Acha kuaminisha watu uongo bana, ukwel ni kwamba tangu mwanzo mtu mweusi ndiye aliyeteswa na kunyanyaswa kulko race yoyote hapa dunian, fuatilia historia kabla hata ya ujio wa propaganda za wayahud feki.
Hiv unajua utumwa pekee uliangamiza maisha ya waafrika kiasi gani? Hiyo idadi yao ni zaid ya Watu wa East afrika wote, nikimaanisha hakuna jamii yoyote dunian iliyoteswa kama mtu mweusi.
Jaribu kufikir mtu mweusi kuwa utumwan zaid ya miaka400 ya mateso, mauwaji, udhalilishaji, ubakaji, njaa na kazi ngumu, huku watoto wa watumwa wakifanywa kama wanyama wa maonyesho ma wanawake kama mnyama wa majaribio ya kisayansi na tafiti zao, bado wanaume walio hasiwa bila ganzi, na bado mamilion waliofanywa kama mateka wa kivita kupambana ktk vita za wazungu walizoita vita za dunia 1&2.
Hapo bado madhara ambayo mtu mweusi ameendelea kuyapata baada ya utumwa, ambayo ni unyonyaji wa rasilimali zake nchini mwake, kupangiwa jinsi ya kuishi na sheria ngumu za kimataifa(wazungu wa UN), kusainishwa mikataba ya kishenzi, kubaguliwa kila mahala dunia, kufanywa kama sehem ya majaribio ya tiba za kisayansi na aina za magonjwa, haya yote wanayafanya kwa mtu mweusi, je unawezaje kufananisha na hao wayahudi wako wa uongo ambao hata huyo hitra akuuwa watu mil6 zaid ya propaganda za kumchafua,
Kuna msemo unasema mti wenye nyoka ndio hupigwa mawe, na pia mti wenye matunda kwa wakati mwingine pia hupigwa mawe je wajua ni upi mti wenye nyoka na upi wenye matunda kati ya mtu mweusi na hao fake jews?
Jibu unalipata ni hao wayahudi wenu wa uongo ambao wamefanya maovu mengi dunian pia wao ndio walioratibu mipango ya vita za kizungu za 1&2 ili kuhalalisha mambo fulani kupitia uchonganishi wa mataifa,
je wajua madhara yake? Madhara yake ndio haya kuiba mali za mataifa ya watu weusi, kuiba historia ya mtu mweusi, pia kuiba ardhi ya wapalestina ambao ile ardhi ndio wamiliki, japo kiuhalali nayo ile ardhi ni miliki ya mtu mweusi maana aliishi hapo kabla ya ujio wa hao waarabu na wayahudi feki.
Hao wayahudi feki ndio wanaomiliki uchumi wa dunia karibia %kubwa kupitia makampuni yao na mabenki bila kusahau vituo vya habari na kusambaza propaganda wao ndio vinala.
Achen kulishwa uongo, huwezi kupata ukweli kwa kuegemea kwenye vyanzo vya habari walizotunga hao mabwana zenu mnaowaabudu.
Amkeni mtu mweusi ndiye aliekuwa myahudi wa kweli kabla ya ujio wa hao mashetani waliowapa dini na elimu ya uongo.
Most of the time neno propaganda ni la watu waliokosa hoja, usipotaka kujibu hoja unazizima na neno moja kama uongo, si kweli, propaganda, n.k. Ukileta sources zako za taarifa huwezi ona wapi zimeandaliwa na Mwafrika, sanasana utakuta kuna mkono wa Myahudi kwenye sources zako hizohizo. Waafrika hata historia yetu hatuijui, kila kitu tumefundishwa, hata ziwa kama Victoria nalo tunaliita jina la Malkia wa Uingereza. Hatuna historia tulivyoandika unayoweza kuitumia kusimama nayo hapa.
Na hizo hoja zako kuhusu sisi 50% ni upuuzi wetu. Eti tunasainishwa mikataba ya ulaghai, tunaibiwa rasilimali, tunapewa misaada na UN. Huo upumbavu nani anataka si ni sisi? Kwani kuna nchi inalazimishwa kupokea misaada au mikopo, ukikataa chanjo zao za Polio na Pepopunda ukajifia wana hasara gani, ukikataa ARVs zao ukajifia na UKIMWI unahisi wataumia sana ama kitu gani?
Ujinga wa Waafrika ni kulalamika kila kitu kwa wengine, uko nchi kama Tanzania kila siku asubuhi tunajadili mipira tena ya Ulaya, wenzetu kule wanajadili teknolojia na uchumi sasa utamlaumu nani hapo. Nchi kadhaa za Asia ziligundua kujiliza na kulalamikia historia hakuna tija na leo hii wako mbali, sisi hapa mikataba ya madini na mafuta usaini wewe kwa kiherehere na bado ulalamike. Marais wa Afrika wanatembeza mabakuli duniani kote kisha unadai tunabaguliwa. Waafrika si wanafia Mediterranean sea wakienda Ulaya? Kiherehere cha nini si wakae kwao wajenge nchi zao.
Myahudi kahamishwa hadi nchi akapotezwa kabisa eneo lake, unakuja mlinganisha na Mwafrika anayelimishwa kwake. Kabla ya 1948 nitajie Wayahudi walikuwa na nchi gani wanayoita nyumbani?
Hapa Afrika hatujawahi hamishwa bara kabisa, Wanandi wanajua kwao ni Zimbabwe, Nama na Herero kwao ni Namibia na haijawahi badilika labda wahamie nchi za nje. Wayahudi kabla ya kuanzisha taifa lao kwa mbinde hawakuwa na nchi, sasa unataka kusema walijiondokea tu woote wakaisha kwenye ardhi yao!
Mbona vitu vingine ni common sense tu. Na upumbavu mwingine wa mtu mweusi ni kujikataa, siku ukijichanganya ukamuita Mchina kwamba ni Mjapani au Mkorea atakasirika kwa nini unashindwa kumtambua unamchanganya. Ukimchanganya Mpakistani kuwa ni Mhindi hapendi kabisa, Muirani wale Persians ukimuita Muarabu hataki hata kusikia. Na hizo jamii zote zinafanania ndio maana kuchanganya, sasa njoo kwa miafrika tulivyo mijinga. Unakutana na Kokushumbusha wa Butainamwa uko ndani ndani unamfananisha na mzungu anakenua kweli kwa furaha, unakutana na Mudi kutoka Mchambawima unamfananisha na Muarabu anatoa meno nje.
Sisi wenyewe tunajikataa, nani atukubali sasa? Huu uzi kuna watu kama watatu nimeona wanajiita Wayahudi, hao ndio hujichubua. Yani mnalalamika kubaguliwa na mnajibagua wenyewe?