si wavamizi bali wao walivamia na magaidi wa kipalestina hapo Oct 07,2023. Hapo ndipo ilipo tofauti na wajinga hawajui hilo na wengi wanasukumwa na Propaganda za waarabu tu lakini ukweli ndiyo huo!!!
Mgalatia rudi kasome historia vizuri
 
Back
Top Bottom