Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Jamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie.
Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu. Refer the Kanye West saga. Na mara zote matamshi yoyote yale juu ya wayahudi lazima wayahusishe na holocaust iliyotokea kule ujerumani nyakati za Adolf Hitler.
Inavyoonekana wayahudi wameshika maeneo na sekta nyeti duniani. Ni kwanini hi jamii ilindwe hivo? Na je ni kweli watu wanawachukia wayahudi na zipi sababu ya watu kuwachukia?
Maana hata waarabu hawawapendi wayahudi, wazungu hawawapendi wayahudi ni watu weusi pekee duniani wanaowapenda wayahudi ila bado watu weusi ndio jamii inayochukiwa kuliko zote duniani na hakuna hatua zakuilinda jamii ya watu weusi isipotee duniani.