The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ni kwa sababu Israel ni kinyago cha magharibi cha kuwatishia waarabu ili kuwanyonyea mafuta yaoKwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.