Tuanzie kwenye World War 2, Nazi Germany iliua Wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya miaka mitano tu. Walikuwa na kambi za maangamizi kama Auschwitz-Birkenau, Sobibor na Trebrinka. Hii picha ilipigwa na Allied Forces pale Evensee baada ya kuikomboa kambi hiyo kutoka mikononi mwa Nazi
View attachment 2407223
Huwezi sema Waafrika walinyanyaswa kuliko Wayahudi wakati Wayahudi hadi walihamishwa nchi kabisa. Kuanzia miaka ya 300s walipopigwa na kunyang'anywa Jerusalem walikuwa wanaishi wapi hadi 1948 walipoanzisha Jewish state pale Israel.
Watu weusi hawapendwi, ila hawana hata chembe ya kufikia level ya Wayahudi walivyochukiwa. Weusi walikuwa wanauzwa utumwani wakafanye kazi, walitumikishwa kwenye ardhi yao na kuibiwa rasilimali. Ukiachana na kufanywa watumwa hayo mengine wamefanyiwa Asians na Japanese ingawa haikudumu kwa muda mrefu. Wajapani walifanya Nanjing massacre, Japan ilifanya mass murder kwa Koreans, Chinese, Indonesians, Filipinos na Asians kibao na kuua more than 3 to 7 million people ndani ya miaka 15 tu. So kusema Waafrika walinyanyaswa zaidi ni kutojua historia ya races nyingine.
Waafrika tumezubaa na tunaishi tu, ila Wayahudi wakilala ndio basi tena hawana maisha wanapotezwa.