Kwani we hujui kiranja wa hii Sayari ni nani na ana uhusiano Gani na hiyo nchi uliyo itaja!?.Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Russia imezuiliwa kushiriki kwenye michezo ya Kimataifa kwa sababu ya uvamizi wake huko Ukraine Feb 24,2022 na Israel haiwezi kuzuiliwa kwenye michezo hiyo kwa sababu si wavamizi bali wao walivamia na magaidi wa kipalestina hapo Oct 07,2023. Hapo ndipo ilipo tofauti na wajinga hawajui hilo na wengi wanasukumwa na Propaganda za waarabu tu lakini ukweli ndiyo huo!!!Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Huyu mwamba unemuona katika picha anaitwa Count Folke BernadotteRussia imezuiliwa kushiriki kwenye michezo ya Kimataifa kwa sababu ya uvamizi wake huko Ukraine Feb 24,2022 na Israel haiwezi kuzuiliwa kwenye michezo hiyo kwa sababu si wavamizi bali wao walivamia na magaidi wa kipalestina hapo Oct 07,2023. Hapo ndipo ilipo tofauti na wajinga hawajui hilo na wengi wanasukumwa na Propaganda za waarabu tu lakini ukweli ndiyo huo!!!
Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Israel ilivamiwa na wapalestina (Hamas) ikaanza kujilinda. Ukraine akavamiwa na Russia naye akaanza kujilinda, ndo maana Russia amepigwa stop kwenye michazo. Wapalestina nayo wangekuwa wanajua kucheza wangepigwa stop. Umeshaona Ukraine amepigwa stop ingawa nayeye anarusha mabomu kuelekea kwa Warurusi?Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Kwa sababu ilishambuliwa na magaidi walioteka na kuua watoto na wazee wasio na silaha na kuanzia hapo imeingia kwenye vita ambayo imewaumiza sana wapalestina pia. Je ni kosa kufanya vita kwa lengo la kuokoa mateka na kilinda mipaka yako? Hapana? Je, raia wanaokufa kwa hii vita ni kosa Israeli? Hapana kwa sababu Hamas walianzisha vita, Hamas wanafanya vita wakiwa maeneo ya raia ili isishambulie na ikishambulia iue raia wengi na itengwe na jamii kwamba inalenga raia. Ikumbukwe kama lengo lingekua ni kuua raia Gaza ni ndogo sana na inaweza kufutwa ndani ya saa 1...so nyingi ni propaganda za kigaidi zinazoongozwa na magaidi na washirika wake kwenye ugaidi, biashara, dini nkKwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ?
Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
Akili matope kabisa wewe!! Unajitoa ufahamu kwa kutuletea habari za Count Folke Bernadotte!!! Na kwa ujinga na Upumbavu ulionao unataka kufifisha na kuyaona waliyofanya wapalestina Oct 07,2023 si kitu wakati mauaji ya siku hiyo ndiyo yanayowatia jambajamba huko Gaza na kuifanya Gaza iwe Vifusi mtupu!!!Huyu mwamba unemuona katika picha anaitwa Count Folke Bernadotte View attachment 3482835alitumwa na UN akatathimini mgogoro wa Israel na Palestina then atoe mapendekezo yake kwa UN nini wafanye kumaliza mgogoro wa mataifa haya mawili.
mwamba alikuwa na Record nzuri kwa Wayahudi cos aliwasaidia dhidi ya wanazi wakijerumani katika WW2 kwaiyo UN iliamini kuwa watamsikiliza! aliishia kuawa na kosa lake kubwa alipendekeza ramani ya Israel na Palestina ichorwe upya, wakimbizi wa Kipalestina warejee katika sehemu zao ambazo Israel inazikalia, na Israel iondoe wanajeshi wao katika maeneo ya Palestina! hapa ndipo Wayahudi walichukia na wakamuua.
Labda nikuulize mleta mada! we mgogoro wa Israel na Palestina umeanza kuujua October 2023?
Mkuu ukionesha tatizo la Palestina na Israel lilianza October 2023 unakosea cos ilo tatizo lina mizizi yake, na ndiyo maana nikakurudisha mwaka 1948! labda nikupe home work basi unitafutie majibu.Akili matope kabisa wewe!! Unajitoa ufahamu kwa kutuletea habari za Count Folke Bernadotte!!! Na kwa ujinga na Upumbavu ulionao unataka kufifisha na kuyaona waliyofanya wapalestina Oct 07,2023 si kitu wakati mauaji ya siku hiyo ndiyo yanayowatia jambajamba huko Gaza na kuifanya Gaza iwe Vifusi mtupu!!!
Hata usiende mbali huko toka lini Palestina ilikuwa nchi? Haijawahi kuwa nchi na haitakuwa nchi!!!Mkuu ukionesha tatizo la Palestina na Israel lilianza October 2023 unakosea cos ilo tatizo lina mizizi yake, na ndiyo maana nikakurudisha mwaka 1948! labda nikupe home work basi unitafutie majibu.
1. Ni Taifa gani lilitawaliwa/ lilikuwa Koloni la Ottoman na baadae kuwa chini ya Uingalizi wa Uingereza kati ya palestina na Israel?
2. Ni Taifa gani lilikuja kupata uhuru mara baada ua Uingereza kutoka kati Israel na Palestina?
3. The UN Partition Plan (Resolution No. 181) kwanini iliamua kugawa ardhi ya Mamlaka ya Palestina kwa kuwapa Palestina 45% ya ardhi walikuwa na idadi ya watu Milion 1.6 ambae mwenyeji wa ardhi tena bila idhini yao na kuwapa Wazayuni 50% ya ardhi walikuwa na Raia Laki 6?
Naomba majibu ya maswali haya tu.
Umeona sehemu yoyote nimeandika Nchi? ningekushauri ujielekeze kujibu maswali ili tuache mihemko isiyo na maana.Hata usiende mbali huko toka lini Palestina ilikuwa nchi? Haijawahi kuwa nchi na haitakuwa nchi!!!
Mgalatia rudi kasome historia vizuriRussia imezuiliwa kushiriki kwenye michezo ya Kimataifa kwa sababu ya uvamizi wake huko Ukraine Feb 24,2022 na Israel haiwezi kuzuiliwa kwenye michezo hiyo kwa sababu si wavamizi bali wao walivamia na magaidi wa kipalestina hapo Oct 07,2023. Hapo ndipo ilipo tofauti na wajinga hawajui hilo na wengi wanasukumwa na Propaganda za waarabu tu lakini ukweli ndiyo huo!!!
Historia gani wewe unayojua?Mgalatia rudi kasome historia vizuri
Jibu lako liko hapa ushindwe tu wewe kuelewa!!Umeona sehemu yoyote nimeandika Nchi? ningekushauri ujielekeze kujibu maswali ili tuache mihemko isiyo na maana.
Kwaiyo kabla ya December 1961 hapakuwahi kuwa na Tanganyika? Muingereza alikuwa mwangalizi wa kitu gani? Wa Uingereza sio?Jibu lako liko hapa ushindwe tu wewe kuelewa!!
View: https://x.com/p24576512/status/1718636395915362546?s=61