Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.

Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikichimbwa wanaviandika kabisa kwamba Imam flani ndo kajenga.

Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge.
 
Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda tabora, ujiji, zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.

Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikicjimbwa wanajiandika kabisa kwamba imam flani ndo kajenga.

Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge
Mbona UMEROPOKA sana kijana!?
Kwani hiyo misikiti na hivyo visima si wanajenga waislam wenyewe!?
Kuna tabu gani muislam kujengea ama kuchimbia wenzake visima!?
Kuna taasisi ya kikristo imewahi kuchimba visima!?
Halafu huduma za kijamii kama maji,hospitali, n.k ni jukumu la serikali sio watu binafsi.
Hali iliyoko Tabora ni kama iliyoko Rukwa,Songea,Njombe na kwingineko.
Je na hiyo mikoa yenye wakristo wengi nayo imekuwaje na hali hiyo ngumu kiuchumi!?
Yani unasema waislam wanapenda kupokea kuliko kutoa ilhali hivyo visima wamejijengea wenyewe.
We makalio kweli.
 
waislamu gani wa kisarawe au?
Nimeshawai kuishi na waislamu saudia watu poa sana yani unaweza kuishi kwa amani ukimfata ana noma sema nimeacha mke kule ila walitaka nibadilishe dini.
nika waambia dini yangu ya tu imenishinda nitaweza yenu utazani mazoezi ya yoga
 
Naam! Huu ni mhamsiko wa sisi tujiweze

Asante mtoa mada

Wale ambao hutoa, wanaombewa sana na Mungu kuendela kuwabariki, ni wakati wa sisi Waislam hasa weusi kutoa swadaka zetu ambazo Mungu ametubariki ili Mungu aubariki umma wa waislam wa Tanzania
 
Inaonyesha kuwa wao wanamuabudu Mungu wa kweli, wanamtanguliza Mungu mbele kuliko pesa. Yesu hakuwa na pesa, alikuwa tu fundi seremala, wakristu wanatanguliza pesa mbele. Kwa ufupi, Waislamu Mungu mbele, pesa nyuma, Wakristu pesa mbele Mungu nyuma.
 
Mungu anachukia umaskini. Umaskini ni laana
 
Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda tabora, ujiji, zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.

Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikicjimbwa wanajiandika kabisa kwamba imam flani ndo kajenga.

Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge
Inawezekana waislam wengi maisha yao yapo chini, hii ni historia ambapo Sheikh Mohd Said ameelezea kwa kina hapa.
lakini muislam anaejitambua yeye ndio mtoaji mkubwa wa kutoa kuliko kupokea. uislam ndio dini pekee duniani mtu anaenda msikiti bila kulazimishwa kutoa sadaka ndio maana masheikh wanaongoza ibada ni kipato chao ni cha kawaida tofauti na wakiristo ambapo tunasoma wanavyokumba sadaka na kufanya anasa (Soma gazeti la Mwanchi toleo la Jana, leo na kesho kama Reference). UISLAM UMEWEKA MUONGOZO MZURI TU
Kutoa sadaka ni miongoni mwa mafundisho muhimu katika dini ya Kiislamu na ina faida nyingi kwa muislamu. Baadhi ya faida hizo ni pamoja na:

  1. Kuimarisha Imani: Kutoa sadaka ni ishara ya utii na uaminifu kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kama sehemu ya ibada. Hivyo, inasaidia kuimarisha imani ya muislamu na kumkaribisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu.
  2. Kujisafisha Kimaadili: Sadaka inawafundisha waislamu kuhusu ukarimu, huruma, na kujali mahitaji ya wengine. Hii inawasaidia kukuza maadili mazuri na kuepuka ubinafsi.
  3. Kusafisha Mali: Kutoa sadaka inasafisha mali ya mtu na kumtakasa kutokana na ubahili na uchoyo. Hivyo, inamfanya muislamu awe na uhusiano bora zaidi na mali yake.
  4. Kupunguza Majaribu: Inaaminiwa kuwa kutoa sadaka kunaweza kuepusha na majaribu na matatizo mbalimbali katika maisha ya mtu.
  5. Kustawisha Jamii: Sadaka ina jukumu la kusaidia jamii maskini na wenye uhitaji. Kwa kufanya hivyo, inasaidia kujenga jamii zenye usawa zaidi na zenye mshikamano.
  6. Kupata Baraka: Katika imani ya Kiislamu, kutoa sadaka kunaweza kuleta baraka na kufungua njia za kheri katika maisha ya mtu.
Kwa ujumla, kutoa sadaka ni sehemu muhimu ya ibada ya muislamu na ina athari kubwa sana katika maisha ya kiroho na kijamii.
 
Lakini hamtoagi licha ya kujua faida ya sadaka. Igeni kwa wakristo hasa Roma haya mengini ni biashara za watu
 
Back
Top Bottom