AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
And wakauzwa wapi? Coz Bible inasema waliuzwa kona 4 za Dunia. Na waliokimbia baada ya Roma kuwapa kichapo walikimbilia wapi? Huko kaskazini germ any na spai ambako mrumi alikuwepo au alikimbilia ambako aduo hayupo.As if we mwenyewe kuna source ya aina yoyote unatoa. Sasa yanini utake nitoe source, haya hiyo hapo nimekupa sample ya kitabuenilichonacho karibu hapa utakuja useme ni ya UN na Uingereza. Nami niletee hiyo source ya Democratic Republic of Congo na kutoka kina ECOWAS na SADCView attachment 2408282
We mwenye unajichanganya na kujipuliza waafrica wapo kama nilivyokwambia na watakuwepo sana tu. But wayahudi aka Negro hawakuwa WAafrika na ndio waliotoka Israel washuka afrika the. Wakauzwa WA utumwani America na Dunia kote. Wewe unawachanganya weusi wote unawaweka bakuli Moja.Bado unaruka point muhimu. Nimekuuliza kabla ya mwaka 1948 halijaanzishwa taifa la Israel ya sasa Wayahudi nchi yao ilikuwa ni nchi gani?
Najua huna jibu ndio maana unarukaruka, na kama hawakuwa na nchi kabla ya hiyo 1948 ina maana walifyatuka mbinguni wakazagaa nchi tofauti duniani. Tukija kwa Waafrika Wangoni tunajiuliza kabla ya 1800s nchi yao ilikuwa ni ipi na tunajua ni South Africa, leo hii 2000s tunawakuta Tanzania na nchi za Kusini mwake. Tukiuliza kwanini Wangoni watoke South Africa kuja Namtumbo tunajibu ni Zulu expansion (walinyanyaswa, walipigwa, walifukuzwa). Sababu zipo!
Sasa sababu ya Wayahudi kutoweka kwenye ardhi yao ni nini?
Kwa Waafrika, nimekwambia Mwafrika hajawahi hamishwa nyumbani completely. Yani hakuna point katika historia ya dunia ambapo Waafrika walikosa pa kuita homeland, hakuna mwaka bara la Afrika lilijaa wazungu tu au Asians na Waafrika wakawa wamehamishiwa kwingine. Hiyo ndio point unayokwepesha badala yake unanitajia hao waliobebwa na kuuzwa utumwani.
Mkuu hiyo mbona ni rahisi tu kujua mafano sisi watanzania ni weusi lakini tunapo kutana ni raihisi kujua huyu ni mchaga au msukuma nk.Duh! Kumbe Yusuf hakutambulika na ndugu zake. Kwa mantiki hiyo basi walikuwa ni rangi moja. Ila swali langu ni wamisri waliwezaje wajua hawa ni waisrael kama walikuwa na rangi moja? Na kama wote walikuwa weusi ilikuwaje watu weupe walitokea wapi mpaka kuja kuwa na akili hivo duniani?
waliotajwa kwenye biblia sio Hawa ..jews ni jamii ambayo ina watu vichwa yani wana High IQ . uwepo wao unawanufaisha mataifa makubwa dunian kama U.S na Uingereza.
ukikuta wanajeshi 50 wa kimarekani basi jua kati ya ao 50 kuna moja myahudi ... wanawatunza sana hawa watu coz wapo tokea zama na zama na washatajwa mpaka kwenye vitabu vya dini kama " TAIFA TEULE"
Popoma weweDunia haiwezi kua / kuwepo bila Myahudi. Na huo ndio ukweli.
Kiimani ndiyo jamii inayopendwa na Mungu
Tena cha kusikitisha waafrika walikuwa wanauzwa utumumwani na machief wao yaani ubaguzi tulifanyiana wenyewe. Yaani waafrika ndio jamii pekee isiyopendana wao kwa wao then wanasingizia wanabaguliwa na kuchukiwa na wengine kumbe tatizo ni wao wenyewe.Tuanzie kwenye World War 2, Nazi Germany iliua Wayahudi zaidi ya milioni 6 ndani ya miaka mitano tu. Walikuwa na kambi za maangamizi kama Auschwitz-Birkenau, Sobibor na Trebrinka. Hii picha ilipigwa na Allied Forces pale Evensee baada ya kuikomboa kambi hiyo kutoka mikononi mwa NaziView attachment 2407223
Huwezi sema Waafrika walinyanyaswa kuliko Wayahudi wakati Wayahudi hadi walihamishwa nchi kabisa. Kuanzia miaka ya 300s walipopigwa na kunyang'anywa Jerusalem walikuwa wanaishi wapi hadi 1948 walipoanzisha Jewish state pale Israel.
Watu weusi hawapendwi, ila hawana hata chembe ya kufikia level ya Wayahudi walivyochukiwa. Weusi walikuwa wanauzwa utumwani wakafanye kazi, walitumikishwa kwenye ardhi yao na kuibiwa rasilimali. Ukiachana na kufanywa watumwa hayo mengine wamefanyiwa Asians na Japanese ingawa haikudumu kwa muda mrefu. Wajapani walifanya Nanjing massacre, Japan ilifanya mass murder kwa Koreans, Chinese, Indonesians, Filipinos na Asians kibao na kuua more than 3 to 7 million people ndani ya miaka 15 tu. So kusema Waafrika walinyanyaswa zaidi ni kutojua historia ya races nyingine.
Waafrika tumezubaa na tunaishi tu, ila Wayahudi wakilala ndio basi tena hawana maisha wanapotezwa.
Km sio hao wewe ulikuwepo au ulisimuliwa ili uje utusimulie tukuaminjwaliotajwa kwenye biblia sio Hawa ..
Ni kwa sababu wana tabia za kimalaya kiasi cha kuweza kuwauza hata mama zao jambo ambalo mswahili hawezi kufanya isipokuwa kwa wachache kama vile wachaga na wakikuyu. Pia, wanatumika kuwatisha waarabu na hivyo kuwalazimisha kununua silaha toka magharibi na kuneemesha uchumi wa nchi hizi nyemelezi. Pia, wayahudi ni wabaguzi na matapeli sawa na mabwana zao. Maana, kiasili wayahudi ni waarabu. Lakini sasa ukiangalia wanaojiita waarabu wengi ni warusi na wazungu waliowatapeli waarabuJamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie.
Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu. Refer the kanye west saga. Na mara zote matamshi yoyote yale juu ya wayahudi lazima wayahusishe na holocaust iliyotokea kule ujerumani nyakati za adolf Hitler.
Inavyoonekana wayahudi wameshika maeneo na sekta nyeti duniani. Ni kwanini hi jamii ilindwe hivo? Na je ni kweli watu wanawachukia wayahudi na zipi sababu ya watu kuwachukia?
Maana hata waarabu hawawapendi wayahudi, wazungu hawawapendi wayahudi ni watu weusi pekee duniani wanaowapenda wayahudi ila bado watu weusi ndio jamii inayochukiwa kuliko zote duniani na hakuna hatua zakuilinda jamii ya watu weusi isipotee duniani.
Hao Warekani na Uingereza ndio wayahudi wenyewe si unajua wale jamaa wapo kila kona ya Dunia. Usifikiri wayahidi wapi Israeli tu wametapakaa ulaya nzima. Unaweza kuona Mgiriki au Mrusi kumbe asili yake ni myahudi.Itoe marekani na uingereza nyuma ya Israel..wanapotea chapu,toa allies WWII,pasingekua na myahudi,kusema myahudi bila mbeleko anatoboa si kweli, USA kapiga veto nyingi Sana UN kuikinga Israel,Siri ya maana Cohen aliyoipata Syria ni silaha za USSR batch mpya iliyopelekwa
weka andiko bas sio rahisi kusoma biblia yoteRefer your bible, Soma vizuri kwa utulivu na sio kwa malengo ya kukosoa, Google, Soma Bible, Google and continue to do that
Huwezi kuwa na IQ kubwa kisa race,uyahudi ni dini na si rangi ya ngozi au kabila,hao unadhani ni wayahudi ni wazungu tu wa ulaya mashariki
Uyahudi ni dini,shida imekuja kwa muda mrefu dini hiyo imekua ikifuatwa na watu wanaojinasibisha na uisrael,lakini hivi karibuni pamekua na wayahudi nje ya wanaoitwa waisrael,Kuna wayahudi waethiopia nk,taifa linajulikana Kama Israel ambalo miongoni mwa dini zake ni uislam na ukiristo,Kuna waisrael waarabuuyahudi ni jamii sio dini ,wapo wayahudi ambao wana dini zao zofauti na uyahudi
Uyahudi ni dini,huwezi kuwa na asili ya uyahudi,marekani na uingereza siyo wayahudi,Kama unamaanisha Israel basi Hilo taifa lilianzishwa na waingereza na wafaransaHao Warekani na Uingereza ndio wayahudi wenyewe si unajua wale jamaa wapo kila kona ya Dunia. Usifikiri wayahidi wapi Israeli tu wametapakaa ulaya nzima. Unaweza kuona Mgiriki au Mrusi kumbe asili yake ni myahudi.
Uyahudi ni dini,shida imekuja kwa muda mrefu dini hiyo imekua ikifuatwa na watu wanaojinasibisha na uisrael,lakini hivi karibuni pamekua na wayahudi nje ya wanaoitwa waisrael,Kuna wayahudi waethiopia nk,taifa linajulikana Kama Israel ambalo miongoni mwa dini zake ni uislam na ukiristo,Kuna waisrael waarabu
Heeee! Embu nipe muongozo kwa hiyo kumbe hata mimi mmatumbi naweza kuwa myahud?Uyahudi ni dini,huwezi kuwa na asili ya uyahudi,marekani na uingereza siyo wayahudi,Kama unamaanisha Israel basi Hilo taifa lilianzishwa na waingereza na wafaransa
Ndiyo,juzi hapa wakawa na mpango uyahudi uwe strictly kwa waisrael 'original' tuHeeee! Embu nipe muongozo kwa hiyo kumbe hata mimi mmatumbi naweza kuwa myahud?
Nashindwa kujibu swali lako,ni sawa na kuuliza wachina ni watu ganiwaarabu ni watu gani? samahani swali lina logic flani inachanganya
Kwa upeo Wangu mdogo hawa watu wenye vinasaba vya uyahudi wana akili sn...IQ yao ipo juu mno ndio mana marekani hataumuambie nn hawezi acha kuwalinda hawa viumbe...nihatari sn Kwa kila kituUyahudi ni dini,shida imekuja kwa muda mrefu dini hiyo imekua ikifuatwa na watu wanaojinasibisha na uisrael,lakini hivi karibuni pamekua na wayahudi nje ya wanaoitwa waisrael,Kuna wayahudi waethiopia nk,taifa linajulikana Kama Israel ambalo miongoni mwa dini zake ni uislam na ukiristo,Kuna waisrael waarabu