Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

Ndugu zangu tu-spend hiyo Miaka 40 sijui 50 tukapumzike, kama Kuna kipigo uko mbele tukakikute, kama umefikia hatua ya kubadilisha chochote kuanzia ngazi ya mtaa,Kijiji,tarafa,wilaya,mkoa,taifa,bara au hata Dunia fanywa hivyo, badirisha positively unless otherwise tukojoe tukalale ndugu zangu tupunguze drama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli tunaakili kwanini sasa hatuvumbui vitu kama wazungu?
Sababu huku tuko na laana mbili.
1. Kuna waisrael ambao ndio walimsulubu Yesu so wakajipa laana kama ukisoma kumbukumbu LA torati
2. Pia Kuna WAafrika ambao walishirikiana Ana waarabu na Wazungu kuwauza Hao jews utumwani nao wanajumlishwa huko na Sasa tumezaliana sana huku Barani afrika but Yesu a nawajua watu wake though sisi hatujuani ila wapo wanaamka kama ilivuoandikwa. Ndio maana Hilo Bara liko hovyo hovyo mpk tu mrudie Mungu WA kweli.
Wazungu aka japhet wao alitabiriwa watakuwa hivyo juu mwisho WA Dunia ukikaribia so that's why wako juu but muda unakaribia so wakiiona mtu kama Kanye west anawaamsha wenzake wanachachawa vibaya. Na juzi Kuna mwana basketball mmoja nae wanamminya huko kwa kusema kuwa sisi wao weusi hawajatoka Africa Bali wametoka ISRAEL
 
I never understand kwanini mnapenda muitwe wayahudi ilhali mnajua fika koo/kabila/tamaduni zenu. Mnatokwa Hadi povu kujifananisha nao, hamuupendi uAfrica wenu? Mnaona aibu kuwa waafrika? Mmekua brainwashed hadi mmekua mazwazwa kiasi mnajinasabisha na watu wasiowatumbua. Inabdilisha nini kwenye maisha yako wewe ukijiita myahudi au mchina au muarabu ilhali unajua fika identity yako?

I, for one, ni Mmatumbi sitaki kabisa uzwazwa wa kufananishwa na jamii zingine hata kama mnadai the original Jews were blacker than the kettle.
 
Kwambe wewe hutaki kuwa Mzungu sheikh!!
 
Kanye kasema wao black American ndio waebrania aka jews WA ukweli. Sasa Wazungu aka Jewish WA uongo wamekasirika kwamba why atoe siri wakati watu weusi wamelala usingizi pono. Kwanini anawaamsha.
Kwa hiyo...hii ndo imesababisha makampuni yote yale kumtema kanye...

Ama kweli kuna kitu sio bure

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Madhila ambayo watu weusi wamekutana nayo ni makubwa mno kuliko jews. Mkuu kuna nyakati waafrika walikuwa wanachomwa kama mishkaki na wazungu na watu wanapewa nyama wale. Acha kusema jews wamepitia mengi kuliko watu weusi kwasababu taarifa zao nyingi ni za kupika. Watu weusi hawapendwi na jamii yoyote ile duniani kuna black massacre ilitokea huko marekani ikiwa na lengo la kutokomeza watu weusi wote marekani.
Sio kweli Mkuu

Watu weusi wametawaliwa na kupata shida wakati wa ukoloni yaani in 1880's

Waisrael wana safari ndefu sanaa ya kunyanyaswa na kuteswa sana tangu wakati wa utawala wa Mafarao, yaani miaka mingi kabla ya utawala wa kirumi
 
Nguvu inayotumika kuwalinda na kuwatetea Wayahudi ndo hiyo hiyo inatumika kwa kundi la LGBTQ, fuatilia utaona. Napata wasiwasi huenda haya makundi yote ni chukizo kwa Muumba mbingu na ardhi
 
Sio kweli Mkuu

Watu weusi wametawaliwa na kupata shida wakati wa ukoloni yaani in 1880's

Waisrael wana safari ndefu sanaa ya kunyanyaswa na kuteswa sana tangu wakati wa utawala wa Mafarao, yaani miaka mingi kabla ya utawala wa kirumi
Sasa kwani Farao aliwatesa Wazungu?? Soma vizuri historia.... Achana na hii ya mzungu inayoanza kusema mtu mweusi kaibuka after utumwa Huu WA juzi
 
Ufunuo WA yoga a 3:9....Mungu anajua kabisa wale jamaa Ni wao go Bali ni sinagogi la shetani
IMG_20221106_092517.jpg
 
Acha kuaminisha watu uongo bana, ukwel ni kwamba tangu mwanzo mtu mweusi ndiye aliyeteswa na kunyanyaswa kulko race yoyote hapa dunian, fuatilia historia kabla hata ya ujio wa propaganda za wayahud feki.

Hiv unajua utumwa pekee uliangamiza maisha ya waafrika kiasi gani? Hiyo idadi yao ni zaid ya Watu wa East afrika wote, nikimaanisha hakuna jamii yoyote dunian iliyoteswa kama mtu mweusi.

Jaribu kufikir mtu mweusi kuwa utumwan zaid ya miaka400 ya mateso, mauwaji, udhalilishaji, ubakaji, njaa na kazi ngumu, huku watoto wa watumwa wakifanywa kama wanyama wa maonyesho ma wanawake kama mnyama wa majaribio ya kisayansi na tafiti zao, bado wanaume walio hasiwa bila ganzi, na bado mamilion waliofanywa kama mateka wa kivita kupambana ktk vita za wazungu walizoita vita za dunia 1&2.

Hapo bado madhara ambayo mtu mweusi ameendelea kuyapata baada ya utumwa, ambayo ni unyonyaji wa rasilimali zake nchini mwake, kupangiwa jinsi ya kuishi na sheria ngumu za kimataifa(wazungu wa UN), kusainishwa mikataba ya kishenzi, kubaguliwa kila mahala dunia, kufanywa kama sehem ya majaribio ya tiba za kisayansi na aina za magonjwa, haya yote wanayafanya kwa mtu mweusi, je unawezaje kufananisha na hao wayahudi wako wa uongo ambao hata huyo hitra akuuwa watu mil6 zaid ya propaganda za kumchafua,

Kuna msemo unasema mti wenye nyoka ndio hupigwa mawe, na pia mti wenye matunda kwa wakati mwingine pia hupigwa mawe je wajua ni upi mti wenye nyoka na upi wenye matunda kati ya mtu mweusi na hao fake jews?

Jibu unalipata ni hao wayahudi wenu wa uongo ambao wamefanya maovu mengi dunian pia wao ndio walioratibu mipango ya vita za kizungu za 1&2 ili kuhalalisha mambo fulani kupitia uchonganishi wa mataifa,
je wajua madhara yake? Madhara yake ndio haya kuiba mali za mataifa ya watu weusi, kuiba historia ya mtu mweusi, pia kuiba ardhi ya wapalestina ambao ile ardhi ndio wamiliki, japo kiuhalali nayo ile ardhi ni miliki ya mtu mweusi maana aliishi hapo kabla ya ujio wa hao waarabu na wayahudi feki.

Hao wayahudi feki ndio wanaomiliki uchumi wa dunia karibia %kubwa kupitia makampuni yao na mabenki bila kusahau vituo vya habari na kusambaza propaganda wao ndio vinala.

Achen kulishwa uongo, huwezi kupata ukweli kwa kuegemea kwenye vyanzo vya habari walizotunga hao mabwana zenu mnaowaabudu.

Amkeni mtu mweusi ndiye aliekuwa myahudi wa kweli kabla ya ujio wa hao mashetani waliowapa dini na elimu ya uongo.
Hata mimi naona point yako inamashiko hebu Endelea kutupa data zaidi T14 Armata njoo huku ujibu hoja.
 
Kongo tu hapo wabelgiji waliua watu mil10.... Achana na Waka transatlantic slave trade watu weusi zaidi ya mil 100 hapo sijajumlisha east African slave trade.... Hao jamaa milioni 6 wanalia Lia weeeeee. Wangepigwa jiramba kama letu je.??? Kwanza wajerumani wanasema jamaa walidanganya Hitler wala hakuua watu wote Hao. Hitler alikuwa a busy anapigana vita.
 
Back
Top Bottom