Kwanini Israel inashiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imepigwa stop ?

Ni kwa sababu Israel ni kinyago cha magharibi cha kuwatishia waarabu ili kuwanyonyea mafuta yao
 
Kwaiyo kabla ya December 1961 hapakuwahi kuwa na Tanganyika? Muingereza alikuwa mwangalizi wa kitu gani? Wa Uingereza sio?
Tumia akili yako vizuri hapajawahi kutokea nchi au taifa linaloitwa Palestina!!! Neno Palestina lililetwa na waingereza walipokuja kuitawala sehemu hiyo.

Na hawajawahi kutokea viumbe wanaoitwa wapalestina duniani kabla ya 1967 mtu wa kwanza kuita wapalestina ni Yasser Arafat mwaka 1967 hapa nyuma walikuwa wanaitwa waarabu tu kama walivyo waarabu wa Jordan n.k.
 
Ooohh ndiyo hoja yako! Kwaiyo kutotumika Palestina kiserikali ina maana Palestina haikuwepo? katika pitapita yako ukivyosoma hukuona kama hapo pameshawai kuitwa Syria Palestine? hukuwahi kusoma kitu kinaitwa Jund Filastin? basi nakuambia kuwa wakati Uingereza anafika hapo alikuta Ottoman anatumia majina ya majimbo cos aina ya utawala wake ulikuwa wa kimaji,bo lakini wanazuoni na waandishi wa kale wao walikuwa wanatumia Filastin. Uingereza haikubuni tu jina from know where ila ilo jina lilikuwepo na palishawahi kuitwa hivyo.
 
Akili za makobaz bana, yaani mfanye uvamizi na kuua watoto wa Wayahudi halafu mkifanyiziwa mnaanza kulia lia mkitaka Israel izuiwe.
Kama hautaki walie lie basi nao wasaidiwe kama alivyokuwa anasaidiwa Israel alipokuwa anapigana vita na Iran ijapokuwa yeye Israel ndio aliyeanza mashambulizi Iran.
 
Kama hautaki walie lie basi nao wasaidiwe kama alivyokuwa anasaidiwa Israel alipokuwa anapigana vita na Iran ijapokuwa yeye Israel ndio aliyeanza mashambulizi Iran.

Israel aliteka anga la Iran na kujipigia kote, sasa hapo alisaidiwaje, huwa hamuoni aibu dini ya mabilioni ya watu mumeshindwa na kainchi kadogo mithili ya mkoa wa Arusha.
 
Hata aibu hauna? Israel haijaivamia Palestine au kule Gaza nini kinaendelea? Haujui pia westbank inakaliwa na Israel licha ya kuwa hakuna hamas kule?

Mpuuzi sana wewe, Israel haiguswi sababu FIFA inakua controlled na USA na sio vinginevyo
 
Israel aliteka anga la Iran na kujipigia kote, sasa hapo alisaidiwaje, huwa hamuoni aibu dini ya mabilioni ya watu mumeshindwa na kainchi kadogo mithili ya mkoa wa Arusha.
Sasa kama ilikuwa hivyo Marekani alikuwa na sababu gani nae kushambulia Iran wakati teyari Israel alikuwa anajipigia tu?

Hapo baki hizo nchi zilizokuwa zikisaidia Israeli hako kanchi kadogo, maana bila hivyo ile midude ingekuwa inaenda kama ilivyo sijui hali ingekuaje.

Ndio maana nasema na Palestina nako wasaidiwe ili wasilie lie.
 
Hata aibu hauna? Israel haijaivamia Palestine au kule Gaza nini kinaendelea? Haujui pia westbank inakaliwa na Israel licha ya kuwa hakuna hamas kule?

Mpuuzi sana wewe, Israel haiguswi sababu FIFA inakua controlled na USA na sio vinginevyo
Hivi Mbwa wewe unajua Mauaji ya kutisha wapalestina waliyoyafanya Oct 07,2023?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…